Waziri wa fedha ingilia kati sakata la uboreshaji wa mashine za EFD, kamishna wa TRA ataleta balaa kubwa

Bora wangechagua "saccos" haya yasingetokea
 
ITV waliweka hiyo clip ya malalamiko kutoka kwa wafanyabiashara kwenye YouTube channel yao naona imefutwa kwa sababu wazijuazo wao.

Ilikuwa inaonyesha hadi tarehe 6 January kuna wafanyabiashara wengi walikuwa hawajui wanatakiwa kubadili system za mashine zao wamepokea txt tarehe sita ikiwaonya tarehe 7 mwisho, yaani wana masaa 24 ya ku update mashine ama fines.

In short ni chaos ukiangalia ile clip kuanzia communication za TRA kwa wafanyabiashara hadi kwenye uratibu wa zoezi zima kutokana na uwezo wa mdogo wa makampuni yanayotakiwa kufanya update given demand and their daily capacity.
 
ikumbukwe machine hizi ni za TRA weneyewe na nyingi zilizoletwa wakati huo tunaambiwa ni ndogo haziwezi kufanyiwa mabadiliko mawakala wanasema mtu anunue machine mpya na TRA wanawatupia tena mzigo wafanyabiashara.Mazingira yamekua magumu kuliko nyakati zozote za biashara nchini.
 
Mungu ibariki Tanzania
 
Tra wanachekesha wao ndio walianzisha mfumo wa risiti kutumia efd na watu wakanunua halafu haohao wanaleta sababu nyingine mashine ziwe upgrade tena kwa gharama za wenye mashine ngoja watu wachoke waanze kufunga biashara
 
Chatu anahitaji kunenepeshwa haraka.
 
jamani naombeni elimu. Efd machine hata kwenye Duka la mangi? au
 
Huyo jamaa nimemwona hana busara kichwani! Hekima na vyeti vya shule ni vitu viwili tofauti kabisa!
 
Tra wanachekesha wao ndio walianzisha mfumo wa risiti kutumia efd na watu wakanunua halafu haohao wanaleta sababu nyingine mashine ziwe upgrade tena kwa gharama za wenye mashine ngoja watu wachoke waanze kufunga biashara
Inaonekana kabisa hata mkifunga biashara they dont care. Thats it.
Wao hawategemei kodi. Wanategemea fines hasa za mabara barani
 
Inaonekana kabisa hata mkifunga biashara they dont care. Thats it.
Wao hawategemei kodi. Wanategemea fines hasa za mabara barani
Unafikiri kwanini rais aliwaambia tra wakae na wafanyabiashara wanapotaka kufunga biashara, ni kwa sababu mapato yalikuwa yanapungua fine za barabarani haziwezi kuendesha nchi.
 
Remote ipo dom au chato watanzania tutafulai
 
On upgrading of EFD:Kuna tatizo upande wa Wakala wa Permagon Mwanza Nyerere Road wanalazimisha wafanya biashara kununua betri mpya kwa ajili ya EFD ili hali zilizokuwepo zinafanya kazi. Hoja eti mfumo mpya ili ufanye kazi vizuri lazima uweke betri mpya. This technicality is nonsense Mamlaka ziangazie hili. Ni usumbufu na inaongeza gharama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…