Waziri wa Elimu na TAMISEMI, ni sawa Wanafunzi Shule za Serikali kuambiwa waende na dissecting kit na vitabu vya tahasusi?

Sawa kabisa. Mimi nitafanya hivyo pia...

Lakini ninachotaka tujadili hapa ni "SHULE ZA SERIKALI NA MAPUNGUFU YAKE". Je, ni sawa na ni kwanini..?

Hii ndiyo mantiki ya hoja yangu lakini hawaelewi wanadhani Mimi naogopa kununua kitabu kwa ajili ya mtoto wangu...

Ishu ni kuwa,serikali yetu haina uwezo kui - equip shule zake na vifaa vya kujifunzia na kufundishia vitabu vikiwemo? Na kwani, ni nini hasa maana " formal" ya "shule"..?
Wanakudharau sana mkuu labda wapatie wasifu wako fully kabisa[emoji23]
 
No need. Na hata hivyo ili iweje...??

Imeandikwa, "...mtawatambua kwa matendo yao..."

Mtu yuko vipi na ana nini kichwani mwake, ni rahisi kumtambua anavyodaka mambo, kuyaelewa na kujibu kwa kujenga hoja zake...

There's no need kujitambia...
 
Wewe pamoja na wazazi wanaojitambua hamna shida mtanunua mabox ya vitabu hata mkitaka kujenga darasani kwa ajili ya watoto wenu. Tatizo ni wazazi ambao wameshasikia elimu bure, hataki kusikia ufagio au kitabu Cha elfu 80 mfano maxmillia kinauzwa Bei g and?

Sikulaumu Ila machozi ya Hawa watoto wanaotaka kutimiza ndoto zao na hazitimii ndizo zitakutesa. Kwa ajili ya ulafi.
Asante kwa mchango wako...

Lakini bahati mbaya it's out of context na ni wazi hujaelewa logic ya mjadala...
 
Mpeleke Tabora boys
Asante kwa mchango wako...

Lakini, is that all what you can say...? Halafu nikishampeleka Tabora Boys' ili iweje...?

Think deep ndugu. Usiwaze mambo juu juu tu na kibinafsi. Think about other too. Advocate others too. Don't be salfish...

Yes I can do. But suppose I take your advice na nikafanikiwa...

Lakini kumbuka hili, sijaleta hoja hii ili kujitetea mimi tu na mtoto wangu kwa kusoma shule ya serikali isiyo na vifaa vya kujifunzia na kufundishia. This is for the benefit and interest of each and everyone of us..!!

Unaweza mhamisha wako. Lakini vipi wanaosoma shule hizo zenye mapungufu kama haya? Unadhani wanastahili...? Ni haki yao siyo..?

Tujadili mambo focus ikiwa ni kushunikiza serikali itoe vifaa kwa shule zake ili kila mtoto wa nchi hii regardless of their backgrounds, wawe wanatoka familia maskini au tajiri wafurahie matunda ya uhuru Wa nchi hii kwa usawa....!!

Narudia tena kukuuliza, umpeleke Tabora Boys ili iweje? Wale waliobaki, katika shule hizi, ni haki yao wasome ktk shule hizo hivyo hivyo bila vitabu so long wa kwako umempeleka Tabora Boys penye vifaa vyote ...???
 
No! No! No kauli mbiu elimu bure!!!!. Tukubaliane ni kauli ya kitapeli. Rudini kwa wazazi muwaelishe. Mzazi mshari hapa mtoto atashindwa kutimiza ndoto zake. Ndiyo maana watoto wanajiingiza kwenye Mambo ya kishetani kwa ajili ya kauli hizi.

Hujui watoto wa wenzako wanapata ushawishi wa ajabu kwa ajili hiyo. We tuliza ushetani.

Mpaka ufagio ? Kumbe safari ya utumwa bado ipo.
Elimu bure inaishia kidato cha nne mbona huelewi! Elimika kwanza wewe ambaye huelewi. Hujui kama advansi wanalipa ada???[emoji15]
 
Muwaeleze na wazazi wao huko majukwaani basi. Sio muwaache watoto wanakwenda kupata shida huko shuleni.
Human beings learn for survival, we acquire knowledge that we may understand our surroundings hence better existence. It's your duty to find that knowledge nor it's opposite!
 
1. Mwanangu amechaguliwa kuendelea na masomo ya kidato cha tano na sita (F. V & VI) mwaka huu 2021 Shule ya Sekondari Nyantakara katika tahususi (Combination) ya Chemistry, Biology & Geography (CBG) iliyoko wilaya ya Biharamulo mkoa wa Kagera. Hii ni shule ya serikali ya Tanzania....

