Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
kabisa au kodi ya mgegedo...kila bao kodi nadhani serikali itapata hela nyingiNashauri waanzishe hata kodi ya kutembea ama kodi ya kulala usiku.
Waweke kodi ya kuvaa nguo, ukivaa nguo tu unalipa kodi. Ama kodi ya kuongea. Ukiongea tu unalipa kodi
Nashauri waweke kodi ya kila kitu.
Natamani sana kukijua Chuo Kikuu kilichompa hiyo 'Doctorate' yake hiyo ili nikidharau kama ninavyomdharau Yeye.Mwigulu Nchemba waziri wa fedha wa hovyo kabisa kutokea tangu tupate Uhuru.
Anataka kuua tu uchumi wa individualMbona tunakatwa Hela nyingi kuanzia vat, anataka kuongeza Nini Sasa?
Ujinga wa viongozi wa Tanzania ni kutokuwa na akili inyojitegemea, kila kitu ni ku copy toka kwa wengine as if nchi zote duniani zinafananaWaziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaanzisha ushuru wa huduma za mitandaoni ‘Digital Service Tax’, “hili ni eneo jipya ambalo tunalifanyia kazi, katika bajeti zinazofuata litakuwa ingizo jipya. Mataifa mengi yanageukia kodi hii.”
Kazi na iendelee!
HA HA HA HAAAAAAA. WE JAMAA WEWEkabisa au kodi ya mgegedo...kila bao kodi nadhani serikali itapata hela nyingi
We msomi international taxation hii mkuu OECD model na UN modelJe itatozwa Google, Facebook, n.k au Jamii Forums tu? Hao jiants tayari wamekingiwa kifua na OECD.