TANZIA Waziri wa TAMISEMI Mohammedi Mchengerwa Amefiwa na Baba Yake Mzazi Akiwa Ibadani Makka Na Atazikwa hukohuko Makka

Bado huachi upumbavu tu?!
Mzee Mchengerwa hawezi uawa na jiwe Moja tu toka kwa shetani!. Yeye kafa kwa sababu siku aliyoandikiwa kuwa atakufa siku hiyo imefika ! .
Maswala ya kupigwa mawe hayana msingi wowote kwa kuwa Kuna watu wamewahi kupigwa hata risasi zaidi ya moja na bado walipona kwa kuwa siku waliyoandikiwa kuwa watakufa ilikuwa Bado haijafika!.
Kwahiyo kati ya shetani na mchengerwa yupi mwenye nguvu?
 
Ndugu zangu watanzania,

Nawaleteeni taarifa ya majonzi na masikitiko makubwa sana juu ya kifo cha Baba mzazi wa Waziri wetu wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa ambaye Amefiwa na Baba yake Mzazi mzee Omary Mchengerwa akiwa katika ibada huko Makka.

Ambapo taarifa inasema ya kuwa atazikwa huko huko Makka. ila ataombewa dua na kufanyiwa Ibada huku Tanzania itakayoongozwa na Mufti Dkt Zubeir.

Embu Soma hapa👉Baba yake Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa, Alhaj Omary Mchengerwa amefariki leo Alfajiri akiwa kwenye Ibada ya Umrah huko Makka.

Kwa mujibu wa taarifa ya Familia ya Mchengerwa, Mzee Omary atazikwa leo huko huko Makka.

Ifuatayo ni Ratiba ya Ibada ya Visomo vitakavyoongozwa na Mufti wa Tanzania Dkt Zuberi Bin Ali wa Mbwana nyumbani kwa Waziri Mchengerwa, Masaki Dar es Salaam.

LEO: TAREHE 24 FEBRUARI 2025

Dua ya Kisomo itafanyika nyumbani kwa Mhe. Mohamed Mchengerwa Masaki saa 10 Alasiri

KESHO TAREHE: 25 FEBRUARI 2025

Dua ya kisomo itafanyika Jimboni Rufiji

KESHO KUTWA TAREHE: 26 FEBRUARI 2025

Dua itafanyika nyumbani kwake Marehemu Alhaj Omary Mchengerwa Yombo.
Poleni wafiwa
anazikwa bila familia kushiriki mazishi
 
Naomba unijibu haya Maswali yangu yafuatayo ukiwa kama CHAWA GEGEDU wa Familia yake na ya Mkwe wake.....

1. Nini kimesababisha hasa Kifo cha Baba yake?

2. Kabla ya Baba yake kwenda huko alikofia alipimwa Afya?

3. Kumeshindikana nini Kuurudisha Mwili Tanzania ili azikwe na imelazimika azikwe huko huko alikofia?

4. Je, katika hizi Ratiba zote tajwa hapa juu Mama Mkwe na Dogo Dullah watahudhuria?

5. Kwa mazingira yaliyoko huko Alikofia Baba yake Mzazi na Umri wake kulikuwa na Ulazima wowote Yeye kwenda?

6. Kwanini haya Maamuzi ya Marehemu kuzikwa huko Alikofia yamekuwa ni ya haraka sana na yanalazimishwa?

7. Je, yale Masharti ya Watu kwenda Kuhiji huko Alikofia yalifuatwa vyema na Yeye Marehemu na Mwanae Waziri?

Nasubiria majibu yako CHAWA GEGEDU wa Familia zote mbili ya Mfiwa na Mkwe na pia ukiwa kama Mwanafunzi wangu.
Kumbe hazikwi hapa? Na je kama angezikwa hapa angezikwa zanzibar au rufiji?
 
Nashangaa mashirika ya kimataifa yamekaa kimya, na hata Mahakama ya
Kimataifa nayo kimya kuhusuiana na haya mauaji yanayotokea Makka kila Mwaka.
Huyu jamaa kwa haraka haraka anaakili kama za Nguruwe
 
Naomba unijibu haya Maswali yangu yafuatayo ukiwa kama CHAWA GEGEDU wa Familia yake na ya Mkwe wake.....

1. Nini kimesababisha hasa Kifo cha Baba yake?

2. Kabla ya Baba yake kwenda huko alikofia alipimwa Afya?

3. Kumeshindikana nini Kuurudisha Mwili Tanzania ili azikwe na imelazimika azikwe huko huko alikofia?

4. Je, katika hizi Ratiba zote tajwa hapa juu Mama Mkwe na Dogo Dullah watahudhuria?

5. Kwa mazingira yaliyoko huko Alikofia Baba yake Mzazi na Umri wake kulikuwa na Ulazima wowote Yeye kwenda?

6. Kwanini haya Maamuzi ya Marehemu kuzikwa huko Alikofia yamekuwa ni ya haraka sana na yanalazimishwa?

7. Je, yale Masharti ya Watu kwenda Kuhiji huko Alikofia yalifuatwa vyema na Yeye Marehemu na Mwanae Waziri?

Nasubiria majibu yako CHAWA GEGEDU wa Familia zote mbili ya Mfiwa na Mkwe na pia ukiwa kama Mwanafunzi wangu.
Kweli lile li Lucas ni lichawa gegedu, mimi nachoka zaidi kumzika mtu kwenye taifa lisilo lake hasa baba mzazi labda rafiki vipi kwa ndugu WASIO na uwezo watafika huko mazishini au ndio kuchezea pesa za umma.

Vipi au alikuwa na cheo kikubwa katika usilamu kumzidi mufuti mkuu wa waislamu bongo na uko meka
 
Naomba unijibu haya Maswali yangu yafuatayo ukiwa kama CHAWA GEGEDU wa Familia yake na ya Mkwe wake.....

1. Nini kimesababisha hasa Kifo cha Baba yake?

2. Kabla ya Baba yake kwenda huko alikofia alipimwa Afya?

3. Kumeshindikana nini Kuurudisha Mwili Tanzania ili azikwe na imelazimika azikwe huko huko alikofia?

4. Je, katika hizi Ratiba zote tajwa hapa juu Mama Mkwe na Dogo Dullah watahudhuria?

5. Kwa mazingira yaliyoko huko Alikofia Baba yake Mzazi na Umri wake kulikuwa na Ulazima wowote Yeye kwenda?

6. Kwanini haya Maamuzi ya Marehemu kuzikwa huko Alikofia yamekuwa ni ya haraka sana na yanalazimishwa?

7. Je, yale Masharti ya Watu kwenda Kuhiji huko Alikofia yalifuatwa vyema na Yeye Marehemu na Mwanae Waziri?

Nasubiria majibu yako CHAWA GEGEDU wa Familia zote mbili ya Mfiwa na Mkwe na pia ukiwa kama Mwanafunzi wangu.
Ukitoa ujinga wa wewe kuwa CCM, una ujiniaz kweli kweli maana umehoji maswali ya msingi sana.

Kongole kwako.
 
Chura kiziwi,mtoto wake kaolewa mke WA pili kwenye hiyo familia😳

Mke WA kwanza na WA pili wanalindanaji ule ugonjwa wa ngono? Nimeuliza TU.
 
Back
Top Bottom