Waziri wa Michezo Mchengerwa, Yanga SC ingeifunga Al Hilal FC juzi haya 'Mapovu' yako ya leo ungeyatoa?

Ila yanga bwana unacheza home goli la mayele la offside linakataliwaje? Kama hiyo haitoshi yule captain kafanya foul ilistahili yellow ya pili wachezaji baadala ya kumzonga refa wanakenua meno tuu. Wamejitakia wenyewe kufungwa.
Hili tukio la foul ya pili halionhelewi kabisa hata na Wachambuzi wa mchongo. Nikisema Tanzania Hakuna wachambuzi nieleweke sina chuki na makanjanja. Ni sahihi Faulo aliyofanya dhidi ya Morrison alipaswa kupewa yellow card ya pili.
 
Kila siku wanamtukana na kumdharau karia leo hii wanataka msaada wakati wana mtu genius pale yanga takadini anajua mbinu zote chafu za wapinzani
 
Hili tukio la foul ya pili halionhelewi kabisa hata na Wachambuzi wa mchongo. Nikisema Tanzania Hakuna wachambuzi nieleweke sina chuki na makanjanja. Ni sahihi Faulo aliyofanya dhidi ya Morrison alipaswa kupewa yellow card ya pili.
Je huyo huyo kapteni faulo ya kwanza aliyopewa kadi ilikuwa halali ?
 
Huyu waziri hovess kabisa!Kumbe naye yumo kwenye kundi alilosema mzungu pori?
 
Post za GENTA huwa zinaandikwa akiwa anahema sana kwa hasira
 
Anayekupa Mimba kila mwaka mkiwa nae Chumbani katika 'Mbaiolojiano' huwa hakuhemei kwa Hasira?
Wewe wa SAUT biolojia utaijulia wapi,yako ni makiswahil na mahistory ambayo ulikuwa unajisomea hata ukiwa gizani
 
Bandiko limemfikia
 
Hili tukio la foul ya pili halionhelewi kabisa hata na Wachambuzi wa mchongo. Nikisema Tanzania Hakuna wachambuzi nieleweke sina chuki na makanjanja. Ni sahihi Faulo aliyofanya dhidi ya Morrison alipaswa kupewa yellow card ya pili.
Sasa hata wakionyesha hao wachambuzi itabadilisha nini?
 
Game tunashinda wajameniwale hawana mpira wa kutuzidi..si sote tuliona?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kwa hawa wakongo wa yanga Kuifunga el hilal ni kumharibia kazi mkongomani mwenzao Ibenge

Isitoshe Ibenge alikuwa kocha wao walipokuwa AS Vita

Kwa maana hiyo hao wachezaji watafanya figisu yanga ishindwe mechi ya marudiano
 
Mlishinda kule Sudan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…