Waziri wa Sweden akisubiri garimoshi (treni) kurejea Nyumbani mara baada ya kutoka kazini

Haya pia yana gharama zake
Kumbuka Waziri Mkuu wa Sweden Olof Palme aliuawa kwa kupigwa risasi mjini Stockholm 1986, wakati anatoka kuangalia sinema na mke wake Lisbet bila kuwa na walinzi.
Mkuu Nchi nyingi za Ulaya hazina misafara kama ya kwetu.
Kifo cha Palme hakihusiani na misafara mirefu. Hakuwa na walinzi tu ndio kilichomponza akapigwa risasi.
Akitoka sinema.
 
Waziri wa Sweden akisubiri garimoshi (treni) kurejea Nyumbani mara baada ya kutoka kazini,
Amenunua Baga kama chakula chake cha Jioni.

Hili ni tabasamu lake la wastani mara baada ya kuombwa kuweka pozi kwa ajili ya kupiga picha,
Jina la raia huyu ni Elva Johansson.

Na kazi yake ni WAZIRI WA KAZI nchini Sweden.

Hana msafara wa magari, hana msululu wa walinzi, hayupo hata na wasaidizi, yupo zake mwenyewe, simple tu.

Sweden ni nchi tajiri iliyoendelea lakini wanaonesha nidhamu kubwa ya matumizi ya fedha za Umma.

Waafrika tunacho cha kujifunza, umasikini tulionao unatokana na wenzetu wachache ambao wanaiba na kufuja kilichotakiwa kigawiwe kwa wengi!

Tujisahihishe!
Waziri kigwangala
 
Sema yote. Waziri huyu mke wake ni mwanamune kama yeye. Nchi hiyo imeendelea sana ina goes reserves nyingi kuliko EA wakati haina mgodi wa dhahabu hata mmoja. Ni nchi ya makamouni VOLVO na Scania na SWECO na SIDA, yote mapato yake ni kutoka mauzo Third World bidhaa zikitumia malighafi ya huko. Tujifunze kulinda makanikia yetu na mila zetu.
 
Daktari wa watu kaenda mikono mitupu huko NYAMONGO kuwatibu wagonjwa, wakampimia siku zake kadhaa baada ya hapo kilichofuata ni maelezo mengine, tujue kutofautisha mataifa Sweden ni Ulaya Tanzania ni Africa itachukua mda sana Africa kua km Ulaya itachukua mda sana Tanzania kua km Sweden
 
Haya pia yana gharama zake
Kumbuka Waziri Mkuu wa Sweden Olof Palme aliuawa kwa kupigwa risasi mjini Stockholm 1986, wakati anatoka kuangalia sinema na mke wake Lisbet bila kuwa na walinzi.
Ukilinganisha na fedha na muda wanaookoa this is nothing! Kwa kipindi kirefu kama hiki raia mmoja kuuawa siyo mbaya sana. Wangekuwa wanatumia fedha vibaya kama sisi ni wananchi wengi wangekufa kwa sababu ya kukosa huduma muhimu.
 
Sema yote. Waziri huyu mke wake ni mwanamune kama yeye. Nchi hiyo imeendelea sana ina goes reserves nyingi kuliko EA wakati haina mgodi wa dhahabu hata mmoja. Ni nchi ya makamouni VOLVO na Scania na SWECO na SIDA, yote mapato yake ni kutoka mauzo Third World bidhaa zikitumia malighafi ya huko. Tujifunze kulinda makanikia yetu na mila zetu.
Huna uwezo wa kulinda chochote kwani viongozi wako ndiyo wanapiga mnada kila kitu wakati wewe ukiwa umekaa.
 
Mkuu Nchi nyingi za Ulaya hazina misafara kama ya kwetu.
Kifo cha Palme hakihusiani na misafara mirefu. Hakuwa na walinzi tu ndio kilichomponza akapigwa risasi.
Akitoka sinema.
Halafu elewa PM huyu alikua kwenye private time yake, hakutaka kutumia taxes money za wananchi wake,....mkuu wa kituo cha police chan'gombe anagongwa na Lori na kufariki dunia wakati akijitahidi ku clear njia ili no 1 aende kwenye private trips zake!!,poleni mno watoto wake ambao they got nothing, bcs sio royal family
 
Waziri wa Sweden akisubiri garimoshi (treni) kurejea Nyumbani mara baada ya kutoka kazini,
Amenunua Baga kama chakula chake cha Jioni.

