Waziri wa fedha ingilia kati sakata la uboreshaji wa mashine za EFD, kamishna wa TRA ataleta balaa kubwa

Waziri wa fedha ingilia kati sakata la uboreshaji wa mashine za EFD, kamishna wa TRA ataleta balaa kubwa

Kawaida wabongo kila zoezi wanasubiri mwishoni ndio wanakurupuka wengi wanategemea watahudumiwa hio siku ya mwisho.
1.nida
2.tin verification
3.passport
Na sasa hivi zoezi hili wamesubiri mwezi umeisha ndio wanaenda na kuomba muda uongezwe.
Mimi nilipeleka mashine yangu Dec 30 wakati wengi bado wanakula sikukuu na ilikuwa upgraded siku hio hio.
Me nilipeleka tar 10 fasta tu nikaondoka nayo
 
Kuna mtu kitu kama hajawahi kuona anasema hakipo.
Tunazindua lini 2021 rafiki yangu tukae hotelini hata siku mbili tudiscuss biashara zitaendaje mwaka huu maana lazima kupambana kweli kweli
 
Kwanza ilibidi hao mawakala wapite kwenye maduka wanakuwekea hiyo software alafu wanaondoka,sio kwenda kurundika machine kule pergamon,
 
Mkuu mimi mbona mashine yangu bado inafanya kazi mpaka leo na sijaipeleka bado,kuna jirani yangu hapa kaipeleka yake wiki inaisha sasa hawajamrudishia,wateja wakija anashindwa kutoa risit.
Ngoja wakukamate na hizo risiti zako ni valid ukimuuzia mtu wa vat kitu hawezi claim
 
Back
Top Bottom