Waziri wa Fedha: Serikali itaanzisha ushuru wa huduma za mitandaoni ‘Digital Service Tax’

Waziri wa Fedha: Serikali itaanzisha ushuru wa huduma za mitandaoni ‘Digital Service Tax’

Hedhi zetu tu Wanawake tunalipia kwanini wasianzishe na Kodi za wanaume Sasa maana ni too much of kodi
So usipolipia hupati Hedhi!!! Pole sana Dada, so hiyo ya wanaume inakuwa kodi ya kitu gani ?kodi ya kubemba mbupu ?😅
 
Mwigulu Nchemba waziri wa fedha wa hovyo kabisa kutokea tangu tupate Uhuru.
Mwigulu Nchemba original Ni msukuma na yupo, anajulikana.
Kila kitu kinachomhusu anayejiita Mwigulu Nchemba ni feki...jina, elimu, uwezo, hekima, busara na hata akili vyote ni feki. Bahati yake ni CCM, jumba linalolea na kuhifadhi vyote hivyo. Adui mkubwa wa taifa la Tanzania ni CCM.

Kuna wakati nawatazama Watanzania wenzangu na kujiuliza maswali lukuki kama kweli sisi ni binadamu wa kweli, tunaruhusuje kuwapa madaraka watu kama Mwigulu Nchemba? Tunataka na tunalenga nini...maendeleo feki?
 
Back
Top Bottom