Waziri wa Katiba na Sheria Mwigulu Nchemba awajibu TLS kuhusu Rais Samia Suluhu kuteua Baraza jipya la Mawaziri

Sio tu tatizo, ni tahahira kabisa!! hawa ndio aina ya wasomi walienda shule si kuelimika, bali wasome ili wapate ajira,na sio kuelimika!!??

Mwenzio kajibu hoja tena kwa kunukuu vifungu vya Katiba, lkn wewe mpuuzi mmoja hujaona hilo ila umeona yeye ni zaidi ya tatizo. Nawe ulienda shule eti!
 
uko sahihi Mhe. Mwigulu waziri wa Katiba Na Sheria.
hao TLS wamekosa kabisa utu wanaanza kuanzisha mjadala wa mgawanyo wa madaraka?!
wakati sisi watanzania bado tuna majonzi!!
Pumzika kwa Amani JPM

Mbona Rais ameapishwa wakati tuna majonzi si tungesubiri tumalize kuzika kwanza akiwa kaimu Rais. Tumefanya hivo sababu ya katiba na sheria. Hatuwezi kuacha kufuata katiba na sheria za nchi ati sababu tuna majonzi. Hivi kuna aliyejiuliza kwanini tunaomboleza siku 21 inamaana baada ya hapo hatutakuwa na majonzi jibu ni sababu ya katiba imeweka hivo. Hivo tuache kuongozwa na emotional
 
Mwenzio kajibu hoja tena kwa kunukuu vifungu vya Katiba, lkn wewe mpuuzi mmoja hujaona hilo ila umeona yeye ni zaidi ya tatizo. Nawe ulienda shule eti!
Peleka ujinga wako kwa bwana wako mwigulu! boya wewe!! We ni miongoni mwa mijitu inayoishi kwa kujipendekeza!! boya mmoja!
 
Aliyetoa bandiko la TLS ni kilaza mmoja, kama TLS nzima basi wamedhalilisha Taaluma zao.
Wanashindwaje kutofautisha Rais mteule, na Rais kwa sababu za kiafya au kifo.
 
Yaani wapinzani kulalamika ni jadi yao! Mnadhani kuna kupumua hapa? Magu spirit will prevail
Wakiendeleza Magu spirit wajue watafuatana kwa foleni kwa sababu manung'uniko yetu hayotumuacha salama Mungu ameshawakasirikia kwa ishara kuu

Sio korona, sio moyo wala malaria ... ni ishara ya Mungu mkuu alie hai wajuzi wanaelewa
 
Yaani wapinzani kulalamika ni jadi yao! Mnadhani kuna kupumua hapa? Magu spirit will prevail
Wakiendeleza Magu spirit wajue watafuatana kwa foleni kwa sababu manung'uniko yetu hayotumuacha salama Mungu ameshawakasirikia kwa ishara kuu

Sio korona, sio moyo wala malaria ... ni ishara ya Mungu mkuu alie hai wajuzi wanaelewa
 
Mwenzio kajibu hoja tena kwa kunukuu vifungu vya Katiba, lkn wewe mpuuzi mmoja hujaona hilo ila umeona yeye ni zaidi ya tatizo. Nawe ulienda shule eti!
Hujaona vifungu walivyoanisha TLS?? au uko hapa kumtetea mwigulu ili upate chakula cha wanao? jinga kabisa wewe!! ishi kwa kumtegemea Mungu si mwanadamu, imeandikwa "amtegemeae mwanadamu amelaniwa" hivyo wewe una laana ya ujinga!!
 
Mwigulu katafuta vifungu vya sheria kaishia njiani kahamia kwenye busara na utu.
Hapa inazungumzwa katiba na sheria za nchi. Tukienda sijui utu na ubinadamu mbona nchi haitaenda
 
Nani aliwaomba kutoa mwongozo kwa jambo hili?
Kwani muhimili wa sheria haupo mpaka TLS wadandie treni kwa mbele?
Je wameona wao wanajua zaidi ya serikari?
Raisi anweza asifanye mabadiliko yoyote na kuidhinisha lililopo sasa hao TLS watamlazimisha?
 
Hawa akina mwigulu kujikomba komba na kutoa sifa zitakoma..Mama sio mpenz wa matakata hayo..
 
Tu
Ili kufunga mjadala huu, tutajie Kifungu cha Sheria kinachosema kuwa baada ya kuapa, Rais ataenda kutoa taarifa kwa Baraza la Mawaziri.
 
Ni wapi katiba imesema raisi akifariki dunia,makamu wa Raisi atakayeapishwa kuwa Raisi inabidi aunde baraza lake la mawaziri?

Sasa Rais ataongoza nchi kwa kutumia baraza gani kama haundi baraza lake, hao si waliapa kumtii Magufuli sasa unataka Rais Samia arithi kiapo cha Magufuli. Kwanini huyu Rais anataka kunyimwa hata haki ya kuunda baraza lake la mawaziri ili awajibike nalo kwa utendaji wake na siyo hizo sababu za njaa za watu waliokuwa kwenye baraza la Magufuli? TLS wametoa ushauri mzuri sana wa kisheria. Hizo zingine porojo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…