Waziri wa Maji fuatilia bili za DAWASA, wanawaibia watu na kuwafanya wananchi wamchukie Rais

Umeshaenda Ofisini kwao mkuu?
Dawasa ni watu pia
 
Hata ukiweka pre paid kama hujakagua mifumo yako ya maji itakuwa kazi bure.

Kwa ukawaida mabomba hayatakiwi kufukiwa kabla ya maji kupita, ila watu wengi hufukia kabla ya maji, kama fundi alikosea lazima yatavuja na hutajua
 
Makando kando hayatakaa yaishe kwenye serkali hii ya Samia maana mnajidai mabingwa wa kutumia lawama serkali ya awamu ya tano!
Yakija ya kwenu na utawala wa huyu Mama mnaanza kuzunguka mbuyu! Mnaongoza kwa unafiki wapuuzi sana nyie!
 
Nyinyi si ndo mnatakaga mambo ambayo serksali ya Samia inabidi ilaumiwe mnapindisha yakija mambo ya Serkali ya Magufuli lawama zote kwake! Jinga sana!

Kama kuna mtu aliharibu hii nchi ni Magufuli. Yeye ndio muasisi wa huu upuuzi wa kusema rais, rais kwa kila jambo. Na watanzania wajinga wakawa wanaamini kila kitu ni rais. Ikafikia hadi mahali usipomtaja rais kwenye jambo fulani unaonekana uko kinyume naye.
 
Huyo Samia hajui chochote.

Anaambiwa tu.

Kwa taarifa yako nchi hii UPIKAJI wa Number umehalalishwa kabisa.

Na hao Idara ya MAJI wanapika BILL Kwa maagizo ya Mamlaka zao kwa nia ya kuongeza mapato.

Hebu jaribu kufikiri,

Msoma MITA anakupikia BILL halafu unapewa Control number ukalipe!!!

Yeye anapata Nini hapo, Kama siyo maagizo ya OFISI.
 
Acha ujinga sasa leo Magufuli hayupo nambie kipi kimebadilika? Wewe ndo mpuuzi kabisa usiyejitambua huyo bibi yako kafanya lipi zuri la kusema Magufuli hakuwahi kulifanya?
 
Acha ujinga sasa leo Magufuli hayupo nambie kipi kimebadilika? Wewe ndo mpuuzi kabisa usiyejitambua huyo bibi yako kafanya lipi zuri la kusema Magufuli hakuwahi kulifanya?

La maana linatakiwa lifanywe na serikali kupitia kodi za wananchi. Huyo Magufuli sijui bibi, hao unawajua ww. Ingekuwa wanafanya kwa mishahara yao ningeona unajadili jambo la maana. Lakini habari za uchawa pelekea chawa wenzako.
 
Hata ukiweka pre paid kama hujakagua mifumo yako ya maji itakuwa kazi bure.

Kwa ukawaida mabomba hayatakiwi kufukiwa kabla ya maji kupita, ila watu wengi hufukia kabla ya maji, kama fundi alikosea lazima yatavuja na hutajua
Ni kweli.....
Nilichoona ni kuwa hana Imani na wasoma meter, Anahisi kuibiwa.
Bei za ajabu inaweza kuwa ni
1. Leakages baada ya meter ( kosa lake)
2. Ubovu wa meter ( kosa la mamlaka).
Ila sidhani kama kuna mtu anaweza muibia, iwaje?
 
Dawasa kwanini hawaleti mfumo kama wa LUKU? Hawaaminiki kabisa. Bill zao haziangalii ukweli. Ningependa zoezi la kupima kiasi cha maji yaliyotumika, lihusishe na watumiaji wa maji.
 
Leakage nyungi hutokea wakati wa pavings
 
Waneniunganishia bili ya mwezi wa jana na mwezi huu- nimelipa hapa na wanakuja na sms kuwa nimelipa bili ya mwezi wa jana na wananilazimisha nilipe tena wakati waliiunganisha bili ya mwezi wa jana na mwezi huu

Hawapo makini hawa jamaa
 
Una hoja za msingi, lakini ni kama umeathiriwa na huu ujinga ulioota mizizi wa kumuhusisha rais na kila jambo. Sikutegemea hata ww unaweza kuingia kwenye hizi propaganda uchwara!
Kila kitu kina angle ya Kisiasa, Kiuchumi na Kijamii. Na unachagua kitu kitakachomfanya mtu aliyekuwa addressed akimbie chapchap kutatua tatizo!
 
Kila kitu kina angle ya Kisiasa, Kiuchumi na Kijamii. Na unachagua kitu kitakachomfanya mtu aliyekuwa addressed akimbie chapchap kutatua tatizo!
Mmhhh, uchawa umekuwa mwingi, kiasi kwamba hata huyo unayeamtaja kwa kumsifia haoni jipya tena, kwani sasa hivi kumtaja rais imekuwa norms. Usitegemee yeye kukimbia kwa lolote boss.
 
U
Dawasa kwanini hawaleti mfumo kama wa LUKU? Hawaaminiki kabisa. Bill zao haziangalii ukweli. Ningependa zoezi la kupima kiasi cha maji yaliyotumika, lihusishe na watumiaji wa maji.
Kwanza wasoma mita hawana uwezo wa kupita kila nyumba kusoma.

Hawana huo muda wa kujiumiza.

PILI, Sometimes MAJI hayatoki na wao hawana huo muda wa KULA HASARA.

BILL zinakadiriwa tu.

Kubali kataa, hiyo ndio HALI HALISI.
 
Huwa wana visingizio vyao kimojawapo eti "Labda kuna leakage".

Kama kuna leakage lazima tungeona mita zikiendelea kuzunguuka pindi mtu unapokuwa hutumii maji, lakini haiko hivyo!
 
Kumbe inatokea Kwa wananchi wengi ?! Tulizani sie tu.

Hawa jamaa hawana hata aibu aisee [emoji848]

Halafu hawatumii hata akili katika kubambikia wananchi bill zao.

Yaani wanafanya kienyeji sana mpaka aibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…