Kila kitu kinachomhusu anayejiita Mwigulu Nchemba ni feki...jina, elimu, uwezo, hekima, busara na hata akili vyote ni feki. Bahati yake ni CCM, jumba linalolea na kuhifadhi vyote hivyo. Adui mkubwa wa taifa la Tanzania ni CCM.
Kuna wakati nawatazama Watanzania wenzangu na kujiuliza maswali lukuki kama kweli sisi ni binadamu wa kweli, tunaruhusuje kuwapa madaraka watu kama Mwigulu Nchemba? Tunataka na tunalenga nini...maendeleo feki?