Waziri wa Sweden akisubiri garimoshi (treni) kurejea Nyumbani mara baada ya kutoka kazini

Kila mtu na maisha aliyochagua tusipangiane.
 
Kwamba Waziri Wetu akagombanie Mwendokasi? 😁😁akagombanie
Mkuu Nchi nyingi za Ulaya hazina misafara kama ya kwetu.
Kifo cha Palme hakihusiani na misafara mirefu. Hakuwa na walinzi tu ndio kilichomponza akapigwa risasi.
Akitoka sinema.
 
mungu ibariki Tanzania
 
Haya pia yana gharama zake
Kumbuka Waziri Mkuu wa Sweden Olof Palme aliuawa kwa kupigwa risasi mjini Stockholm 1986, wakati anatoka kuangalia sinema na mke wake Lisbet bila kuwa na walinzi.
Mbona Tundu Lissu alipigwa risasi akiwa kwenye eneo lenye ulinzi 24hrs ndani ya V8?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maskini ndo wanajikweza huku wana mikopo na madeni kibao. God save African leaders
 
Watoa misaada wao wanatumia public transport wapewa misaada wao wanatumia V8
 
Huku hata diwani tu akishapata huo udiwani anataka Aishi maisha tofauti na waliomchagua hapohapo keshasahau kama yeye ni muwakilishi wetu kwenye vikao vya maamzi
 
Nyuzi kama hizi madelu hawezi hata kuonyesha pua, aache kujinunulia viieite sijui LC 300, nyie matajiri mnazijua vizuri majina.
 
Labda mkuu utakuwa hujui!

Sweden ni kanchi kadoogo sana halafu maskini mnooo, mpaka kameshindwa kumnunulia waziri wake V8
Lakini Tanzania ni linchi likuubwa sana halafu litajiiri mnoooo, ndiyo maana kila kiongozi anatembelea li V8 la maana.

Iambie Sweden ije kuiomba Tanzania msaada iwanunulie Mawaziri wake MaV8 ya nguvu!
🤣🤣🤣😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Meneja, sikuhizi hatuna tena garimoshi hahaha bali tuna treni, garimoshi ni zile za miaka ya 60 na 70 , Dar Dodoma siku mbili..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…