2. Licha ya orodha ya mahitaji mengi anayotakiwa aende nayo mfano; fagio wa kufagilia ndani, sabuni ya maji ya chooni, fagio wa kufagilia nje, ream ya kataratasi nk nk, lipo hili ambalo mimi limeniacha hoi hata kujiuliuza kulikoni hizi shule za serikali? Nimeambiwa nimnunulie mwanangu

[A.] Vitabu yote vya tahasusi (subject combinations) anayokwenda kusoma yaani CBG & Basic Applied Maths

[B.] Dissecting Kit ya somo la Bailojia

3. Nikajiuliza ina maana shule hii anayokwenda kusoma mwanangu haina vitabu? Imekuwaje inaanza kidato cha tano huku ikiwa haina vitabu? Kipi kilipaswa kuanza, majengo au vitabu na walimu kwanza? Hivi mzazi kama nanunua vitabu vyangu kwa ajili ya mwanangu, si bora asomee nyumbani sasa na siku ya mtihani aende kufanya tu...?

4. Nimelileta humu tujadiliane ili tujue majigambo ya serikali kuwa imeboresha elimu Tanzania, yana maana gani kama hali iko hivi ktk shule zake...?

4. Naambatanisha na Joining instructions ya shule kwa ajili ya ushahidi na reference zaidi kwa atakayetaka kuthibitisha maelezo yangu....

5. Honestly, baada ya kuipata hii fomu ya maelekezo, nimeanza kusaka fedha tu na kufikiri kumpeleka shule ya binafsi...
View attachment 1829765View attachment 1829766View attachment 1829769
Mzazi pole sana kwa tatizo hill, naomba Mimi nikueleweshe kidogo japo Mimi ni mtumishi katika hiyo idara, kwanza Mzazi ninaomba uwe na positivity thinking kwa walimu na serikali yako.Usiwe na ideology ya kwamba unapigwa(UNAIBIWA) maana ukijifanya mjanja utashangaa motto anarudi akiwa hewa kabisa na kufeli mitihani take ya mwisho.
Mbili, Elimu ya elimu ya sekondari kwa kidato cha tank IPO palepale au zaidi ya zamani kwa sababu ya kuajiri walimu wengi zaidi kwa sababu idadi ya walimu ni ndogo kuliko idadi halisi ya wanafunzi wanaochaguliwa katika hizo SHULENI hivo inafanya pia shule zimsaidie motto aweze kufanikisha ndoto zake kwa kumnunulia baadhi ya vitabu vya ziada vitavyomsaidia kujisomea akiwa nyumbn au shuleni.
Tatu,Kuhusu vifaa vya kujifunzia kwenye maaabara kama dissecting kit hili lipo tangu zamani na ni muhimu sana kwa mwanafunzi wa kidato cha tano na sita ili aweze kufaulu mitihani yake.
Nne,MWAMBIE MTOTOakapambane aendako atakutana na vijana wa kilaaina magenius waliotoka vijijini ambao wanajua zaidi na hawana vitabu kabisa lakini ni Vipanga hatari na hawajui MSAMIATI WA TUITION!!!!Asiwafuate maisha yao ataumbuka yeyye akapambane mpk chozi la mwisho na mwambie mwalimu anamtakia masomo mema na ufikirio mzuri na wa tija huko aendako Asiendekeze Sifa na zinaaa ama vitu vya kisasa labda kama vinamsaidia sawa
 
Hahahaha Yan mkuu wew n zwazwa kweli kweli hivo vitu lazima mwanafunz wa hayo masomo pamoja na pcb wawe navyo mm nimeona hayo masomo tena private sembuse government acha usipeleke mwanao atakuletea zero yako Saf tena umesau scientific calculator
Hivi na nyie mnasomaje? Mbona scientific calculator imo kwenye orodha? Ila huyu mzazi anazingua sana, haya mbona ni kwa shule zote! Wa kwangu anaenda Moshi PCB mahitaji ni hayo hayo!
 
3. Nikajiuliza ina maana shule hii anayokwenda kusoma mwanangu haina vitabu? Imekuwaje inaanza kidato cha tano huku ikiwa haina vitabu? Kipi kilipaswa kuanza, majengo au vitabu na walimu kwanza? Hivi mzazi kama nanunua vitabu vyangu kwa ajili ya mwanangu, si bora asomee nyumbani sasa na siku ya mtihani aende kufanya tu...?

Hili wazo lako zuri pia, asomee nyumbani ataenda tu kufanya mitihani, na hao panya chura atawapasua hapo hapo nyumbani na wembe wa topaz.
Jamani tumsamehe huyu mzazi! Uelewa tunapishana, na mzazi mwenyewe ukute sasa ni Mjita, kazi kweli kweli!
 
