TANZIA Waziri wa TAMISEMI Mohammedi Mchengerwa Amefiwa na Baba Yake Mzazi Akiwa Ibadani Makka Na Atazikwa hukohuko Makka

TANZIA Waziri wa TAMISEMI Mohammedi Mchengerwa Amefiwa na Baba Yake Mzazi Akiwa Ibadani Makka Na Atazikwa hukohuko Makka

Hii dini ilienezwa kwa damu na upanga lakn cha ajabu mwendo umekuwa ni uouo hata leo japo kuna na maendeleo makubwa sana kiteknolojia bado unaskia inaendeleea kumaliza watu. ipigwe barn kavipi.
 
mtu kufia makkah sababu inakuwa nini wakuu? au huyo mwendazake alidhulumu watu kabla hajaenda huko?
Kufia Makka na kufia Tanzania na kufia India tafauti yake ni nini?! Mtu siku ya kufa imefika na kifo kimemkuta akiwa Makka wewe unampangia Allaah asimfishe Moja wake hadi arudi Tanzania?!
Siku ya kufa ikifika Allaah haangalii uko Makka au uko India lazima ufe tu.
Kuna watu wanavyoshangaa utadhani hawajaona watu wamefia nje ya nchi zao kama vile kifo hiki ni mara ya kwanza mtanzania kufia nchi ya kigeni?!
 
Yusuph Manji alifia Marekani na akazikwa Marekani mbona hamkushangaa?!
Yusuph alikuwa na makazi kule,kule nikama nyumbani kwake kwa pili.Familia na watu wake wengi wapo huko,Labda ungeuliza kuhusu Governor Balal!!
 
Je SUNNA
( hadithi za mtume
صلى الله عليه و آله وسلم Ijmaai ya Maulamaa na Qiyyaasu swahiihi siyo dalili kwako?!
Ijmai ya maulamaa kuwa sharia ni kufru,hao ni binaadam kwa nini wawe chanzo cha Sharia!?.. kuhusu hadithi za mtume,ni ulaghai,baada ya wayahudi kushindwa kuibadili Quran wakabuni hadith zinazotutoa kwenye Quran na kuziita za mtume, Mungu hawezi tuma miongozo miwili kwa nabii mmoja,kuamini hadithi ni kuamini Quran haitoshi
 
Mwanzo linaanza bango la Tanzia kisha linafuata jina la waziri nikastuka ni kajua ni yeye kumbe ni Baba yake . R .i.p baba waziri
 
Back
Top Bottom