makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Kwa kudanganyika kwako kirahisi, sikupatii picha ungekuwa mwanamke halafu mrembo
😂🤣🤣
😂🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mkuu nomeona yule dada aliyeseam aliandaa makalaHawakuwa waandishi walikuwa wapambe sijawahi ona mwandishi aliekwenda shule anauliza maswali namna ile??Wengine walikuwa wanauliza maswali na kujijibu wenyewe kweli Tanzania ni nchi ya miujiza
unasifia nini? Isingekuwa kelele tayari ilashipita hiyo. Kelele zinasaidia kuweka mambo sawaKiukweli Waziri Mbarawa na timu yake wamejitahidi kujibu maswali ya wahariri na wametoa ufafanuzi mzuri.
Mimi binafsi nimefurahi kupata maelezo ya maswali mengi tuliyokuwa tunajadili hapa jamvini.
Mfano ukomo wa mkataba na namna ya kuuvunja mkataba
Kikubwa ni kwamba kumbe bado Kuna vitu vingi vinakuja kujadliwa sisi tumewahi sana kuhukumu.
Kwa maelezo ya leo naamini serikali Ina nia njema kwa nchi yetu . Tuwe na subira.
KAZI INDELEE
Binafsi naona Hamza Johari ndie kashusha hoja za nguvu za makubaliano hayo na Dp World zinazoekeweka kwa wananchi nikiwemo mimi akieleza kwa lugha rahisi eleweka hata kwa laymanKiukweli Waziri Mbarawa na timu yake wamejitahidi kujibu maswali ya wahariri na wametoa ufafanuzi mzuri.
Mimi binafsi nimefurahi kupata maelezo ya maswali mengi tuliyokuwa tunajadili hapa jamvini.
Mfano ukomo wa mkataba na namna ya kuuvunja mkataba
Kikubwa ni kwamba kumbe bado Kuna vitu vingi vinakuja kujadliwa sisi tumewahi sana kuhukumu.
Kwa maelezo ya leo naamini serikali Ina nia njema kwa nchi yetu . Tuwe na subira.
KAZI INDELEE
Amesema yeye ndio alieuandaa huu mkataba na anajua tofauti ya BIT na IGA na HGA mimi najua BIT tu hizo nyingine sizijui kwa hiyo hakutufafanulia tofauti ya BIT na IGA na HGA alisema IGA na HGA ni Viena convection ya 1969 sawa lakini mikataba yote hutumia Viena convection kwa hiyo kutakuwa na confusions nyingi sana kwenye hii kitu ila time will tell
Mbarawa huyu Magufuli alimuona mjinga sana akamtimua.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa anazungumza na Waandishi wa Habari, Jijini Dar es Salaam muda huu kuhusu uwekezaji wa Bandari.
Mbarawa:
Pamoja na Serikali kuendeleza juhudi za maboresho ya Bandari zetu, bado ufanisi katika utoaji huduma wa Bandari haujafikia viwango vinavyotakiwa kimataifa.
Hali ya ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam na nyingine nyingi zinazoendeshwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania upo chini sana, udhaifu huo unaonekana katika utendaji wa kila siku wa Bandari zetu pamoja na ukusanyaji wa mapato
Bandari ya Dar imeendelea kuwa nyuma dhidi ya Bandari shindani katika Kanda, mfano wastani wa meli kusubiri nangani ni siku 5 sawa na Saa 120 ikilinganishwa na siku 1 na saa 6 kwa bandari ya Mombasa.
Meli kutumia muda mrefu kupakia shehena kantini kwa wastani wa siku tano wakati kimataifa ni siku moja inayokubalika kimataifa.
Ufanisi mdogo wa Bandari ya Dar es Salaam umetokana na changamoto mbalimbali ikiwemo kukosekana mifumo ya kisasia ya TEHAMA, kutokuwepo kwa maeneo ya kutosha ndani na nje ya Bandari ya kuhifadhia shehena za mizigo pamoja na maegesho ya kutosha ya kuegeshea meli.
