misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,244
- 10,073
Kama unakumbuka tuli kuwa tunalaani kwamba ni one man show au umesahau mkuu?Unawezaje kulifanya jambo kama hili liwe na matokeo chanya kitaifa bila ya Waziri wa Elimu kulitolea agizo??
Mbona wakati ule ulikuwa hushangai Rais wa nchi kuzungumzia migogoro ya Ardhi na ndoa za watu?
Kwanini tunakuwa vigeu geu, kwani maafisa elimu au walimu wakuu wasifanye hadi waziri?