Uchumikati
Member
- Dec 8, 2020
- 82
- 97
Hatujitolei, tumeajiriwa kwa mkataba na tunapaswa kulipwa kila mwezi pamoja na nauliMmeajiliwa au mmejitolea!!!?? Tuanzie hapo
Mkuu, katika vitu ambazo sitakagi mchezo ni kwayeyote anae chezea ama kudharau kazi yangu.Bongo..humu maofisini tunachukuliana poa sana
Hivi umesoma ulichokiandika? Na umesoma mada ilotolewa ? Maana majibu yako yamo ndani ya mada.Mmeajiliwa au mmejitolea!!!?? Tuanzie hapo
Yaani Saaaana... Wakiona tu umechomekea wanajua Hauna shida na hela..Bongo..humu maofisini tunachukuliana poa sana
Dokta NYARI yupo anakusikiaEti na DIT kinazalisha ma engineer.
Wamepewa mradi wa kuweka mfumo wa kutumia gesi kwenye magari wanakenua tu. Magari tz yako mengi sana Ila wazee wa DIT wameshindwa kabisa kujiongeza.
Fungueni gereji mpaka mikoani.
Tangu awamu ya JK Ni Ubungo Ubungo Ubungo. Kama mmezeheka waachieni vijana ofisi.
Atuambie anakwama wapi? There are a lot of ideas huku mtaani. You only have to ask. Basidokta NYARI yupo anakusikia
Hii hali ukiizidisha sana inapelekea kufanya mambo ndivyo sivyo, wakati mwingine unaweza kuwa na matatizo yakisaikolojia, kwamba kila jambo wewe unaona hutendewi haki, punguza panick uwe na kiasi ili uruhusu uhuru akili yako ndio aimue na si jazba ama kutaka watu wakuone kwamba wewe ni mtata.Mkuu, katika vitu ambazo sitakagi mchezo ni kwayeyote anae chezea ama kudharau kazi yangu.
Kumbe ndo maana hamfundishi vizuri? Na ndugu yangu kahama chuo kisa anasema walimu hawaeleweki...Sisi walimu wa Chuo cha Serikali cha DIT tunaofanya part time tunaomba utusaidie tulipwe mishahara yetu tunayodai tangu mwezi June na sasa ni December na hatuoni dalili za kulipwa
Kwakweli ni tatizo la muda mrefu ambalo hakuna anaeonekana kujali sio mkuu wa chuo wala nani maana semester inaisha bila kulipwa hata mia na wanafunzi wanaenda likizo hadi miezi mitatu bado hawaprocess malipo hadi semester nyingine inaanza bado hawalipi na masomo yanatakiwa yafundishwe
Hapo kuna kutoa elimu bora kweli mtu kila siku unatumia nauli yako miezi 6 usilipwe ni uungwana kweli? Tunakuomba utusaidie mheshimiwa waziri tunateseka na watu tunafamilia na madeni lukuki yenye riba umiza zinazotokana na kucheleweshewa malipo bila sababu za msingi
Vyuo vimeshafungua wanafunzi wameshalipa ada lakini bado hatulipwi kama walivyoahidi kwamba hadi wakusanye ada. Hatupendi kuingia mitandaoni kuandika ila tunalazimika kutokana na uzembe wa watu wachache
Doh!Poleni Sana, wapelekeni mahakama ya kazi.
Sana, na wakati hawana walimu wanategemea tufundishe kwa moyo, hata awe malaika hawezi fundisha kwa moyo unakaa miezi yote bila kulipaBongo..humu maofisini tunachukuliana poa sana