TANZIA Waziri wa TAMISEMI Mohammedi Mchengerwa Amefiwa na Baba Yake Mzazi Akiwa Ibadani Makka Na Atazikwa hukohuko Makka

Swala la kuzikwa huko alikofia halina uhusiano wowote na gharama za usafirishaji.
Waziri Mchengerwa ni mkwe wa Rais na naamini angetaka kumleta baba yake azikwe nyumbani hata ingekuwa gharama ni M 150 angesafirishwa!.
Sababu ya msingi ni kwamba waislamu wanaofia Makka hasa wakiwa kwenye ibada ya hijja au umra huwa hawasafirishwi kwenda kuzikwa kwao.
Mtu anayefia Makka kaburi lake linakuwa Makka.
Lete mahala palipoeleza ama vifungu vya sheria kutoka sijui Makka, Saudi Arabia ama wapi vikesema mtu akifia Makka anazikwa Makka.
 
Kule ukienda mgonjwa lazima ukate moto...
Sio lazima.
Kwani kule hakuna wagonjwa ?! Siku yako ya kufa kama imefika Allaah haangalii upo wapi na unafanya nini! Siku ya kufa ikifika lazima ufe.
Siku ya kufa ikifika ukiwa bar unapiga safari lager na mishikaki ya kitimoto utakufa na pia siku ya kufa ikifika ukiwa msikitini umemsujudia mola wako pia utakufa!.
 
Lete mahala palipoeleza ama vifungu vya sheria kutoka sijui Makka, Saudi Arabia ama wapi vikesema mtu akifia Makka anazikwa Makka.
Kabla ya kusoma hivyo vifungu vya sheria bwana KITIMOTO ambaye najua wewe siyo muislamu na hujui machimbuko
( مصادر ) ya sheria za kiislamu ni mangapi, ni kwamba Mzee Mchengerwa siyo muislamu wa kwanza kufia katika mji wa makka akiwa kwenye ibada.
Mwaka 2016 palitokea tukio la watu kuanguka na kukanyagwa hadi kufa katika ibada ya HIJA na hapa Tanzania familia kadhaa zilipoteza ndugu zao katika tukio hilo waliokuwa katika ibada ya hijja.
Sasa naomba uniambie mtu mmoja tu unayemjua aliyewahi kufia Makka halafu maiti yake ikasafirishwa kuzikwa huku Tanzania.
 
Hii Dua ni Kwa wale wanaofia Makkah au marhum Wote?
Ni kwa Marhum waislamu wote!.
Zingatia waislamu wote!
Dua hii katika swala ya jeneza ( Swala ya kumswalia maiti katika vitabu vya dini ya kiislamu huitwa swala ya jeneza صلاة الجنازة) husomwa baad ya takbira ya tatu ( swala ya jeneza huwa na takbira nne )
 
Ndugu zangu watanzania,

Nawaleteeni taarifa ya majonzi na masikitiko makubwa sana juu ya kifo cha Baba mzazi wa Waziri wetu wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa ambaye Amefiwa na Baba yake Mzazi mzee Omary Mchengerwa akiwa katika ibada huko Makka.

Ambapo taarifa inasema ya kuwa atazikwa huko huko Makka. ila ataombewa dua na kufanyiwa Ibada huku Tanzania itakayoongozwa na Mufti Dkt Zubeir.

Embu Soma hapa👉Baba yake Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa, Alhaj Omary Mchengerwa amefariki leo Alfajiri akiwa kwenye Ibada ya Umrah huko Makka.

Kwa mujibu wa taarifa ya Familia ya Mchengerwa, Mzee Omary atazikwa leo huko huko Makka.

Ifuatayo ni Ratiba ya Ibada ya Visomo vitakavyoongozwa na Mufti wa Tanzania Dkt Zuberi Bin Ali wa Mbwana nyumbani kwa Waziri Mchengerwa, Masaki Dar es Salaam.

LEO: TAREHE 24 FEBRUARI 2025

Dua ya Kisomo itafanyika nyumbani kwa Mhe. Mohamed Mchengerwa Masaki saa 10 Alasiri

KESHO TAREHE: 25 FEBRUARI 2025

Dua ya kisomo itafanyika Jimboni Rufiji

KESHO KUTWA TAREHE: 26 FEBRUARI 2025

Dua itafanyika nyumbani kwake Marehemu Alhaj Omary Mchengerwa Yombo.

Umeulizwa??machoko mna shida sana
 
Inna lillah wainna ilayhi raajiun
 
Poleni.
Huko siyo kwa kwenda kiholele, usipokaa sawasawa hurudi
Watu wengi bali mamilioni ya waislamu kila mwaka wanaenda Makka wakafanya ibada na kurudi salama kabisa kwenye nchi zao.
Hata hapa Tanzania maelfu ya waislamu walishaenda hijja na kurudi.
Kule kwetu mkoani Kagera mtu akienda Makka akirudi ukitaka kutaja jina lake lazima uanze Al haji au Haji fulani au kama ni mwanamke Hajati Fulani.
Sasa ma Al haji na Mahajati waliopo mkoani Kagera peke yake ni wengi sana.
Kilichomtokea Mzee Mchengerwa hutokea mara mojamoja sana na idadi ya watu waliofia Makka wakiwa kwenye ibada ni ndogo sana ukilinganisha na wale waliokwenda na kurudi salama.
 
Labda shetani naye katika kujitetea alirusha jiwe kwa huyo marehemu
 
Ni kweli kabisa ibada ya HIJA au umra inatakiwa ifanyike kwa kutumia mali zilizopatilana kwa njia ya halali!
Na sisi tunamhukumu mtu kutokana na yale tunayoyaona pasi na kidhaniana dhana mbaya au kupelelezana.
Mtu ambaye hujamkamata akiiba ukimuita mwizi wapata dhambi na kimpeleleza pia ili ujue kama ni mwizi pia ni dhambi!
Allaah amekataza kupelelezana na kudhaniana dhana mbaya katika Suurat Alhujuraat Aya ya 12 pale aliposema:
"{ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ ٱجۡتَنِبُواْ كَثِيرٗا مِّنَ ٱلظَّنِّ إِنَّ بَعۡضَ ٱلظَّنِّ إِثۡمٞۖ وَلَا تَجَسَّسُواْ وَلَا يَغۡتَب بَّعۡضُكُم بَعۡضًاۚ أَيُحِبُّ أَحَدُكُمۡ أَن يَأۡكُلَ لَحۡمَ أَخِيهِ مَيۡتٗا فَكَرِهۡتُمُوهُۚ وَٱتَّقُواْ ٱللَّهَۚ إِنَّ ٱللَّهَ تَوَّابٞ رَّحِيمٞ }
Enyi mlio amini! Jiepusheni na dhana nyingi, kwani baadhi ya dhana ni dhambi. Wala msipelelezane, wala msisengenyane nyinyi kwa nyinyi. Je! Yupo katika nyinyi anaye penda kuila nyama ya nduguye aliye kufa? Mnalichukia hilo! Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kupokea toba, Mwenye kurehemu."
Wasipelelezane wao kwa wao wala wasisengenyane wao kwa wao kwahiyo inamaana wakina nani wasengenywe?
 
Back
Top Bottom