TANZIA Waziri wa TAMISEMI Mohammedi Mchengerwa Amefiwa na Baba Yake Mzazi Akiwa Ibadani Makka Na Atazikwa hukohuko Makka

Afadhali umesadia kuuliza maswali niliyokuwa najiuliza maana haiwezekani mtu azikwe ugenini wakati ana mji wake, watoto, majukuu na jamaa zake.
Hizi ni akilia na fikra za kitumwa
 
BABA WA CHEBUKATI AFARIKI DUNIA

WAKENYA WAMEPINDA, WASIKILIZE
 

Attachments

  • CHEBUKATI.mp4
    1.2 MB
Umeuliza maswali ya kipumbavu sana. Wakati mwingine ni vema kuficha uwendawazimu wako.
 
Poleni sana family. Bila shaka anaenda peponi moja kwa moja maana amefia ibadani. Apumzike kwa amani
Kweli kabisa ! Kufa katika ibada tukufu tena katika mji mtukufu ni alama ya mwisho mwema japo hatusemi ni kwenda peponi kwa 100%.
Kuna baadhi ya mambo hukumu yake ipo kwa Allaah anayejua mioyo ya waja wake inaamini na kufikiria nini!
Sisi tunahukumu yale tunayoyaona na yaliyomo kwenye mioyo tunamuachia Allaah mwenye uwezo wa kuchunguza mambo yenye kutendwa kwa siri na Yale yaliyomo kwenye mioyo ya waja.
Pamoja na hayo kama Kuna jambo la kionewa wivu mimi huyu marehemu namuonea wivu kwani na mimi natamani nifienkatika mji aliofia yeye nikifanya ibada aliyokuwa akiifanya yeye na hatimaye nizikwe katika mji huo mtakatifu.
 
Swali la 3 lina mashiko, kama mimi nina uwezo wa kugharamia kujenga studio ya wasanii kwa milioni 60 je gharama za kusafirisha zikoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…