Kikwava
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 1,741
- 1,068
Hili ni pendekezo langu kwenye Dira mpya ya Taifa.
Ninashauri viongozi wa idara na taasisi za Elimu nchini wawe na Elimu kubwa.
Mfano; unaweza kuta mwalimu anayefundisha ana PhD Ila anaongozwa na mtu mwenye degree au
Mwalimu mkuu ana diploma Ila anamuongoza Mwalimu mwenye degree hii haileti taswira nzuri kwa staff na kwa idara nyeti Kama ya Elimu.
Pia viongozi wa Elimu kuanzia ngazi ya Halmashauri mpaka mkoani wawe ni wale wenye PhD.
Nimatumaini yangu kuwa viongozi wa juu wa Elimu watalizingatia hili kwa ustawi wa maendeleo ya Elimu yetu.
Elimu za viongozi wa Idara ya Elimu zikiwa kubwa zitapunguza siasa ndani ya Elimu na taasisi zake.
KAZI IENDELEE