Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Kwanza nikupongeze kwa kujua kudiscuss. Kitu kistaarabu sio Kama hawa wengine kitu hakijui anakurupuka tu kuongeaHiyo ndio hoja ya TRA walitoa hizo info in advance ila kwenye mkutano wao na wafanyabiashara Kagera kupitia ITV asilimia kubwa ya wafanyabiashara wanadai hawakuwa na hizo taarifa.
Sina shaka TRA wanasema ukweli walitoa notice a month in advance ila issue how did they communicate that message kwa wafanyabiashara wote nchini. Kwa ivyo sina shaka pia kuna wafanyabiashara wengi hawakua na taarifa maana wengi kilichowaogopesha fines, kwa maana hiyo wangejua wangetii.
Mbona walituma text kwa wengi siku ya mwisho kwanini awakufanya ivyo siku ya kwanza.
Changes kubwa kama hizo zinataka using various communication channels to reach your audience na sidhani kama mwezi unatosha kuanzia tangazo mpaka mabadiliko. TRA wenyewe wanakiri capacity ya kampuni zinazofanya upgrade ya hizo machine ni ndogo to meet the deadline wameruhusu watu watoe paper receipts.
Kwa kifupi zoezi alikuandalia vizuri awajajifunza tu jinsi ya kufanya mabadiliko kupitia kwa Makamba wakati anatoa zuio la mifuko ya plastic. Mbona Ummy Mwalimu somo kalielewa vitu vingine vinahitaji kuwapa watu habari na reasonable time.
Mimi nachojua mkuu kwanza tra walitoa waraka
Pili waliblock mashine zote.kama unavojua efd yako ikiwa na shida immediately unatakiwa ureport.sasa Kama mashine umezimiwa tuassume huna taarifa ya kuupgrade mashine then umefanyeje biashara mwezi mzima bila mashine??