Waziri wa Fedha: Serikali itaanzisha ushuru wa huduma za mitandaoni ‘Digital Service Tax’

Waziri wa Fedha: Serikali itaanzisha ushuru wa huduma za mitandaoni ‘Digital Service Tax’

Nashauri waanzishe hata kodi ya kutembea ama kodi ya kulala usiku.

Waweke kodi ya kuvaa nguo, ukivaa nguo tu unalipa kodi. Ama kodi ya kuongea. Ukiongea tu unalipa kodi

Nashauri waweke kodi ya kila kitu.
Sisi wazalendo tutalipa kodi za serikali. Ya kaizari haya mpe kaizari
 
Natamani sana kukijua Chuo Kikuu kilichompa hiyo 'Doctorate' yake hiyo ili nikidharau kama ninavyomdharau Yeye.

Nashukuru hajasoma Chuo Kikuu changu bora, pendwa na barikiwa cha SAUT Mwanza au hiki cha Dar es Salaam ( School of Graduate Studies ) Msimbazi Center ambacho kinatoa 'Geniuses' tupu nchini Tanzania.
Chuo kikuu cha 'Mdhumbe' kilichopo Mji kasoro bahari ndicho kilicho mzawadia hiyo pwii hechi dii yake ya TOZO.
 
Huyu mbwiga kuna lingine lolote analolijua zaidi ya kutunga kodi mpya tu?
Ni vile hawana uwezo tu, ila ingekuwa amri yao wangeleta 'breathing tax' pia. kila ukivuta hewa ulipishwe.
 
Chuo kikuu cha 'Mdhumbe' kilichopo Mji kasoro bahari ndicho kilicho mzawadia hiyo pwii hechi dii yake ya TOZO.
Kama ni Mzumbe University cha Mkoani Morogoro nakisamehe 'Kukidharau' kwa Heshima Kubwa sana ya Marehemu Babu yangu Mpendwa Mzaa Mama mwenye 'initials' za BTA ambaye ndiyo alikuwa Mkufunzi wa Kwanza Mwafrika Kufundisha hapo Kikiwa chini ya Wazungu ( Waingereza ) ambapo kilikuwa Kinaitwa IDM Mzumbe ambapo Marehemu Babu yangu alikubalika sana kutokana na 'Uwerevu' wake wa Kutukuka ambao Wajukuu zake akina GENTAMYCINE na wengineo wengi tu tumeurithi na tunajivunia mno Yeye.
 
ivi haya mambo yanayotokea kwenye kodi za tozo ilani yao Ccm yapo ama wameyapanga wenyewe wakiwa bungeni
 
Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaanzisha ushuru wa huduma za mitandaoni ‘Digital Service Tax’, “hili ni eneo jipya ambalo tunalifanyia kazi, katika bajeti zinazofuata litakuwa ingizo jipya. Mataifa mengi yanageukia kodi hii.”

Kazi na iendelee!
Serikali ya Wanyonge, Upinzani walituchelewesha sana! Fyoko fyoko, fyoko! Hakuna Mbunge wa kijani anayeweza kupinga hapo! Mtakoma shenzi
 
Nashauri waanzishe hata kodi ya kutembea ama kodi ya kulala usiku.

Waweke kodi ya kuvaa nguo, ukivaa nguo tu unalipa kodi. Ama kodi ya kuongea. Ukiongea tu unalipa kodi

Nashauri waweke kodi ya kila kitu.
hawa watu hawana aibu mkuu, usishangae kesho ukasikia kuna kodi mpya ya kulinda mazingira ambapo ili kujamba inabidi ulipe kodi
"flatulence tax" ambayo watatumia kujenga hospital.
 
Back
Top Bottom