Waziri wa Elimu kataza wanafunzi kulazimishwa kwenda na madaftari yote shule

Hapo No3 si kweli,
Somo la stadi za kazi lipo.
Kuna mdau mdau @ Chief wingia kashauri vizuri shule ziwe na kabati za kuhifadhi madaftari kumpunguzia mtoto mzigo,japo ni masomo sita tu ndio yanafundishwa kwa madarasa ya tatu hadi la saba.
 
Hii ya locker, japo ni wazo zuri, lakini ni vigumu kutekelezeka kutokana na baadhi madarasa kuwa na wanafunzi wengi na miundombinu haitoshelezi. Kwa shule za miji mikubwa unaweza kuta darasa moja lina wanafunzi 100.
 
Namba mbili ni wazazi wenyewe kujitakia
 
Hapo No3 si kweli,
Somo la stadi za kazi lipo.
Kuna mdau mdau @ Chief wingia kashauri vizuri shule ziwe na kabati za kuhifadhi madaftari kumpunguzia mtoto mzigo,japo ni masomo sita tu ndio yanafundishwa kwa madarasa ya tatu hadi la saba.
Basi ni baadhi ya shule... sababu la saba wengi waliohitimu binafsi nnaowaona kitaa hawana any special skill waliyojifunza shule
 
Ina maana walimu nchi nzima hawafati ratiba
 
Mtoto miaka mi3 ushampeleka shule
Wazazi wa siku hizi wanadhani shule nayo ni mzazi. Kumbe Mwalimu hata awe mzuri vipi hawezi kuchukua nafasi ya mzazi.

Miaka kumi ijayo kutatokea mlipuko wa mashoga na wasagaji watanzania washangae.
 
Basi ni baadhi ya shule... sababu la saba wengi waliohitimu binafsi nnaowaona kitaa hawana any special skill waliyojifunza shule
Somo kuwepo na kufundishwa ni mambo mawili tofauti. Jee maudhui ya somo lenyewe yanalingana na lengo la kumfanya mtoto awe anajitegemea na siyo tegemezi wa stadi.

Mtoto kufua tu nguo zake mwenyewe hawezi ndiyo anaweza kuwa fundi Baiskeli huyo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…