Hili ni tabasamu lake la wastani mara baada ya kuombwa kuweka pozi kwa ajili ya kupiga picha,
Jina la raia huyu ni Elva Johansson.

Na kazi yake ni WAZIRI WA KAZI nchini Sweden.

Hana msafara wa magari, hana msululu wa walinzi, hayupo hata na wasaidizi, yupo zake mwenyewe, simple tu.

Sweden ni nchi tajiri iliyoendelea lakini wanaonesha nidhamu kubwa ya matumizi ya fedha za Umma.

Waafrika tunacho cha kujifunza, umasikini tulionao unatokana na wenzetu wachache ambao wanaiba na kufuja kilichotakiwa kigawiwe kwa wengi!

Tujisahihishe!
Huko Sweden ndiko viongozi wetu wanapokwenda kuhemea misaada wanayotumia kununua ma Landcruizer ya milioni 200!
 
Watu wengine akili zao ziko fyatu wanaamua tu kumiminia wenzao risasi kama kujifurahisha.
Kuna wengine wanavamia shule makanisa misikiti na kuwaua watu ambao hata

Haya pia yana gharama zake
Kumbuka Waziri Mkuu wa Sweden Olof Palme aliuawa kwa kupigwa risasi mjini Stockholm 1986, wakati anatoka kuangalia sinema na mke wake Lisbet bila kuwa na walinzi.
Amekufa kwani kaondoka na nchi ya sweden? Maisha lazima yaendelee. Watanzania tuna shida ya akili
 
Tena vxr Gari ya kifahari kabisa hadi wageni kutoka nchi zilizoendelea wanatushangaa.
Kuna jamaa yangu mcanada alikuwa bongo alivyoyaona ma vxr akasema nchini kwenu kuna matajiri wengi kutokana na kukutana na mavxr jijini DSM.
Kuna moja likapita nikamwambia hilo na mengi ya namna hiyo unayokutana nayo ni Magari ya Serikali.
Jamaa alishangàa sana,
Huyo ni mzungu fukara
 
Waziri wa Sweden akisubiri garimoshi (treni) kurejea Nyumbani mara baada ya kutoka kazini,
Amenunua Baga kama chakula chake cha Jioni.

Hili ni tabasamu lake la wastani mara baada ya kuombwa kuweka pozi kwa ajili ya kupiga picha,
Jina la raia huyu ni Elva Johansson.

Na kazi yake ni WAZIRI WA KAZI nchini Sweden.

Hana msafara wa magari, hana msululu wa walinzi, hayupo hata na wasaidizi, yupo zake mwenyewe, simple tu.

Sweden ni nchi tajiri iliyoendelea lakini wanaonesha nidhamu kubwa ya matumizi ya fedha za Umma.

Waafrika tunacho cha kujifunza, umasikini tulionao unatokana na wenzetu wachache ambao wanaiba na kufuja kilichotakiwa kigawiwe kwa wengi!

Tujisahihishe!
Hizo treni zetu ziko wapi? Unataka mawaziri wakapande kajanba nani?

Kwanza tuijenge nchi ifikie viwango vya Sweden (miaka 500 ijayo) halafu tuone nani hatofanya hivyo.
 
Kuna waziri mkuu wa Sweden, kama sikosei ni Olof Palme, alishapigwa kisu kwa mtindo huo wa kujifanya social sana na kutembea mitaani bila ulinzi .

Ya Sweden waachie Sweden, ya Tanzania tuyatatuwe ki Tanzania Tanzania.
 
Waziri wa Sweden akisubiri garimoshi (treni) kurejea Nyumbani mara baada ya kutoka kazini,
Amenunua Baga kama chakula chake cha Jioni.

Hili ni tabasamu lake la wastani mara baada ya kuombwa kuweka pozi kwa ajili ya kupiga picha,
Jina la raia huyu ni Elva Johansson.

Na kazi yake ni WAZIRI WA KAZI nchini Sweden.

Hana msafara wa magari, hana msululu wa walinzi, hayupo hata na wasaidizi, yupo zake mwenyewe, simple tu.

Sweden ni nchi tajiri iliyoendelea lakini wanaonesha nidhamu kubwa ya matumizi ya fedha za Umma.

Waafrika tunacho cha kujifunza, umasikini tulionao unatokana na wenzetu wachache ambao wanaiba na kufuja kilichotakiwa kigawiwe kwa wengi!

Tujisahihishe!
....wale mawaziri wa kule "mwezini" wanataka wanunuliwe ndege kila mmoja awe nayo.....

#SiempreJMT[emoji120]
 
Back
Top Bottom