Beberu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 4,548
- 9,740
Kwan mkuu si umuhamishe ?
Naonaga ni utaratibu wa ajabu wa baadhi ya watu, umekuta shule inafaulisha, unawapa mtoto, then unataka ubadili sheria zao,
Peleka mtoto, kama unaona hutak mtoto wako awahi kuamka sepeshe mtoto wako, pesa yako kwanin uteseke, huko kusoma sana ndio kunawatofautisha na hao unao ona hawafaulu sana