Unaweza kutoboa ni mambo ya Imani zaidi Mkuu .Sasa mkuu..Mbona inakua ngumu..kwaio pesa ya kubeti, wizi, dhuruma, utapeli,riba, ufisadi ndio ukienda hutoboi?
Apumzike kwa amani mzee wetu.
Lete mahala palipoeleza ama vifungu vya sheria kutoka sijui Makka, Saudi Arabia ama wapi vikesema mtu akifia Makka anazikwa Makka.Swala la kuzikwa huko alikofia halina uhusiano wowote na gharama za usafirishaji.
Waziri Mchengerwa ni mkwe wa Rais na naamini angetaka kumleta baba yake azikwe nyumbani hata ingekuwa gharama ni M 150 angesafirishwa!.
Sababu ya msingi ni kwamba waislamu wanaofia Makka hasa wakiwa kwenye ibada ya hijja au umra huwa hawasafirishwi kwenda kuzikwa kwao.
Mtu anayefia Makka kaburi lake linakuwa Makka.
Wewe unahitaji msaada bado ujachelewa, Allah anakupendaAlipangiwa atakufa huko makkah. Waislam wanaamini mtu huwa anafuata kaburi lake. Na mimi natamani kulifuata kwenye taifa teule Israel nitafurahi balaa nikifa Israel.
Ritz Jagina Malaria 2 gTurn Adiosamigo 100 others and 100 others
Nyau de adriz
Sio lazima.Kule ukienda mgonjwa lazima ukate moto...
Kabla ya kusoma hivyo vifungu vya sheria bwana KITIMOTO ambaye najua wewe siyo muislamu na hujui machimbukoLete mahala palipoeleza ama vifungu vya sheria kutoka sijui Makka, Saudi Arabia ama wapi vikesema mtu akifia Makka anazikwa Makka.
Ni kwa Marhum waislamu wote!.Hii Dua ni Kwa wale wanaofia Makkah au marhum Wote?
Acha dharau 😄😄Maswali gani hayo unamuuliza chawa, yeye alipoona habari imemtaja Mchengerwa moja kwa moja msiba ukawa wake na si ajabu alilia kabisa bila hata kumjua hata kwa picha marehemu.
Chawa huyu, ukiitaja ccm anabubujikwa na mchozi
Kwani wakati huyo aliyetamka kifo ni kifo tu hakukuwa hisia? 🥺Usilete ujinga wako kwenye Mambo yanayogusa Hisia za Watu.
Ndugu zangu watanzania,
Nawaleteeni taarifa ya majonzi na masikitiko makubwa sana juu ya kifo cha Baba mzazi wa Waziri wetu wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa ambaye Amefiwa na Baba yake Mzazi mzee Omary Mchengerwa akiwa katika ibada huko Makka.
Ambapo taarifa inasema ya kuwa atazikwa huko huko Makka. ila ataombewa dua na kufanyiwa Ibada huku Tanzania itakayoongozwa na Mufti Dkt Zubeir.
Embu Soma hapa👉Baba yake Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa, Alhaj Omary Mchengerwa amefariki leo Alfajiri akiwa kwenye Ibada ya Umrah huko Makka.
Kwa mujibu wa taarifa ya Familia ya Mchengerwa, Mzee Omary atazikwa leo huko huko Makka.
Ifuatayo ni Ratiba ya Ibada ya Visomo vitakavyoongozwa na Mufti wa Tanzania Dkt Zuberi Bin Ali wa Mbwana nyumbani kwa Waziri Mchengerwa, Masaki Dar es Salaam.
LEO: TAREHE 24 FEBRUARI 2025
Dua ya Kisomo itafanyika nyumbani kwa Mhe. Mohamed Mchengerwa Masaki saa 10 Alasiri
KESHO TAREHE: 25 FEBRUARI 2025
Dua ya kisomo itafanyika Jimboni Rufiji
KESHO KUTWA TAREHE: 26 FEBRUARI 2025
Dua itafanyika nyumbani kwake Marehemu Alhaj Omary Mchengerwa Yombo.
Umeulizwa??machoko mna shida sanaNdugu zangu watanzania,

Inna lillah wainna ilayhi raajiunNdugu zangu watanzania,

Watu wengi bali mamilioni ya waislamu kila mwaka wanaenda Makka wakafanya ibada na kurudi salama kabisa kwenye nchi zao.Poleni.
Huko siyo kwa kwenda kiholele, usipokaa sawasawa hurudi
Hizo ni hadithi za uongo kama zile za kuwa ukikojolea msahafu unakuwa nguruwePole Sana Ila nasikia kwenda huko unabidi utumie HELA ambazo hazina makando kando.
Labda shetani naye katika kujitetea alirusha jiwe kwa huyo marehemuWatu wengi bali mamilioni ya waislamu kila mwaka wanaenda Makka wakafanya ibada na kurudi salama kabisa kwenye nchi zao.
Hata hapa Tanzania maelfu ya waislamu walishaenda hijja na kurudi.
Kule kwetu mkoani Kagera mtu akienda Makka akirudi ukitaka kutaja jina lake lazima uanze Al haji au Haji fulani au kama ni mwanamke Hajati Fulani.
Sasa ma Al haji na Mahajati waliopo mkoani Kagera peke yake ni wengi sana.
Kilichomtokea Mzee Mchengerwa hutokea mara mojamoja sana na idadi ya watu waliofia Makka wakiwa kwenye ibada ni ndogo sana ukilinganisha na wale waliokwenda na kurudi salama.
Mtoto una laana sana ulizaliwa wakiume ila leo unajiita mama samiaUmeuliza maswali ya kipumbavu sana. Wakati mwingine ni vema kuficha uwendawazimu wako.
Wasipelelezane wao kwa wao wala wasisengenyane wao kwa wao kwahiyo inamaana wakina nani wasengenywe?Ni kweli kabisa ibada ya HIJA au umra inatakiwa ifanyike kwa kutumia mali zilizopatilana kwa njia ya halali!
Na sisi tunamhukumu mtu kutokana na yale tunayoyaona pasi na kidhaniana dhana mbaya au kupelelezana.
Mtu ambaye hujamkamata akiiba ukimuita mwizi wapata dhambi na kimpeleleza pia ili ujue kama ni mwizi pia ni dhambi!
Allaah amekataza kupelelezana na kudhaniana dhana mbaya katika Suurat Alhujuraat Aya ya 12 pale aliposema:
"{ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ ٱجۡتَنِبُواْ كَثِيرٗا مِّنَ ٱلظَّنِّ إِنَّ بَعۡضَ ٱلظَّنِّ إِثۡمٞۖ وَلَا تَجَسَّسُواْ وَلَا يَغۡتَب بَّعۡضُكُم بَعۡضًاۚ أَيُحِبُّ أَحَدُكُمۡ أَن يَأۡكُلَ لَحۡمَ أَخِيهِ مَيۡتٗا فَكَرِهۡتُمُوهُۚ وَٱتَّقُواْ ٱللَّهَۚ إِنَّ ٱللَّهَ تَوَّابٞ رَّحِيمٞ }
Enyi mlio amini! Jiepusheni na dhana nyingi, kwani baadhi ya dhana ni dhambi. Wala msipelelezane, wala msisengenyane nyinyi kwa nyinyi. Je! Yupo katika nyinyi anaye penda kuila nyama ya nduguye aliye kufa? Mnalichukia hilo! Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kupokea toba, Mwenye kurehemu."