Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Hii dini ilienezwa kwa damu na upanga lakn cha ajabu mwendo umekuwa ni uouo hata leo japo kuna na maendeleo makubwa sana kiteknolojia bado unaskia inaendeleea kumaliza watu. ipigwe barn kavipi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesoma wapi wewe?! Mbona unaandika vituko ?!Kwenye uislam hakuna mji mtukufu
Yusuph Manji alifia Marekani na akazikwa Marekani mbona hamkushangaa?!mtu kufia makkah sababu inakuwa nini wakuu? au huyo mwendazake alidhulumu watu kabla hajaenda huko?
Utukufu wa kitu/mji hautolewi na maulamaaUmesoma wapi wewe?! Mbona unaandika vituko ?!
Makka na Madina ni miji mitukufu kwa makubaliano ya maulamaa wote wa kiislamu.
Kufia Makka na kufia Tanzania na kufia India tafauti yake ni nini?! Mtu siku ya kufa imefika na kifo kimemkuta akiwa Makka wewe unampangia Allaah asimfishe Moja wake hadi arudi Tanzania?!mtu kufia makkah sababu inakuwa nini wakuu? au huyo mwendazake alidhulumu watu kabla hajaenda huko?
Utukufu wa mji hutolewa na nani sheikh!Utukufu wa kitu/mji hautolewi na maulamaa
Utukufu wa chochote hutoka kwa muumbaUtukufu wa mji hutolewa na nani sheikh!
Hebu nisomeshe Mimi Bado ni mwanafunzi napenda sana kujifunza !.
Ni njia gani ya kuthibitisha kuwa utukufu wa kitu fulani umetoka kwa Muumba ?!Utukufu wa chochote hutoka kwa muumba
QuranNi njia gani ya kuthibitisha kuwa utukufu wa kitu fulani umetoka kwa Muumba ?!
Je SUNNAQuran
Yusuph alikuwa na makazi kule,kule nikama nyumbani kwake kwa pili.Familia na watu wake wengi wapo huko,Labda ungeuliza kuhusu Governor Balal!!Yusuph Manji alifia Marekani na akazikwa Marekani mbona hamkushangaa?!
Ijmai ya maulamaa kuwa sharia ni kufru,hao ni binaadam kwa nini wawe chanzo cha Sharia!?.. kuhusu hadithi za mtume,ni ulaghai,baada ya wayahudi kushindwa kuibadili Quran wakabuni hadith zinazotutoa kwenye Quran na kuziita za mtume, Mungu hawezi tuma miongozo miwili kwa nabii mmoja,kuamini hadithi ni kuamini Quran haitoshiJe SUNNA
( hadithi za mtume
صلى الله عليه و آله وسلم Ijmaai ya Maulamaa na Qiyyaasu swahiihi siyo dalili kwako?!
Alipangiwa atakufa huko makkah. Waislam wanaamini mtu huwa anafuata kaburi lake. Na mimi natamani kulifuata kwenye taifa teule Israel nitafurahi balaa nikifa Israel.
Ritz Jagina Malaria 2 gTurn Adiosamigo 100 others and 100 others
Nyau de adriz
Kwenye mila za kiarabu (uislamu).Kwani ni wapi imeandikwa mtu hulifuata kaburi lake?