TANZIA Waziri wa TAMISEMI Mohammedi Mchengerwa Amefiwa na Baba Yake Mzazi Akiwa Ibadani Makka Na Atazikwa hukohuko Makka

Mahujaji huona kwa mujibu wa imani yao kwamba kufia huko unaenda peponi moja kwa moja. Hivyo wengine hujitupa chini huku wakikanyagwa na wenzao na kufariki hapohapo.

JAMBO LA KUJIULIZA KWANINI MIJI HIYO INAKUNYWA DAMU KILA MWAKA YA MAHUJAJI NA HAKUNA ANAYE SHITUKA? NA HAKUNA ANAYE HOJI?
wanakufa kwa kukosa maarifa
 
Kuzikwa huko makka ni kwa sababu mhe. waziri pamoja na serikali ya samia wamekosa ndege ya kumleta huku au kwa sababu kule ni mji mtakatifu ataenda peponi moja kwa moja?
 

Inabidi uende haraka maana kuna wanaosema wanaoenda hawarudi inakuwaje tena???
 
Maswali mengi basi unajiona una akili wakati ni upumbavu mtupu. Maswala ya kifamilia unashoboka kuuliza maswal yasiokuhusu yaan umbea umbea tu na ushenzi. Yanga bingwa
 
InnaLilahi wa inna illah rajuun je mkwe alimpima afya kabla ya safari?🙄
 
Kwanza naomba kukanusha vikali sana kuwa mimi siyo Mwanafunzi wako na Kamwe wewe haujawahi kuwa Mwalimu wangu katika ngazi yoyote ile na katika jambo lolote lile. na kamwe huwezi kuwa mwalimu wangu na kunifundisha mimi jambo lolote lile. Hivi unafikiri ualimu ni kazi nyepesi hadi machizi wawe walimu wa kuweza kufundisha watu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…