Changamoto nyingine ni kukosekana kwa mitambo ya kutosha na ya kisasa inayobadilika mara kwa mara kutokana na teknolojia na hivyo kuwa na gharama kubwa.
Athari za kutokuwa na ufanisi katika Bandari ya Dar es Salaam ni meli kusubiri muda mrefu nangani, mfano gharama ya meli kusubiri nangani kwa siku moja ni takribani Dola 25,000 (Tsh. Milioni 58).
Meli kutumia wastani wa siku tano kupakia na kupakua shehena ukilinganisha na siku 1 inayokubalika kimataifa.
Meli kubwa kutokuja katika Bandari ya Dar es Salaam kutokana na kuchukua muda mrefu kuhudumiwa, hivyo kusababisha bandari yetu kuwa inayolishwa na Bandari nyingine.
Uwezo mdogo wa Bandari ya Dar unaikosesha Nchi mapato makubwa ambayo yangeweza kusaidia katika utekelezaji wa miradi ya kimkakati inayoendelea kutekelezwa Nchini.
Ili kutoendelea na hali hiyo, Serikali iliingia makubaliano 2000 Serikali ya Awamu ya Tatu iliingia mkataba wa upangaji na uendeshaji na Kampuni ya TICTS, mkataba ambao ulidumu kwa miaka 22 na kuipa haki za kipekee TICTS kuendesha shughuli za gati namba 8 hadi 11 za Bandari ya Dar es Salaam huku maeneo mengine yakihudumiwa na TPA.
Desemba 2022, Serikali ya Awamu ya 6 baada ya kuona mkataba hauendani na maslahi mapana ya Nchi yetu iliamua kusitisha mkataba huo.
Serikali kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania ilipokea mapendekezo ya wawekezaji mbalimbali Duniani, lengo kuu likiwa ni kufungua masoko ya kimkakati katika kufungua eneo la bidhaa na usafirishaji ndani ya Nchi na maeneo yanayotuzunguka.
Baada ya uchambuzi wa kina Serikali ilianzisha majadiliano na Kampuni ya DP World kwa sababu zifuatazo:
Uwezo mkubwa wa uendeshaji wa shughuli za Bandari Afrika, Asia, Ulaya, Marekani ya Kaskazini na Kusini na Australia.
DP World ina uwezo na kuchagiza mnyororo mzima wa usafirishaji kutoka maeneo ambapo bidhaa zinatoka hadi kwa walaji wa bidhaa.
DP World inamiliki zaidi ya meli 400 za mizigo, ina uzoefu wa uendeshaji wa Bandari 6 Afrika na zaidi ya Bandari 30 Duniani kote.
Wawekezaji wengine waliowasilisha mapendekezo yao hayakukidhi sifa kwa mwekezaji ambaye alihitajika.
Mkurugenzi TCCA: Hakuna ardhi ya Tanzania ambayo itauzwa
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini, Hamza Johari amewatoa hofu Watanzania kuhusu tarifa za kuwa nchi imeuzwa kutokana na mkataba wa makubaliano ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai akisema kuwa taarifa hizo hazina ukweli wowote.
Kauli hiyo ameitoa leo Julai 14, 2023 alipokuwa akizungumza katika mkutano na wahariri jijini Dar es Salaam huku akiwataka watu kutoingiza siasa kwenye masuala yahusuyo uchumi wa nchi na kusisitiza kuwa mkataba huo ni mzuri.
Kiukweli Waziri Mbarawa na timu yake wamejitahidi kujibu maswali ya wahariri na wametoa ufafanuzi mzuri.
Mimi binafsi nimefurahi kupata maelezo ya maswali mengi tuliyokuwa tunajadili hapa jamvini.
Mfano ukomo wa mkataba na namna ya kuuvunja mkataba
Kikubwa ni kwamba kumbe bado Kuna vitu vingi vinakuja kujadliwa sisi tumewahi sana kuhukumu.