Asante kwa mchango wako...

Lakini, is that all what you can say...? Halafu nikishampeleka Tabora Boys' ili iweje...?

Think deep ndugu. Usiwaze mambo juu juu tu na kibinafsi. Think about other too. Advocate others too. Don't be salfish...

Yes I can do. But suppose I take your advice na nikafanikiwa...

Lakini kumbuka hili, sijaleta hoja hii ili kujitetea mimi tu na mtoto wangu kwa kusoma shule ya serikali isiyo na vifaa vya kujifunzia na kufundishia. This is for the benefit and interest of each and everyone of us..!!

Unaweza mhamisha wako. Lakini vipi wanaosoma shule hizo zenye mapungufu kama haya? Unadhani wanastahili...? Ni haki yao siyo..?

Tujadili mambo focus ikiwa ni kushunikiza serikali itoe vifaa kwa shule zake ili kila mtoto wa nchi hii regardless of their backgrounds, wawe wanatoka familia maskini au tajiri wafurahie matunda ya uhuru Wa nchi hii kwa usawa....!!

Narudia tena kukuuliza, umpeleke Tabora Boys ili iweje? Wale waliobaki, katika shule hizi, ni haki yao wasome ktk shule hizo hivyo hivyo bila vitabu so long wa kwako umempeleka Tabora Boys penye vifaa vyote ...???
Kwa shule zenye michepuo ya sayansi pamoja na uhaba wa vitabu pia Kuna uhaba wa waalimu, hiyo shule imefanya vema kumpa mwanafunzi na mzazi taarifa kuliko angeenda hivyo hivyo,tatizo kubwa halipo kwenye hiyo joining instruction tatizo kubwa ni mfumo wa elimu siyo rafiki kwa wanafunzi. Mimi kwa ushauri wangu kama unajua malengo ya mtoto wako baadaye ni Bora ukampeleka vyuo vya kati akachukue diploma ya fani anayopenda kuliko kwenda advance
 
1. Mwanangu amechaguliwa kuendelea na masomo ya kidato cha tano na sita (F. V & VI) mwaka huu 2021 Shule ya Sekondari Nyantakara katika tahususi (Combination) ya Chemistry, Biology & Geography (CBG) iliyoko wilaya ya Biharamulo mkoa wa Kagera. Hii ni shule ya serikali ya Tanzania....

2. Licha ya orodha ya mahitaji mengi anayotakiwa aende nayo mfano; fagio wa kufagilia ndani, sabuni ya maji ya chooni, fagio wa kufagilia nje, ream ya kataratasi nk nk, lipo hili ambalo mimi limeniacha hoi hata kujiuliuza kulikoni hizi shule za serikali? Nimeambiwa nimnunulie mwanangu

[A.] Vitabu yote vya tahasusi (subject combinations) anayokwenda kusoma yaani CBG & Basic Applied Maths

[B.] Dissecting Kit ya somo la Bailojia

3. Nikajiuliza ina maana shule hii anayokwenda kusoma mwanangu haina vitabu? Imekuwaje inaanza kidato cha tano huku ikiwa haina vitabu? Kipi kilipaswa kuanza, majengo au vitabu na walimu kwanza? Hivi mzazi kama nanunua vitabu vyangu kwa ajili ya mwanangu, si bora asomee nyumbani sasa na siku ya mtihani aende kufanya tu...?

4. Nimelileta humu tujadiliane ili tujue majigambo ya serikali kuwa imeboresha elimu Tanzania, yana maana gani kama hali iko hivi ktk shule zake...?

4. Naambatanisha na Joining instructions ya shule kwa ajili ya ushahidi na reference zaidi kwa atakayetaka kuthibitisha maelezo yangu....

5. Honestly, baada ya kuipata hii fomu ya maelekezo, nimeanza kusaka fedha tu na kufikiri kumpeleka shule ya binafsi...
View attachment 1829765View attachment 1829766View attachment 1829769
Kununua vitabu ni wajibu wa mzazi.kwa mzazi anayetaka maendeleo ya mwanae.Inawezekana shule ina vitabu lkn havitoshelezi.Ila zingatia huo wajibu km mzazi.
 
Ada ni 70000 kwa mwaka ,bado unalalamikia kununua hayo mahitaji? Private ada mamilioni ,jaribu kujiongeza mkuu.
 
