Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Waziri wa Sweden akisubiri garimoshi (treni) kurejea Nyumbani mara baada ya kutoka kazini,
Amenunua Baga kama chakula chake cha Jioni.
Hili ni tabasamu lake la wastani mara baada ya kuombwa kuweka pozi kwa ajili ya kupiga picha,
Jina la raia huyu ni Elva Johansson.
Na kazi yake ni WAZIRI WA KAZI nchini Sweden.
Hana msafara wa magari, hana msululu wa walinzi, hayupo hata na wasaidizi, yupo zake mwenyewe, simple tu.
Sweden ni nchi tajiri iliyoendelea lakini wanaonesha nidhamu kubwa ya matumizi ya fedha za Umma.
Waafrika tunacho cha kujifunza, umasikini tulionao unatokana na wenzetu wachache ambao wanaiba na kufuja kilichotakiwa kigawiwe kwa wengi!
Tujisahihishe!