Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Me nilipeleka tar 10 fasta tu nikaondoka nayoKawaida wabongo kila zoezi wanasubiri mwishoni ndio wanakurupuka wengi wanategemea watahudumiwa hio siku ya mwisho.
1.nida
2.tin verification
3.passport
Na sasa hivi zoezi hili wamesubiri mwezi umeisha ndio wanaenda na kuomba muda uongezwe.
Mimi nilipeleka mashine yangu Dec 30 wakati wengi bado wanakula sikukuu na ilikuwa upgraded siku hio hio.
Inategemea na mashine mkuu Kuna zingine ile software inakubali bila gharama
Sawa .Unaongea usichokijua nadhani wee ni muajiriwa huwezi kuelewa kitu
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Kuna mtu kitu kama hajawahi kuona anasema hakipo.Inategemea na mashine mkuu Kuna zingine ile software inakubali bila gharama
Ajulie wapi??Unajua kwanini wameweka hio system ya barcode?
Tunazindua lini 2021 rafiki yangu tukae hotelini hata siku mbili tudiscuss biashara zitaendaje mwaka huu maana lazima kupambana kweli kweliKuna mtu kitu kama hajawahi kuona anasema hakipo.
Mkuu mimi mbona mashine yangu bado inafanya kazi mpaka leo na sijaipeleka bado,kuna jirani yangu hapa kaipeleka yake wiki inaisha sasa hawajamrudishia,wateja wakija anashindwa kutoa risit.Jibu swali
Ngoja wakukamate na hizo risiti zako ni valid ukimuuzia mtu wa vat kitu hawezi claimMkuu mimi mbona mashine yangu bado inafanya kazi mpaka leo na sijaipeleka bado,kuna jirani yangu hapa kaipeleka yake wiki inaisha sasa hawajamrudishia,wateja wakija anashindwa kutoa risit.
Mi siko VAT mkuuNgoja wakukamate na hizo risiti zako ni valid ukimuuzia mtu wa vat kitu hawezi claim
Basi shukuru .ungekuwa na VAT Wala usingekuwa hujapeleka .nakuombea ukue uyaone mkuu.kila update ya tra utakuwa nayo ndani ya dakika maana inakula kwakoMi siko VAT mkuu