TANZIA Waziri wa TAMISEMI Mohammedi Mchengerwa Amefiwa na Baba Yake Mzazi Akiwa Ibadani Makka Na Atazikwa hukohuko Makka

Hii dini naipenda sana

Ungekuwa Israel HAPO watu washaanza vikaooo dar Israel kama WA Moshi na Moshi.....kuleta marehemu

Allah mpe pumziko la milele mzee wetu
 
Usi justify wizi, wapo watu wengi tu wanaishi vizuri kwa pesa zisizo na makandokando ambayo wewe na wezi wenzako mnayabariki
Kuna watu wanakula hela safi mpaka unawaonea wivu.
Shida ya Watanzania wengi uongo, wizi, ushirikina,unafiki na uchawi umekuwa sehemu ya maisha yetu,ndio maana huyo jamaa anaamini hakuna watu wenye hela safi.
 
Hukumu yake itatokana na matendo yake duniani siyo visomo, hata wafanye visomo kila siku lakini matendo yake hapa duniani ndiyo itakayoamua hatima yake
 
Aendelee kufiwa tu.
 
Ni hadi doctor athibitishe kuwa roho yangu na mwili vimeishaachana ndiyo nizikwe!
Waislsmu wa Zanzibar mtu akifia nyumbani wao wanazika na hakuna kupeleka mwili hospitali ukachunguzwe, Waislamu wanaishi maisha kama ya Wamasai tu.
 
Mfamo Raisi wa nchi akifia Makka kwe ibada ya hija atazikwa uko uko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…