Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
rejea gharama zilizotumiwa na serikali kuficha upuuzi wa naibu waziri.Waziri wa Sweden akisubiri garimoshi (treni) kurejea Nyumbani mara baada ya kutoka kazini,
Amenunua Baga kama chakula chake cha Jioni.
Hili ni tabasamu lake la wastani mara baada ya kuombwa kuweka pozi kwa ajili ya kupiga picha,
Jina la raia huyu ni Elva Johansson.
Na kazi yake ni WAZIRI WA KAZI nchini Sweden.
Hana msafara wa magari, hana msululu wa walinzi, hayupo hata na wasaidizi, yupo zake mwenyewe, simple tu.
Sweden ni nchi tajiri iliyoendelea lakini wanaonesha nidhamu kubwa ya matumizi ya fedha za Umma.
Waafrika tunacho cha kujifunza, umasikini tulionao unatokana na wenzetu wachache ambao wanaiba na kufuja kilichotakiwa kigawiwe kwa wengi!
Tujisahihishe!
Kama huna baya na mtu nani akuue. Mfano Kenya kuna waziri alipata ajali akiwa na kimada wake kwenye V8. Kimada wa Kenyatta University.Haya pia yana gharama zake
Kumbuka Waziri Mkuu wa Sweden Olof Palme aliuawa kwa kupigwa risasi mjini Stockholm 1986, wakati anatoka kuangalia sinema na mke wake Lisbet bila kuwa na walinzi.
Hongera Kwao, Waziri Ametokelezea
Tanzania Hatuwezi Hayo Tena Unataka Gari Mpya V8 Ambayo Toka Kiwandani
Unatembea Na Lundo La Watu Pesa Unaitumia Vema
Watu wengine akili zao ziko fyatu wanaamua tu kumiminia wenzao risasi kama kujifurahisha.Kama huna baya na mtu nani akuue. Mfano Kenya kuna waziri alipata ajali akiwa na kimada wake kwenye V8. Kimada wa Kenyatta University.
Waziri wa Sweden akisubiri garimoshi (treni) kurejea Nyumbani mara baada ya kutoka kazini,
Amenunua Baga kama chakula chake cha Jioni.
Hili ni tabasamu lake la wastani mara baada ya kuombwa kuweka pozi kwa ajili ya kupiga picha,
Jina la raia huyu ni Elva Johansson.
Na kazi yake ni WAZIRI WA KAZI nchini Sweden.
Hana msafara wa magari, hana msululu wa walinzi, hayupo hata na wasaidizi, yupo zake mwenyewe, simple tu.
Sweden ni nchi tajiri iliyoendelea lakini wanaonesha nidhamu kubwa ya matumizi ya fedha za Umma.
Waafrika tunacho cha kujifunza, umasikini tulionao unatokana na wenzetu wachache ambao wanaiba na kufuja kilichotakiwa kigawiwe kwa wengi!
Tujisahihishe!
Weka hapa waziri mwingine wa nchi hiyo aliyefanyiwa kitendo hicho baada ya Palme,huyo alikuwa na mambo yake mengine yaliyosababisha kitokee kilichotokea.Haya pia yana gharama zake
Kumbuka Waziri Mkuu wa Sweden Olof Palme aliuawa kwa kupigwa risasi mjini Stockholm 1986, wakati anatoka kuangalia sinema na mke wake Lisbet bila kuwa na walinzi.
Kwa hiyo Dugange alikuwa anaogopa kupigwa risasi hadi akatumbukiza gari yetu kwenye korongo?Haya pia yana gharama zake
Kumbuka Waziri Mkuu wa Sweden Olof Palme aliuawa kwa kupigwa risasi mjini Stockholm 1986, wakati anatoka kuangalia sinema na mke wake Lisbet bila kuwa na walinzi.
Nidhamu ya kutumia magari kwa wenzetu si kwa magari ya umma tu hata magari yao binafsi.Waziri wa Sweden akisubiri garimoshi (treni) kurejea Nyumbani mara baada ya kutoka kazini,