Waziri wa Maji fuatilia bili za DAWASA, wanawaibia watu na kuwafanya wananchi wamchukie Rais

Enzi za bwana yule ungetokwa mapovu kama yeye ndie anayeikuibia laivu saivi unalalamikia dawasa na sio rais mwenyewe. Je kama hayo ni maagizo toka juu
mmuache apumzike.

Hahahah.
 
Vijana wamepuwa target la makusanyo wasipofikisha wana fukuzwa kazi we unadhani watafanyaje sasa ili kupambania ugali lazima wafoji bills

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Hapa umenena,niliwahi kuwalaumu sana DAWASCO, wakanishauri hivyo hivyo.Nikaleta fundi kuja kuangalia mpira unaopeleka maji kwenye tanks kubwa za juu ulikua unavuja kidogo kidogo sasa fikiria panavuja muda wote na ilikuwa sehemu ya garden hata hujui kama panavuja.Niliporekebisha tu sikuwa hi tena kugombana na DAWASCO swala la Bill.
 
Basi tulieni sasa na huyu alaumiwe.Msifokee watu kwakuwa wanamlaumu Rais mnayempenda.Endeleeni kumlaumu JPM na wao waache wamlaumu aliyepo kwa sasaHizi ndiyo gharama za kuwa Kiongozi.
 
bill za dawasa ni za kupikwa tu, wasoma mita wanatoka ofisini wanakusanyana kwenye vi pub wanakula na kulewa tu. wakimaliza kulewa wanaanza kupika bill.
 
Mara nyingi zile mita hazina tatizo lolote lile.
Miundombinu yetu ndio tatizo,sisi walikuwa wanalipa 200000 kila mwezi, baada ya kufatilia bill ikashuka hadi 97
 
Kama maji yanavuja, hata kama ni leakage ndogo mita huwa inatembea. Sasa unakuta leakage hakuna, mita imetulia tuli pindi usipotumia halafu wanakubambika bili si la sayari hii
 
Mara nyingi zile mita hazina tatizo lolote lile.
Miundombinu yetu ndio tatizo,sisi walikuwa wanalipa 200000 kila mwezi, baada ya kufatilia bill ikashuka hadi 97
Mara nyingi kwa kaya zenye familia ya wastani na matumizi ya kawaida ikiwemo umwagiliaji wa bustan 80-100K per month kama bill ni kawaida kabisa
 
U

Kwanza wasoma mita hawana uwezo wa kupita kila nyumba kusoma.

Hawana huo muda wa kujiumiza.

PILI, Sometimes MAJI hayatoki na wao hawana huo muda wa KULA HASARA.

BILL zinakadiriwa tu.

Kubali kataa, hiyo ndio HALI HALISI.

Dawasa walete mita kama za LUKU. Ndio maana wote wannene wamefura, sabau ya haya mambo ya kukadiria mita za maji, ili mishahara ipatikane
 
Basi tulieni sasa na huyu alaumiwe.Msifokee watu kwakuwa wanamlaumu Rais mnayempenda.Endeleeni kumlaumu JPM na wao waache wamlaumu aliyepo kwa sasaHizi ndiyo gharama za kuwa Kiongozi.

Nyie ndio mna muda wa kuwasifia marais, mimi najua ni pesa za wananchi kupitia kodi zao. Nyie Chawa ndio tunawashangaa mnapowasifia marais kama vile wanafanya kwa mishahara yao.
 
Tatizo nikwa wale wasoma mita ,sina uhakika na hili ila zamani nilisikia nikama wanalipwa kutokana idadi ya mita wanazo zisoma
 
Mara nyingi zile mita hazina tatizo lolote lile.
Miundombinu yetu ndio tatizo,sisi walikuwa wanalipa 200000 kila mwezi, baada ya kufatilia bill ikashuka hadi 97

Tatizo lilikuwa ni nini hasa mpaka bill ilikuwa 200,000?
 
Unapiga simu badala uende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…