Waziri wa Michezo Mchengerwa, Yanga SC ingeifunga Al Hilal FC juzi haya 'Mapovu' yako ya leo ungeyatoa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Wewe ni Waziri mwenye chuki sana na uongozi wa TFF na una wivu wa kishamba na Simba SC kutokana na mafanikio yake, hasa kimataifa dhidi ya timu yako unayoishabikia mno ya Yanga SC.

Leo katika hafla ya kuwopongeza Tembo Warriors umetoa kauli kuwa TFF isiwe inabagua kutoa ushauri kwa vilabu vya Tanzania vinavyoshiriki michuano ya kimataifa, ukimaanisha kuwa TFF inaisaidia sana Simba SC kiushauri ila Yanga SC yako inatengwa pengine ndiyo maana juzi haikufanya vyema na kutoka sare na Al Hilal FC kwa Mkapa.

Waziri wa Michezo Mchengerwa mimi GENTAMYCINE nakuuliza hivi, Yanga SC juzi ingeshinda dhidi ya Al Hilal FC ya Sudan hizi hasira zako na mapovu yako ya leo ungeyatoa?

Wewe ni Waziri wa hovyo wa michezo kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania tokea uhuru na sikukubali kabisa kwani huna uwezo na hiyo Wizara na hujui lolote pia.
 
Mbona wanayanga wenyew wanadai ni shabik wa simba?
Hao wana Yanga SC wanaodai hivyo ni Wapuuzi ( Hopeless ) wa Kutukuka kwani hakuna Mtu wa Mpira asiyejua Yeye ni mwana Yanga SC lia lia pamoja na Makamu wa Rais Dkt. Mpango ila Mkwewe na Boss wake ( Kiserikali ) Rais Samia Suluhu Hassan ni mwana Simba SC tena Kindakindaki japo si mfuatiliaji kivile wa Mipira.
 
Ila yanga bwana unacheza home goli la mayele la offside linakataliwaje? Kama hiyo haitoshi yule captain kafanya foul ilistahili yellow ya pili wachezaji baadala ya kumzonga refa wanakenua meno tuu. Wamejitakia wenyewe kufungwa.
 
Pia uwe na Heshima unapo Address kiongozi. Nadhani hajakosea sehemu.
 
Wewe ni Waziri mwenye chuki sana na uongozi wa TFF na una wivu wa kishamba na Simba SC kutokana na mafanikio yake, hasa kimataifa dhidi ya timu yako unayoishabikia mno ya Yanga SC.

Leo katika hafla ya kuwopongeza Tembo Warriors umetoa kauli kuwa TFF isiwe inabagua kutoa ushauri kwa vilabu vya Tanzania vinavyoshiriki michuano ya kimataifa, ukimaanisha kuwa TFF inaisaidia sana Simba SC kiushauri ila Yanga SC yako inatengwa pengine ndiyo maana juzi haikufanya vyema na kutoka sare na Al Hilal FC kwa Mkapa.

Waziri wa Michezo Mchengerwa mimi GENTAMYCINE nakuuliza hivi, Yanga SC juzi ingeshinda dhidi ya Al Hilal FC ya Sudan hizi hasira zako na mapovu yako ya leo ungeyatoa?

Wewe ni Waziri wa hovyo wa michezo kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania tokea uhuru na sikukubali kabisa kwani huna uwezo na hiyo Wizara na hujui lolote pia.
Yaani we jamaa hata sikuelew kabisa, ukiambiwa utasikia Nina followers 117 great thinkers.. kwahyo wamekufollow kwa haya unayoyaleta mfano wa hili!?

Wakati anaongea Kuna timu ameitaja kuwa inapokea ushauri saana dhidi ya timu nyingine? Wewe umeshawahi kuongoza hata wenye akili kama yako wa3 mkafikia lengo kweli?

Acha mihemko yako kijana,! Unachoandika fikiria kidg hasa unapowataja au kuandika yanayowahusu viongozi, huaga wanakosea ila si kama shutuma zako hizi.

We Kila threads zako Ni lawama na kulaum tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kunipotezea muda huna Akili sawa? Nikitamba kuwa nina hao 117+ Followers hapa JamiiForums Wewe unateseka na nini?

au nikupunguzie na Wewe hawa 'Great Thinker' Followers wangu ili angalau nawe uwe na hata Mmoja tu kwani huna Follower yoyote na upo upo tu.
 
Back
Top Bottom