Trayvess Daniel
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 651
- 1,244
Wala sio kujitakia.... kuna watu wapo karibu na shule nzuri zote wana huo mfumo (binafsi nna machaguo so sio ishu hata mwanangu akifika la saba wala hatoenda boarding ntatafuta tu utaratibu muda ukifika).Namba mbili ni wazazi wenyewe kujitakia
Hii ndio solutionNadhani tuliowengi humu tumesoma St.Kayumba na tunafahamu kuwa walimu ni nadra sana kufuata ratiba ya darasa mathalani unakuta mwalimu wa somo la siku husika hajafika shule hivyo itampasa mwalimu/walimu waliopo waje kuwafundisha darasani ili mradi tu isipite siku bila kufundishwa angalau somo lolote lile.
My take kwa wizara wangetengeneza LOCKER kama wenzetu Ulaya na kila mwanafunzi angekuwa na locker yake itakayoweza kuwa maalamu kwakuhifadhi vitabu na vitu vingine vya mwanafunzi.
Nyumba ina kijana muhitimu wa la saba 13 yrs hawezi kutunza garden ya pale nyumbani mpaka mlipe mtu. Nonsense kabisaSomo kuwepo na kufundishwa ni mambo mawili tofauti. Jee maudhui ya somo lenyewe yanalingana na lengo la kumfanya mtoto awe anajitegemea na siyo tegemezi wa stadi.
Mtoto kufua tu nguo zake mwenyewe hawezi ndiyo anaweza kuwa fundi Baiskeli huyo??
Hapo tena, hiyo mbona kawaida sana siku hizi. Wewe unasema kijana wa Darasa la Saba, wapo wa chuo mtu anakuja kusafisha mitaro ya nyumba yao yeye yupo bize kuchat.Nyumba ina kijana muhitimu wa la saba 13 yrs hawezi kutunza garden ya pale nyumbani mpaka mlipe mtu. Nonsense kabisa
Ukiwa mama wa nyumbani na una walezi wa uhakika huwezi ona shida kulea nyumbani... lakini familia za mama daktari baba daktari mpo daslam kazi muhimbili nyumbani kibaha.... kuliko kukaa na dada wa kazi muuaji, shule lazima ihusike mapemaaa sana (sio boarding)Mtoto miaka mi3 ushampeleka shule
Kwahiyo unatetea mtoto wa miaka 11 kubeba kilo mbili mgongoni kila siku??????Kwa mfano fikiria mwalimu wa somo la hisabati hayupo,na ana kipindi.
Ikabidi mwalimu mwingine wa Kiswahili akataka afundishe badala yake.
Huoni kuwa kama wasingekuwa na madaftari ya Kiswahili wangesomaje?.
Tatizo jingine ni kina mama kutotaka mabinti wakubwa wawe walezi wa watoto wao (Baby sitter) badala yake wanataka watoto wao walelewe na vitoto vya miaka 13 toka vijijini huko.Ukiwa mama wa nyumbani na una walezi wa uhakika huwezi ona shida kulea nyumbani... lakini familia za mama daktari baba daktari mpo daslam kazi muhimbili nyumbani kibaha.... kuliko kukaa na dada wa kazi muuaji, shule lazima ihusike mapemaaa sana (sio boarding)
Otherwise wababa wajifunge mkanda kutafuta kipato ili wamama walee watoto na kufanya kazi ndani ya masaa makazi na kuachana na overtime.
Otherwise wa mkoani tunapeta, malezi ni magumu lakini sio kama wa mjini daslam
mbona hii sisi tulitumia tena kulikua na mfumo unapoanza form 1 unachonga kiti na meza unaoewa mchoro toka shule kwenye form ya kujiungaUnajenga shule Kila kona
Ila facility zingine za kurahisisha elimu Bora hazipo mfano hizo lockers/makabati ya wanafunzi kuhifadhia vitu vyao shuleni.
Au wabuni meza za kisasa wanazotumia darasani wawekea humo baadhi ya daftari na vitabu.
Au lockers ziwe darasani au kwenye korido za madarasa
Hiyo siyo shule sasa. Maana ya shule ni pamoja na kuwepo kwa Ratiba na ni lazima ifuatwe!!Kwa mfano fikiria mwalimu wa somo la hisabati hayupo,na ana kipindi.
Ikabidi mwalimu mwingine wa Kiswahili akataka afundishe badala yake.
Huoni kuwa kama wasingekuwa na madaftari ya Kiswahili wangesomaje?.
Binafsi kitu dada wa kazi hakipo tena kwenye hesabu za familia yangu, changamoto ni nyingi lakini kijiji changu nakimudu..... dada wa kazi awe mkubwa au mdogo ni swala la kubahatika tu mauza uza ni mengi.Tatizo jingine ni kina mama kutotaka mabinti wakubwa wawe walezi wa watoto wao (Baby sitter) badala yake wanataka watoto wao walelewe na vitoto vya miaka 13 toka vijijini huko.
Kina mama wakibadili mitizamo ya kwanza ajira ziataongezeka na usalama wa watoto majumbani utaongezeka pia.
Ndo aina ya walimu tulionao ndugu..... mtu haoni mtoto kubeba kgs za madaftari ni tatizoHiyo siyo shule sasa. Maana ya shule ni pamoja na kuwepo kwa Ratiba na ni lazima ifuatwe!!
Nimesoma kayumba vidudu mpaka form 4 na hatukua tunabeba mawe aisee kama hiviNadhani tuliowengi humu tumesoma St.Kayumba na tunafahamu kuwa walimu ni nadra sana kufuata ratiba ya darasa mathalani unakuta mwalimu wa somo la siku husika hajafika shule hivyo itampasa mwalimu/walimu waliopo waje kuwafundisha darasani ili mradi tu isipite siku bila kufundishwa angalau somo lolote lile.
My take kwa wizara wangetengeneza LOCKER kama wenzetu Ulaya na kila mwanafunzi angekuwa na locker yake itakayoweza kuwa maalamu kwakuhifadhi vitabu na vitu vingine vya mwanafunzi.
Wakati sisi tunasoma enzi hizo kila desk lilikuwa na locker tulikuwa tunafungia madaftari humo baada ya muda kwisha kuanzia std one up to secondary schools,cjui nini wanashindwa kuiga mtindo ule.Naunga mkono
Kweli kabisaHuwezi kuelewa mzigo wanaobebeshwa wanafunzi wa shule za kutwa mpaka pale utakapojaribu kuubeba mfuko wa madaftari wanaobeba wakienda shuleni. Kitendo cha watoto kulazimishwa kwenda na Vitabu vya kiada na Madaftari ya Masomo yote shuleni kila siku kinawaletea wanafunzi hao matatizo kwenye uti wa mgongo.
Hivi kila shule si ina ratiba ya Masomo. Kwa nini watoto wabebeshwe mzigo wa madaftari na vitabu kwa masomo yasiyohusika kwa siku hiyo. Kama Ratiba inaonesha kutakuwa na masomo manne ni kwa nini mtoto asibebe madaftari ya masomo hayo tu?
Miaka ijayo jamii itaingia gharama ya kutibu watu wazima chungu nzima watakaokuwa wanaumwa uti wa mgongo, chanzo kikiwa ni uzembe tu wa walimu kulazimisha watoto kubeba mzigo wa madaftari na vitabu bila ya sababu.