Waziri wa Elimu anasimamia asichokiamini? Mwanae anasoma English Medium

Sasa jamani mtu ana mshahara wa 9M+ kwanini asisomeshe mtoto shule ya International ukizingatia amehudumu kwenye hiko kitengo kwa miaka zaidi ya 10?

Na mkifanya masihara atafia hapo hapo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ maana CCM huwa hawaonagi kama raia wa kawaida wana uwezo wa kupewa nyadhifa wanachaguana wenyewe kwa wenyewe kwenye saccos yao ya Lumumba!

Na huyo mtoto usikae ukategemea ataenda chuo cha kata hata siku moja! Huyo atakula flight moja kwa moja kwa mzee Biden au kwa Malikia kule na akirudi tu anapachikwa BOT huko au kwenye moja ya mfuko wa Hifadhi ya jamii kama PSSSF anaendelea kumenya tu!

Huyo hatakaa mtaani hata mwezi mmoja isipokuwa kwa mapumziko binafsi tu kwahio nyie wadanganyika na watoto wenu endeleeni kusaga soli tu ajira hamna mjiajiri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nadhani iwe kikatiba viongozi watoto wao wasome shule za umma pamoja na kutibiwa nchini.
Mtoto wa mkuu mmoja alifanyiwa mafekeche na dingi ake kipindi akiwa rais ili asiende JKT wkt huo ilikua lazima, na leo nae mtoto ni rais na tena anahimiza kabisa mambo ya uzalendo.

Tutafuteni pesa/vyeo watoto wetu waishi vzr la sivyo haya majamaa yameshajipanga yenyewe na familia/Koo zao kula Bata milele.
 
Hahaaaa!!!!na cjui kwann ile ofc ya mafweza wamejaaa watt wao tu
 
Hahaaaa!!!!na cjui kwann ile ofc ya mafweza wamejaaa watt wao tu
Eeh kule haendi kapuku kule labda kwa nafasi za kawaida ila connection zinahusika kwa 100%.

Wanpachikana watoto wa ma MD na mawaziri mle ikifikia utawala umegeuka kaja raisi mpya wanapandishwa vyeo ndio unashangaa amepewa uwaziri wa fedha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Dkt. Gordet Ndalichako kipindi hiko mama yake ni mstaafu
 
Hahaaa
Eeh kule haendi kapuku kule! Wanpachikana mle ikifikia utawala umegeuka kaja raisi mpya wanapandishwa vyeo ndio unashangaa amepewa uwaziri wa fedha [emoji23][emoji23][emoji23] Dkt. Gordet Ndalichako kipindi hiko mama yake ni mstaafu
 
Hahah maaanina we jamaa sijui umetumwa kusema ukweli machungu.

Pumbavu Sana πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ We jamaa Leo umeamua aisee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila nimeamini kitu hii nchi sitaki kusema.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha huku ukisubiri huruma ya familia za hao watawala Kama wataamua kuwafukuza wamachinga au la.
 
.... baada ya miaka 10 anaenda kuchukua fomu; wajumbe wanampitisha (hawa hawakataliwi siku zote kura zao zinatosha); mliokula mavumbi St. Kayumba mkaambulia zero mnabebwa kwenye ma-fuso kwenda kuchezea nyimbo za kampeni. Huyu lazima ataachaguliwa iwe mvua liwake jua. Ikishindikana atapitia mlango wa nafasi maalumu au zile 10!

Hatimaye anaingia mjengoni ninyi mnaendelea na vumbi lenu huko mashenzini na michiriku yenu! Teuzi zinapita, huyu anaanza na unaibu halafu baada ya muda madaraka kamili. Ndio hivyo tena atazeeka akila mema ya nchi halafu naye atarithisha watoto wake; kunakuwa na kizazi cha watawala na watwana! Ooooh! ccm ni ile ile! Uuuuh ni ile ile!
 
Mtaka Wa kwake anasoma wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…