Kwa maelezo ya leo naamini serikali Ina nia njema kwa nchi yetu . Tuwe na subira.
KAZI INDELEE
Hapana hukunielewa wala hujamwelewa nafikiri hawatumii katiba ya mtu au nchi yeyote wanatumia sheria ya mikataba ya kimataifa ilivotungwa Viena ili kulinda mikataba yote duniani kwa hiyo uelewe hapo shida ni Hizo aina tatuNdio anaruhusu watumie katiba yao ndani ya nchi yetu? Naye ni msomi? haogopi consequences zake? 🥲🥲🥲🥲🥲
Serikali impe cheo kikubwa zaidi ya Ukurugenzi wa wa anga Hamza JohariMbarawa huyu Magufuli alimuona mjinga sana akamtimua.
Mavi ya kale hayanuki binadamu aweza jirekebisha usiwe mtumwa wa HistoriaMbarawa huyu Magufuli alimuona mjinga sana akamtimua.
Ha. Ha ha ha.......Changamoto ni kwamba hata Mbarawa mwenyewe hajausoma huo mkabata naye anaambiwa kama sisi
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa anazungumza na Waandishi wa Habari, Jijini Dar es Salaam muda huu kuhusu uwekezaji wa Bandari.
Mbarawa:
Pamoja na Serikali kuendeleza juhudi za maboresho ya Bandari zetu, bado ufanisi katika utoaji huduma wa Bandari haujafikia viwango vinavyotakiwa kimataifa.
Hali ya ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam na nyingine nyingi zinazoendeshwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania upo chini sana, udhaifu huo unaonekana katika utendaji wa kila siku wa Bandari zetu pamoja na ukusanyaji wa mapato
Bandari ya Dar imeendelea kuwa nyuma dhidi ya Bandari shindani katika Kanda, mfano wastani wa meli kusubiri nangani ni siku 5 sawa na Saa 120 ikilinganishwa na siku 1 na saa 6 kwa bandari ya Mombasa.
Meli kutumia muda mrefu kupakia shehena kantini kwa wastani wa siku tano wakati kimataifa ni siku moja inayokubalika kimataifa.
Ufanisi mdogo wa Bandari ya Dar es Salaam umetokana na changamoto mbalimbali ikiwemo kukosekana mifumo ya kisasia ya TEHAMA, kutokuwepo kwa maeneo ya kutosha ndani na nje ya Bandari ya kuhifadhia shehena za mizigo pamoja na maegesho ya kutosha ya kuegeshea meli.
Changamoto nyingine ni kukosekana kwa mitambo ya kutosha na ya kisasa inayobadilika mara kwa mara kutokana na teknolojia na hivyo kuwa na gharama kubwa.
Athari za kutokuwa na ufanisi katika Bandari ya Dar es Salaam ni meli kusubiri muda mrefu nangani, mfano gharama ya meli kusubiri nangani kwa siku moja ni takribani Dola 25,000 (Tsh. Milioni 58).
Meli kutumia wastani wa siku tano kupakia na kupakua shehena ukilinganisha na siku 1 inayokubalika kimataifa.
Meli kubwa kutokuja katika Bandari ya Dar es Salaam kutokana na kuchukua muda mrefu kuhudumiwa, hivyo kusababisha bandari yetu kuwa inayolishwa na Bandari nyingine.
Uwezo mdogo wa Bandari ya Dar unaikosesha Nchi mapato makubwa ambayo yangeweza kusaidia katika utekelezaji wa miradi ya kimkakati inayoendelea kutekelezwa Nchini.
Ili kutoendelea na hali hiyo, Serikali iliingia makubaliano 2000 Serikali ya Awamu ya Tatu iliingia mkataba wa upangaji na uendeshaji na Kampuni ya TICTS, mkataba ambao ulidumu kwa miaka 22 na kuipa haki za kipekee TICTS kuendesha shughuli za gati namba 8 hadi 11 za Bandari ya Dar es Salaam huku maeneo mengine yakihudumiwa na TPA.
