The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Hapa ni je sheria inasemaje. Kama ni hivyo wangesubiri hata kumuapisha mpaka wazike.Mwigulu yuko sahihi katika hili,tuache ubabaishaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ni je sheria inasemaje. Kama ni hivyo wangesubiri hata kumuapisha mpaka wazike.Mwigulu yuko sahihi katika hili,tuache ubabaishaji
Sio tu tatizo, ni tahahira kabisa!! hawa ndio aina ya wasomi walienda shule si kuelimika, bali wasome ili wapate ajira,na sio kuelimika!!??
uko sahihi Mhe. Mwigulu waziri wa Katiba Na Sheria.
hao TLS wamekosa kabisa utu wanaanza kuanzisha mjadala wa mgawanyo wa madaraka?!
wakati sisi watanzania bado tuna majonzi!!
Pumzika kwa Amani JPM
Peleka ujinga wako kwa bwana wako mwigulu! boya wewe!! We ni miongoni mwa mijitu inayoishi kwa kujipendekeza!! boya mmoja!Mwenzio kajibu hoja tena kwa kunukuu vifungu vya Katiba, lkn wewe mpuuzi mmoja hujaona hilo ila umeona yeye ni zaidi ya tatizo. Nawe ulienda shule eti!
Mwigulu anatoa maoni yake kutokana na emotions. TLS wametazama katiba. Hakuna sheria iliyowahi kuzingatia emotions!! Ni kweli ni msiba mkubwa lakini kama emotions zingetumika, hata SSH asingeapishwa basi. Aliapishwa kukishi matakwa ya sheria/ katiba.
Ikiwa tunataka emotions na mambo ya namna hiyo kupatiwa nafasi kwanza, katiba isingetaja habari za siku. Hata isingesema maombolezo ya siku 21. Nani anaweza kusema kuwa baada ya siku 21 uchungu wa kupotelewa na Magufuli utakuwa umekwisha??
Kutaka emotions zitawale ndio chanzo cha watu kuja baadae na kusema “tunafanya hili kumuenzi fulani na fulani”. Na tujiandae, hili litatumika sana!!!
Kama nchi tutasonga mbele katika uchungu na furaha, shida na taabu. Tutasonga mbele!!!
Wakiendeleza Magu spirit wajue watafuatana kwa foleni kwa sababu manung'uniko yetu hayotumuacha salama Mungu ameshawakasirikia kwa ishara kuuYaani wapinzani kulalamika ni jadi yao! Mnadhani kuna kupumua hapa? Magu spirit will prevail
Wakiendeleza Magu spirit wajue watafuatana kwa foleni kwa sababu manung'uniko yetu hayotumuacha salama Mungu ameshawakasirikia kwa ishara kuuYaani wapinzani kulalamika ni jadi yao! Mnadhani kuna kupumua hapa? Magu spirit will prevail
Hata wewe umeliona?Rais ni taasisi akifa na baraza la mawaziri linakufa automatically!
Hili hata Prof wa sheria Palamagamba analielewa vizuri.
Hujaona vifungu walivyoanisha TLS?? au uko hapa kumtetea mwigulu ili upate chakula cha wanao? jinga kabisa wewe!! ishi kwa kumtegemea Mungu si mwanadamu, imeandikwa "amtegemeae mwanadamu amelaniwa" hivyo wewe una laana ya ujinga!!Mwenzio kajibu hoja tena kwa kunukuu vifungu vya Katiba, lkn wewe mpuuzi mmoja hujaona hilo ila umeona yeye ni zaidi ya tatizo. Nawe ulienda shule eti!
Anasahau kuwa aliteuliwa kabla Mahiga hajazikwa?Huyu mtu ni tatizo kubwa!
Rais ni taasisi akifa na baraza la mawaziri linakufa automatically!
Hili hata Prof wa sheria Palamagamba analielewa vizuri.
Nani aliwaomba kutoa mwongozo kwa jambo hili?Dah! Mwigulu kama anajua tupo kwenye msiba mzito ametoa wapi nguvu ya kuandika haya? Hapa ninachokiona ni namna ya kujipigia debe ili asiachwe kwenye baraza lijalo. Hakuna chochote cha msingi alichokiongea. TLS wametoa mwanga kuhusu issue nzima ya kikatiba kuhusu hali iliyopo, sasa hapa Mwigulu hata haieleweki anaongea nini.
Ili kufunga mjadala huu, tutajie Kifungu cha Sheria kinachosema kuwa baada ya kuapa, Rais ataenda kutoa taarifa kwa Baraza la Mawaziri.Nimememwelewa mwigulu, Raisi alitakiwa kutoa taarifa Kwa Baraza , ni Baraza lipi? Kwa mazingira yake hlo Baraza lilikuwepo , na hivyo busara aliyotumia Raisi ya kusitiri mwili Kwanza zen maswala ya kuvunja Baraza yaendelee ipo poa tuuu...anyway naweza kosolewa mana sio mtaalam wa Sheria Na katiba ....
Sheria inataka Raisi aapishwe kabla ya kuzikaHapa ni je sheria inasemaje. Kama ni hivyo wangesubiri hata kumuapisha mpaka wazike.
Ni wapi katiba imesema raisi akifariki dunia,makamu wa Raisi atakayeapishwa kuwa Raisi inabidi aunde baraza lake la mawaziri?