Elimu bure inaishia kidato cha nne mbona huelewi! Elimika kwanza wewe ambaye huelewi. Hujui kama advansi wanalipa ada???[emoji15]
Hayo ndiyo mnatakiwa muwaeleze watu mjukwaani. Hicho kisiki Cha elimu bure watanzania walishashtuka. Kwa hiyo A lever wanalipa ada wakati wananchi wanajua ni elimu bure.
 
Ada ni 70000 kwa mwaka ,bado unalalamikia kununua hayo mahitaji? Private ada mamilioni ,jaribu kujiongeza mkuu.
1. LA KWANZA, hujaelewa hoja yangu inataka tujadili nini...

2. LA PILI, silalamikii ada ya TZS 70,000. Soma tena andiko mstari kwa mstari huku ukiruhusu akili yako kutafakari, utaelewa..

3. LA TATU, iko hivi, hata hivyo, Elimu Msingi (pre primary & primary education + O'level Sec. Ed) wameondolewa ada ya 20,000 per year [kwamba ni mzigo kwa wananchi] ambayo ni ndogo kuliko 70,000: kwanini wewe uone ajabu hilo hata kama ingekuwa hoja yangu hiyo..?
 
Hujanielewa nataka tujadili nini...

Silalamikii ada ya TZS 70,000...

Hata hivyo, Elimu Msingi (pre primary & primary education + O'level Sec. Ed) wameondolewa ada ya 20,000 per year ambayo ni ndogo kuliko 70,000: kwanini wewe uone ajabu hilo hata kama ingekuwa hoja yangu hiyo..?
Sijasema umelalamikia ada,kimsingi nilichojaribu kuonesha ni kwamba ,serikali imeishakupunguzia mzigo wa ada basi na wewe kamilisha hayo mahitaji.Tujue kumsomesha mtoto ni wajibu wetu sisi wazazi,tusitegemee mjomba kuja kutusomeshea.
 
1. Mwanangu amechaguliwa kuendelea na masomo ya kidato cha tano na sita (F. V & VI) mwaka huu 2021 Shule ya Sekondari Nyantakara katika tahususi (Combination) ya Chemistry, Biology & Geography (CBG) iliyoko wilaya ya Biharamulo mkoa wa Kagera. Hii ni shule ya serikali ya Tanzania....

2. Licha ya orodha ya mahitaji mengi anayotakiwa aende nayo mfano; fagio wa kufagilia ndani, sabuni ya maji ya chooni, fagio wa kufagilia nje, ream ya kataratasi nk nk, lipo hili ambalo mimi limeniacha hoi hata kujiuliuza kulikoni hizi shule za serikali? Nimeambiwa nimnunulie mwanangu

[A.] Vitabu yote vya tahasusi (subject combinations) anayokwenda kusoma yaani CBG & Basic Applied Maths

[B.] Dissecting Kit ya somo la Bailojia

3. Nikajiuliza ina maana shule hii anayokwenda kusoma mwanangu haina vitabu? Imekuwaje inaanza kidato cha tano huku ikiwa haina vitabu? Kipi kilipaswa kuanza, majengo au vitabu na walimu kwanza? Hivi mzazi kama nanunua vitabu vyangu kwa ajili ya mwanangu, si bora asomee nyumbani sasa na siku ya mtihani aende kufanya tu...?

4. Nimelileta humu tujadiliane ili tujue majigambo ya serikali kuwa imeboresha elimu Tanzania, yana maana gani kama hali iko hivi ktk shule zake...?

4. Naambatanisha na Joining instructions ya shule kwa ajili ya ushahidi na reference zaidi kwa atakayetaka kuthibitisha maelezo yangu....

5. Honestly, baada ya kuipata hii fomu ya maelekezo, nimeanza kusaka fedha tu na kufikiri kumpeleka shule ya binafsi...
View attachment 1829765View attachment 1829766View attachment 1829769
Punguza bia na nyama choma...vitabu vipo vya photocopy.. haihalishi shule kama ina Vitabu ama la,mtoto lazma awe na vitabu walau kimoja kimoja kwa somo..wakifika shule wana share......acha kuchangia harusi,sherehe..msaidie...CBG hyo ngumu,Na mtoto ajiandae kwenda SUA
 
Kununua vitabu ni wajibu wa mzazi.kwa mzazi anayetaka maendeleo ya mwanae.Inawezekana shule ina vitabu lkn havitoshelezi.Ila zingatia huo wajibu km mzazi.
Unajua maana ya "SHULE...?"

Sasa mimi nakuambia leo kuwa huo sio wajibu wa mzazi, ni wajibu wa mwenye shule 100%..

Shule ni mali ya serikali, siyo mali ya mzazi.

In some very special circumstances tu, mzazi naweza kumnunlia mwanangu kitabu fulani for her/his extra reference...
 
Back
Top Bottom