Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu wanakula hela safi mpaka unawaonea wivu.Usi justify wizi, wapo watu wengi tu wanaishi vizuri kwa pesa zisizo na makandokando ambayo wewe na wezi wenzako mnayabariki
Ndio mkuuKumbe hapo ndipo ilipoandikwa kuwa mtu hulifuata kaburi lake ??
You can't be serious!Usilete ujinga wako kwenye Mambo yanayogusa Hisia za Watu.
Unaniita niangalie video, mb's umenipa?
Tulia weweee muambie Lucas akununulie si wamepata buku 7Unaniita niangalie video, mb's umenipa?
Basi acha nitumie bundle la lucas taratibu taratibu.Tulia weweee muambie Lucas akununulie si wamepata buku 7
Tena ukiwa mahututi ndiyo wakati wa kwenda ili ufie huko na uzikwe Uarabuni.Poleni.
Huko siyo kwa kwenda kiholele, usipokaa sawasawa hurudi
Aendelee kufiwa tu.Ndugu zangu watanzania,
Nawaleteeni taarifa ya majonzi na masikitiko makubwa sana juu ya kifo cha Baba mzazi wa Waziri wetu wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa ambaye Amefiwa na Baba yake Mzazi mzee Omary Mchengerwa akiwa katika ibada huko Makka.
Ambapo taarifa inasema ya kuwa atazikwa huko huko Makka. ila ataombewa dua na kufanyiwa Ibada huku Tanzania itakayoongozwa na Mufti Dkt Zubeir.
Embu Soma hapa👉Baba yake Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa, Alhaj Omary Mchengerwa amefariki leo Alfajiri akiwa kwenye Ibada ya Umrah huko Makka.
Kwa mujibu wa taarifa ya Familia ya Mchengerwa, Mzee Omary atazikwa leo huko huko Makka.
Ifuatayo ni Ratiba ya Ibada ya Visomo vitakavyoongozwa na Mufti wa Tanzania Dkt Zuberi Bin Ali wa Mbwana nyumbani kwa Waziri Mchengerwa, Masaki Dar es Salaam.
LEO: TAREHE 24 FEBRUARI 2025
Dua ya Kisomo itafanyika nyumbani kwa Mhe. Mohamed Mchengerwa Masaki saa 10 Alasiri
KESHO TAREHE: 25 FEBRUARI 2025
Dua ya kisomo itafanyika Jimboni Rufiji
KESHO KUTWA TAREHE: 26 FEBRUARI 2025
Dua itafanyika nyumbani kwake Marehemu Alhaj Omary Mchengerwa Yombo.
Kwani kipindi kauli ya KIFO NI KIFO TU inatolewa hakukuwa na jambo lilikuwa llinagusa hisia za watu.Usilete ujinga wako kwenye Mambo yanayogusa Hisia za Watu.
Jibu maswali acha lugha hiyo pumbavuUmeuliza maswali ya kipumbavu sana. Wakati mwingine ni vema kuficha uwendawazimu wako.
Waislsmu wa Zanzibar mtu akifia nyumbani wao wanazika na hakuna kupeleka mwili hospitali ukachunguzwe, Waislamu wanaishi maisha kama ya Wamasai tu.Ni hadi doctor athibitishe kuwa roho yangu na mwili vimeishaachana ndiyo nizikwe!
Mfamo Raisi wa nchi akifia Makka kwe ibada ya hija atazikwa uko uko?Swala la kuzikwa huko alikofia halina uhusiano wowote na gharama za usafirishaji.
Waziri Mchengerwa ni mkwe wa Rais na naamini angetaka kumleta baba yake azikwe nyumbani hata ingekuwa gharama ni M 150 angesafirishwa!.
Sababu ya msingi ni kwamba waislamu wanaofia Makka hasa wakiwa kwenye ibada ya hijja au umra huwa hawasafirishwi kwenda kuzikwa kwao.
Mtu anayefia Makka kaburi lake linakuwa Makka.
Siku hizi watu wanaenda kama kutembea tu imekuwa utaliiPole Sana Ila nasikia kwenda huko unabidi utumie HELA ambazo hazina makando kando.