GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wewe ni Waziri mwenye chuki sana na uongozi wa TFF na una wivu wa kishamba na Simba SC kutokana na mafanikio yake, hasa kimataifa dhidi ya timu yako unayoishabikia mno ya Yanga SC.
Leo katika hafla ya kuwopongeza Tembo Warriors umetoa kauli kuwa TFF isiwe inabagua kutoa ushauri kwa vilabu vya Tanzania vinavyoshiriki michuano ya kimataifa, ukimaanisha kuwa TFF inaisaidia sana Simba SC kiushauri ila Yanga SC yako inatengwa pengine ndiyo maana juzi haikufanya vyema na kutoka sare na Al Hilal FC kwa Mkapa.
Waziri wa Michezo Mchengerwa mimi GENTAMYCINE nakuuliza hivi, Yanga SC juzi ingeshinda dhidi ya Al Hilal FC ya Sudan hizi hasira zako na mapovu yako ya leo ungeyatoa?
Wewe ni Waziri wa hovyo wa michezo kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania tokea uhuru na sikukubali kabisa kwani huna uwezo na hiyo Wizara na hujui lolote pia.