Desemba 2022, Serikali ya Awamu ya 6 baada ya kuona mkataba hauendani na maslahi mapana ya Nchi yetu iliamua kusitisha mkataba huo.
Serikali kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania ilipokea mapendekezo ya wawekezaji mbalimbali Duniani, lengo kuu likiwa ni kufungua masoko ya kimkakati katika kufungua eneo la bidhaa na usafirishaji ndani ya Nchi na maeneo yanayotuzunguka.
Baada ya uchambuzi wa kina Serikali ilianzisha majadiliano na Kampuni ya DP World kwa sababu zifuatazo:
Uwezo mkubwa wa uendeshaji wa shughuli za Bandari Afrika, Asia, Ulaya, Marekani ya Kaskazini na Kusini na Australia.
DP World ina uwezo na kuchagiza mnyororo mzima wa usafirishaji kutoka maeneo ambapo bidhaa zinatoka hadi kwa walaji wa bidhaa.
DP World inamiliki zaidi ya meli 400 za mizigo, ina uzoefu wa uendeshaji wa Bandari 6 Afrika na zaidi ya Bandari 30 Duniani kote.
Wawekezaji wengine waliowasilisha mapendekezo yao hayakukidhi sifa kwa mwekezaji ambaye alihitajika.
Mkurugenzi TCCA: Hakuna ardhi ya Tanzania ambayo itauzwa
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini, Hamza Johari amewatoa hofu Watanzania kuhusu tarifa za kuwa nchi imeuzwa kutokana na mkataba wa makubaliano ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai akisema kuwa taarifa hizo hazina ukweli wowote.
Kauli hiyo ameitoa leo Julai 14, 2023 alipokuwa akizungumza katika mkutano na wahariri jijini Dar es Salaam huku akiwataka watu kutoingiza siasa kwenye masuala yahusuyo uchumi wa nchi na kusisitiza kuwa mkataba huo ni mzuri.
Wanafiki ndo wapo karobu Na mama ukiagundulika ulikuwa Karibu na bwana yule lazima utupwe nje .wapi kabudi, lukuviBinafsi naona Hamza Johari ndie kashusha hoja za nguvu za makubaliano hayo na Dp World zinazoekeweka kwa wananchi nikiwemo mimi akieleza kwa lugha rahisi eleweka hata kwa layman
Nilichogundua kwenye hili sakata kumbe kuna watu wenye akili nyingi kama Hamza Johari lakini system haiwapi nafasi za juu za utawala wa nchi hawatutendei haki wananchi wajirekebishe Hamza Johari kuwa.na cheo kidogo cha Mkrugenzi wa hali ya hewa ni dharau na kutotutendea haki watanzania wajirekebishe kwa kweli
Hamza kuwa hiyo nafasi ya ukurugebzi mkuu wa anga ni kumuonea akili yake iko beyond ya hicho cheo
Anastahili kikubwa zaidi
Wahuni walimdanganya mama kwamba mafanikio yake ni kuwafukuza waliokuwa karibu na Magufuli.Wanafiki ndo wapo karobu Na mama ukiagundulika ulikuwa Karibu na bwana yule lazima utupwe nje .wapi kabudi, lukuvi
Kabudi na Lukuvi walikwisha choka sana tena wanadharau wanawake hawana sifa za ukweli na demokrasia ya haki za watu hawafaiWanafiki ndo wapo karobu Na mama ukiagundulika ulikuwa Karibu na bwana yule lazima utupwe nje .wapi kabudi, lukuvi
Magufuli na manabii zake walikuwa wanahukumu watu kufa na kuwasulubisha mungu hapendi hayo akaingilia kati kama unamtaka mfuate aheraWahuni walimdanganya mama kwamba mafanikio yake ni kuwafukuza waliokuwa karibu na Magufuli.
Hilo la kuwafukuza amefanikiwa kwa 100%.
Baada ya kuwatimua, sasa Meli imepoteza mwelekeo