Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
Kwhyo unataka ukutane kituoni na mapacha 3 wanasubir usafiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka mwaka 1986 wameshapita mawaziri wangapi? Na wameshapigwa tena Risasi wangapi?Haya pia yana gharama zake
Kumbuka Waziri Mkuu wa Sweden Olof Palme aliuawa kwa kupigwa risasi mjini Stockholm 1986, wakati anatoka kuangalia sinema na mke wake Lisbet bila kuwa na walinzi.
nasubiri mauvccm yaje kupinga hii taarifa. Yani haya mamtu hua ni kama hayana akili stupidiest creaturesWaziri wa Sweden akisubiri garimoshi (treni) kurejea Nyumbani mara baada ya kutoka kazini,
Amenunua Baga kama chakula chake cha Jioni.
Hili ni tabasamu lake la wastani mara baada ya kuombwa kuweka pozi kwa ajili ya kupiga picha,
Jina la raia huyu ni Elva Johansson.
Na kazi yake ni WAZIRI WA KAZI nchini Sweden.
Hana msafara wa magari, hana msululu wa walinzi, hayupo hata na wasaidizi, yupo zake mwenyewe, simple tu.
Sweden ni nchi tajiri iliyoendelea lakini wanaonesha nidhamu kubwa ya matumizi ya fedha za Umma.
Waafrika tunacho cha kujifunza, umasikini tulionao unatokana na wenzetu wachache ambao wanaiba na kufuja kilichotakiwa kigawiwe kwa wengi!
Tujisahihishe!
Hahahaaaa......Usikute huyo waziri anasubiri trein ili aende kumuona mshikaji wake!
Mkuu Hizi nchi zimeendelea kuanzia kifikra... Hta raia cheo cha waziri wanaona kawaida tu... Unataka kufananisha na nchi ambayo imejaa husda, chuki na wivu??...Waziri wa Sweden akisubiri garimoshi (treni) kurejea Nyumbani mara baada ya kutoka kazini,
Amenunua Baga kama chakula chake cha Jioni.
Hili ni tabasamu lake la wastani mara baada ya kuombwa kuweka pozi kwa ajili ya kupiga picha,
Jina la raia huyu ni Elva Johansson.
Na kazi yake ni WAZIRI WA KAZI nchini Sweden.
Hana msafara wa magari, hana msululu wa walinzi, hayupo hata na wasaidizi, yupo zake mwenyewe, simple tu.
Sweden ni nchi tajiri iliyoendelea lakini wanaonesha nidhamu kubwa ya matumizi ya fedha za Umma.
Waafrika tunacho cha kujifunza, umasikini tulionao unatokana na wenzetu wachache ambao wanaiba na kufuja kilichotakiwa kigawiwe kwa wengi!
Tujisahihishe!
Mahala ambapo Afrika tumelaanika....Sweden ni nchi tajiri iliyoendelea lakini wanaonesha nidhamu kubwa ya matumizi ya fedha za Umma.
Kibongo bongo Hizo private t'ime usipokuwa Makini ndo wajaa husda,chuki na wivu ndo hutumia muda huo kukumaliza... So ulinzi ni muhimu.Halafu elewa PM huyu alikua kwenye private time yake, hakutaka kutumia taxes money za wananchi wake,....mkuu wa kituo cha police chan'gombe anagongwa na Lori na kufariki dunia wakati akijitahidi ku clear njia ili no 1 aende kwenye private trips zake!!,poleni mno watoto wake ambao they got nothing, bcs sio royal family
Haya uliyoyaandika yana uhusiano gani na hoja inayojadiliwa?hapa hoja ni mbona huko ni matajiri lakini viongozi wao wana ishi maisha ya kawaida sana,kulinganisha na sisi masikini jinsi viongozi wetu wanavyoishi?!!Sema yote. Waziri huyu mke wake ni mwanamune kama yeye. Nchi hiyo imeendelea sana ina goes reserves nyingi kuliko EA wakati haina mgodi wa dhahabu hata mmoja. Ni nchi ya makamouni VOLVO na Scania na SWECO na SIDA, yote mapato yake ni kutoka mauzo Third World bidhaa zikitumia malighafi ya huko. Tujifunze kulinda makanikia yetu na mila zetu.
Kuna baadhi ya mawaziri wetu walikwenda huko wakapelekewa bus wakajifanya wao siyo wa hadhi ya bus, wenyeji wakawabeba walio tayari wakasepa, mwisho wa siku wanakuta hakuna anayehangaika nao, akilini mwao walitaka hata mizigo wabebeweWaziri wa Sweden akisubiri garimoshi (treni) kurejea Nyumbani mara baada ya kutoka kazini,
Amenunua Baga kama chakula chake cha Jioni.
Hili ni tabasamu lake la wastani mara baada ya kuombwa kuweka pozi kwa ajili ya kupiga picha,
Jina la raia huyu ni Elva Johansson.
