Waziri wa Maji fuatilia bili za DAWASA, wanawaibia watu na kuwafanya wananchi wamchukie Rais

Rais anaehimiza wizi hawezi kuzuia wizi.
Your browser is not able to display this video.
 
Maji yalikuwa yanavuja kwenye connectors, yaani lita lita 3000 kwa siku
Maji Kama yanavuja bila kupita kwenye mita yako bila kupita kwenye mita siyo hasara kwaako.
 
Nyie Ni wazima? Sasa si upeleke picha ya mita kwa Sasa idara ya maji waambie haujafika huko
Ulishawahi kutafakari kuwa si wote ni wakazi wa dar wengine tunaingia na kutoka tu.
Nimegundua kuwa bill ni batili siku ya Jmosi jioni nilipoingia Dar, Jumatatu asubuhi nimeondoka kurudi nilikokuwa kwahiyo hiyo picha naipeleka saa ngapi? Suluhisho la muda ni kupiga simu na ndicho nilichofanya.

Halafu katika process ya kujifanya mjuaji epuka kuhoji uzima wa watu, hilo ni kama tusi kwa wengine. Kuna njia nyingi za kuwasilisha hoja pasi kukebehi.
 
Kwenye mkoa wangu huyumwa sms ya usomaji wa mita kabla ya bili kuja.na hukuomba mteja uhakiki usomaji.
Kama we uhakiki usomaji unategemea nini?
 
Msamehe Bure, Ujuaji Ukizidi
 
Sijaelewa bado unabambikiwa vipi bill ilihali Wewe mwenyewe unaweza kusoma unit na ukaandika sehemu na wakituma bill ukajumlisha unit zilizotumika?

Kwenye hili nahitaji maelezo ya kina, halafu isitoshe hizi pesa unalipa Kwa control number, je wanamkomowa nani ili kumnufaisha nani?
 
Sio dawasa tu .....almost mamlaka zote za mikoa kuna changamoto
 
Sijawahi kukumbwa na tatizo la kubambikiwa bill na siamini kama kuna ukweli ninachojua wabongo wengi wana nongwa na roho mbaya kazi kubwa ni kuchonganisha watumishi wa umma na serikali ili ikiwezekana mtu afukuzwe kazi na ikitokea hivyo Mbongo ufurahi sana,hata wakati wa Magufuli si kweli kwamba kilichokuwa kikiwafurahisha ni utendaji kazi bali kule kufukuza fukuza ovyo wafanyakazi na wateule.
Hiyo ndio sifa kubwa ya Mbongo ndio maana hata wachawi ni wengi.
 
Wakuu mm maji huanza kutoka kwa pressure kali sana kwa maana hutangulia upepo mpaka mita inatikisika sasa ule upepo inasoma kwenye meter?
 
Wakuu mm maji huanza kutoka kwa pressure kali sana kwa maana hutangulia upepo mpaka mita inatikisika sasa ule upepo inasoma kwenye meter?
Upepo nalo ni tatizo kubwa sana, maana unakimbiza mita kuliko maji yenyewe!.

Lakini ukiachilia mbali ishu ya upepo ambayo hutokea mara chache, hawa DAWASA bili wanazoleta haiakisi matumizi ya maji ambayo mtu unafanya.
 
Kwa hio Kama hukai dar Nani anatumia hayo maji Kuna mizimu? Mnavotumiwa msg muhakiki readings kabla bill haijaja huwa mnafanya hvyo? Maana Kuna makosa katika usomaji mtu anaweza ona imesoma 369 akaandika 389

Afu sikai dar Wala sipajui napasikiaga tu
 
Wengi hawalijui hili,
Dawasa wanajisifia kukufanya mapato mengi ilihali wanawaibia wananchi,
 
Vijizi sana hivi vijamaa
 
MITA zao dawasa ndio tatizo ,za mchongo
yangu nmetumia miezi mi3 tu ikakwama mpaka keshokutwa naambiwa ntabadilishiwa miaka inakatika
yano bili ukiilipa mwezi unaofata wana double unit, utasema unamwagilia bustani
halafu mita huku inasoma unit chache kwao unaambiwa umetumia nyingi,wanakwambia lipia kwanza ishaingia kwenye system halafu tutashugulikia , baada ya hapo kimyaa ukiwafata fata sana wanakunyamazia utasema sio shirika la kiserikali
U

Kwanza wasoma mita hawana uwezo wa kupita kila nyumba kusoma.

Hawana huo muda wa kujiumiza.

PILI, Sometimes MAJI hayatoki na wao hawana huo muda wa KULA HASARA.

BILL zinakadiriwa tu.

Kubali kataa, hiyo ndio HALI HALISI.
wanakadiria , unakuta hata msoma mita wa mtaa wako humjui, utamjua siku anayokuja kukutishia kukata maji
wasoma mita wanajiona kama wao ni watoa uhai
Naunga mkono hoja dawasco kuna uhuni haswa kianzia bili za december baada ya shortage ya maji wamekuwa wakibambikia watu bili mara 3 ya kawaida. Ipo shida kubwa dawasco
Yani wanabambikia na hata ukiwafata wanakwambia watalishugulikia, kwanzia customer care mpaka vitengo wote wababaifu
kama hayajakukuta mkuu kaa kimya tu
 
Utakuwa ni mmoja wa wale wachawi na wafitini bila shaka.
 
Wananchi wengine wamesusa wamechoka kubambikiwa mabili ya Maji halafu ukute ni mere site basi mtu kuacha kufuatilia hayo Maji wala haoni umuhimu wowote.

Wao wamekata ngoja ibaki hivyo hivyo.[emoji108]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…