TANZIA Waziri wa TAMISEMI Mohammedi Mchengerwa Amefiwa na Baba Yake Mzazi Akiwa Ibadani Makka Na Atazikwa hukohuko Makka

Lakini kwenye kuzika, huku unaweza kuzikwa hata kama umezimia. Fasta fasta. Wenzetu wanasubiria kwanza wajihakikishie umekufa.

Hii ya huku sio far kabisa. Inaleta mashaka sana
Sasa kwamfano umefia hospitali na daktari kakupima na kathibitisha kwamba umekufa na haujazimia, Sasa sisi tuendelee kukuweka tyuuuu! Wiki, mwezi mwaka tukingoja siku moja utaamka tu?!
Sisi hatufanyi hivyo!
Dokta akishasema kwamba ndugu yenu kafariki, sisi tunachukua majembe na shepe/beleshi tunaelekea makaburini.
 

Usifanye mazoezi ya kuzimia utazikwa we mzee wewe. Huku kwetu dini iko kwenye levels tofauti sana
 
Alipangiwa atakufa huko makkah. Waislam wanaamini mtu huwa anafuata kaburi lake. Na mimi natamani kulifuata kwenye taifa teule Israel nitafurahi balaa nikifa Israel.

Ritz Jagina Malaria 2 gTurn Adiosamigo 100 others and 100 others

Nyau de adriz
Ukifia huko lazima utassfirishwa ukazikwe kwenu Marangu!
Kitu msichojua ni kwamba wahahudi ni wabaguzi sana kiasi kwamba mataifa mengine wanaona ni manyani tu.
Wayahudi hawawezi kukubali nyani mweusi azikwe kwenye ardhi yao ambayo wanaamini wamepewa na Jehova.
 
Kifo hakijapiga penyewe,kimepakwepa penyewe
 
Hata nikirudishwa HAIJALISHI bora nimekufa kwenye taifa teule hiyo imetosha maamaee.

Nyau de adriz
 
Pole sana Daktari Samia kwa kufiwa na Mkwe wako! Kifo ni Kifo tu!
 
Ujinga wa mtu mweusi kwa hiyo hapo imani inaonyesha yupo peponi kisa kaburi la Mwarabu kwenda kulishika.
 
Maswali gani hayo unamuuliza chawa, yeye alipoona habari imemtaja Mchengerwa moja kwa moja msiba ukawa wake na si ajabu alilia kabisa bila hata kumjua hata kwa picha marehemu.

Chawa huyu, ukiitaja ccm anabubujikwa na mchozi
 
Nashangaa mashirika ya kimataifa yamekaa kimya, na hata Mahakama ya
Kimataifa nayo kimya kuhusuiana na haya mauaji yanayotokea Makka kila Mwaka.
 
Kumbe pesa ndogo
Swala la kuzikwa huko alikofia halina uhusiano wowote na gharama za usafirishaji.
Waziri Mchengerwa ni mkwe wa Rais na naamini angetaka kumleta baba yake azikwe nyumbani hata ingekuwa gharama ni M 150 angesafirishwa!.
Sababu ya msingi ni kwamba waislamu wanaofia Makka hasa wakiwa kwenye ibada ya hijja au umra huwa hawasafirishwi kwenda kuzikwa kwao.
Mtu anayefia Makka kaburi lake linakuwa Makka.
 
Maswali gani hayo unamuuliza chawa, yeye alipoona habari imemtaja Mchengerwa moja kwa moja msiba ukawa wake na si ajabu alilia kabisa bila hata kumjua hata kwa picha marehemu.

Chawa huyu, ukiitaja ccm anabubujikwa na mchozi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…