Na kazi yake ni WAZIRI WA KAZI nchini Sweden.
Hana msafara wa magari, hana msululu wa walinzi, hayupo hata na wasaidizi, yupo zake mwenyewe, simple tu.
Sweden ni nchi tajiri iliyoendelea lakini wanaonesha nidhamu kubwa ya matumizi ya fedha za Umma.
Waafrika tunacho cha kujifunza, umasikini tulionao unatokana na wenzetu wachache ambao wanaiba na kufuja kilichotakiwa kigawiwe kwa wengi!
Tujisahihishe!
Mbona nimeangalia hayupo kwenye list ya Baraza la mawaziri Sweden?Waziri wa Sweden akisubiri garimoshi (treni) kurejea Nyumbani mara baada ya kutoka kazini,
Amenunua Baga kama chakula chake cha Jioni.
Hili ni tabasamu lake la wastani mara baada ya kuombwa kuweka pozi kwa ajili ya kupiga picha,
Jina la raia huyu ni Elva Johansson.
Na kazi yake ni WAZIRI WA KAZI nchini Sweden.
Hana msafara wa magari, hana msululu wa walinzi, hayupo hata na wasaidizi, yupo zake mwenyewe, simple tu.
Sweden ni nchi tajiri iliyoendelea lakini wanaonesha nidhamu kubwa ya matumizi ya fedha za Umma.
Waafrika tunacho cha kujifunza, umasikini tulionao unatokana na wenzetu wachache ambao wanaiba na kufuja kilichotakiwa kigawiwe kwa wengi!
Tujisahihishe!
Nipe mfano mmoja tu,aliyemalizwa wakati wa private time, wakati wanaomba kura huwa tunakunywa nao ulanzi !Kibongo bongo Hizo private t'ime usipokuwa Makini ndo wajaa husda,chuki na wivu ndo hutumia muda huo kukumaliza... So ulinzi ni muhimu.
Haya pia yana gharama zake
Kumbuka Waziri Mkuu wa Sweden Olof Palme aliuawa kwa kupigwa risasi mjini Stockholm 1986, wakati anatoka kuangalia sinema na mke wake Lisbet bila kuwa na walinzi.
Sasa unapolinganisha Sweden na Tanzania, je Tanzania ina infrastructure kama Sweden?Waziri wa Sweden akisubiri garimoshi (treni) kurejea Nyumbani mara baada ya kutoka kazini,
Amenunua Baga kama chakula chake cha Jioni.
Hili ni tabasamu lake la wastani mara baada ya kuombwa kuweka pozi kwa ajili ya kupiga picha,
Jina la raia huyu ni Elva Johansson.
Na kazi yake ni WAZIRI WA KAZI nchini Sweden.
Hana msafara wa magari, hana msululu wa walinzi, hayupo hata na wasaidizi, yupo zake mwenyewe, simple tu.
Sweden ni nchi tajiri iliyoendelea lakini wanaonesha nidhamu kubwa ya matumizi ya fedha za Umma.
Waafrika tunacho cha kujifunza, umasikini tulionao unatokana na wenzetu wachache ambao wanaiba na kufuja kilichotakiwa kigawiwe kwa wengi!
Tujisahihishe!
Si huyo tu na Sweden.Waziri wa Sweden akisubiri garimoshi (treni) kurejea Nyumbani mara baada ya kutoka kazini,
Amenunua Baga kama chakula chake cha Jioni.
Hili ni tabasamu lake la wastani mara baada ya kuombwa kuweka pozi kwa ajili ya kupiga picha,
Jina la raia huyu ni Elva Johansson.
Na kazi yake ni WAZIRI WA KAZI nchini Sweden.
Hana msafara wa magari, hana msululu wa walinzi, hayupo hata na wasaidizi, yupo zake mwenyewe, simple tu.
Sweden ni nchi tajiri iliyoendelea lakini wanaonesha nidhamu kubwa ya matumizi ya fedha za Umma.
Waafrika tunacho cha kujifunza, umasikini tulionao unatokana na wenzetu wachache ambao wanaiba na kufuja kilichotakiwa kigawiwe kwa wengi!
Tujisahihishe!
Nipe mfano mmoja tu,aliyemalizwa wakati wa private time, wakati wanaomba kura huwa tunakunywa nao ulanzi !huku pemben wakiwa wapo Akinani??
Mawazo finyuTatizo ni wananchi!!
Waziri akija mkutanoni kwa Boda boda mtamdharau. Akigombea mtu tajiri na maskini mtamchagua tajiri na kumwacha maskini mwenzenu kwa hoja kwamba asije kupeleka njaa yake kwenye uongozi.
Wananchi wanataka viongozi wao wawe tofauti nao kiukwasi na ndiyo maana mtu akiwa kiongozi na mwisho wa siku akiwa maskini baada ya kutoka uongozini, wananchi wenzake wanamcheka.