Waziri wa Ulinzi Israel asema wamemuuwa Mkuu wa Ulinzi wa Iran, Ali Larijani

Breaking: Over a dozen top IRGC and Basij officers were eliminated during the Israeli strikes last night, including the commander of the Basij and his deputy.

IDF confirms that IRGC General Esmail Qaani has survived.
20260317_135729.jpg
 
Tatizo kwasasa Kuna wimbi kubwa la Mauaji kati ya Wakuu wa Israel na Iran kufikia Sasa wameuwana wengi sana.

Ndiomana ukichunguza ndani ya Israel zile nyuso tunazijua kwasasa uzioni popote ata kwenye mikutano Yao ya kimya kimya.

So hii Vita vikisha tutalajie kuona viongozi wapya pande zote mbili muda ni mwalimu
Iran hana uwezo wa kuua hata balozi wa nyumba kumi wa Tel Aviv
 
Breaking: Over a dozen top IRGC and Basij officers were eliminated during the Israeli strikes last night, including the commander of the Basij and his deputy.

IDF confirms that IRGC General Esmail Qaani has survived.
20260317_135729.jpg
 
Rais Donald Trump amesema anaamini Tehran inataka kufanya mazungumzo ya kukomesha vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran lakini bado haijulikani ni nani hasa anayesimamia. Amesema kuna watu waliowasiliana na Washington lakini nyadhifa zao hazijulikani. Kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Mojtaba Khamenei, aliyeteuliwa kuwa mrithi wa baba yake aliyeuawa, hajaonekana hadharani. Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegseth alisema wiki iliyopita kiongozi huyo mpya huenda alijeruhiwa vibaya, na Trump alirudia ripoti ambazo hazijathibitishwa kwamba amejeruhiwa vibaya au pengine ameuawa. #dwkiswahili
 
Tofaut nyengine kwenye hii Vita ipo apa. Upande mmoja Viongozi wake wakifa wanasema!!!

Upande wa pili wao wamepitisha na Sheria kabisa ya kuzuiya habari zao hakuna kutoka !!!

kwamadai adui yao akiona atapata nguvu zaidi au shabaa zaidi!!!

Swali wasomaji wa Jamii forums

Ikiwa tunaona kipigo wanachopewa Israel kutoka Iranian na hezbollah!!

Mejengo yao yalivo sagwa vile na Waisrael wanatwambia Vifo ni 14 !!!!!

Uwongo wao ni wawaziwazi unaotokana na iyo Sheria yao kuficha maumivu yao!!!

manake Kombora linavunja vunja zege pamoja na nondo!!!

Lkn Kombora ilo ilo linashindwa kupenda kwa Binadamu mwenye nyama tu!!!!!

2) Swali kuu!!

ikiwa Israel inaficha japo Vifo tu ya raia wake.

JE bado wewe unategemea kuja kuambiwa ukweli wa Vifo vya viongozi wao wangazi yoyote?????

Ukweli kwenye hii Vita tutasikia tu Vifo vya upande wa Iranian tu.

Sio Israel saaauuu ilo!!!!
 
Tuletee taarifa za kifo hata cha kiongozi mmoja wa Israel, juzi mlizusha kuwa mumemuua Netanyahu, mkahubiriana huko hehehe jamaa yupo anawacheka tu.
Makamanda wenu na wakuu wote wapo kila mmoja anafaidi mabikira.
 
Tofaut nyengine kwenye hii Vita ipo apa. Upande mmoja Viongozi wake wakifa wanasema!!!

Upande wa pili wao wamepitisha na Sheria kabisa ya kuzuiya habari zao hakuna kutoka !!!

kwamadai adui yao akiona atapata nguvu zaidi au shabaa zaidi!!!

Swali wasomaji wa Jamii forums

Ikiwa tunaona kipigo wanachopewa Israel kutoka Iranian na hezbollah!!

Mejengo yao yalivo sagwa vile na Waisrael wanatwambia Vifo ni 14 !!!!!

Uwongo wao ni wawaziwazi unaotokana na iyo Sheria yao kuficha maumivu yao!!!

manake Kombora linavunja vunja zege pamoja na nondo!!!

Lkn Kombora ilo ilo linashindwa kupenda kwa Binadamu mwenye nyama tu!!!!!

2) Swali kuu!!

ikiwa Israel inaficha japo Vifo tu ya raia wake.

JE bado wewe unategemea kuja kuambiwa ukweli wa Vifo vya viongozi wao wangazi yoyote?????

Ukweli kwenye hii Vita tutasikia tu Vifo vya upande wa Iranian tu.

Sio Israel saaauuu ilo!!!!
Anayetangaza vifo vya viongozi wa Iran ni Israel.

Anaetakiwa kutangaza mauaji ya viongozi wa Israel ni Iran.
 
Kufuatia kuuawa kwa makamanda waandamizi wa Iran, Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limeanzisha wimbi kubwa la mashambulizi dhidi ya miundombinu ya utawala kote jijini Tehran, likilenga vituo vya uongozi, makao makuu ya intelijensia, pamoja na maeneo ya vyombo vya usalama.
20260317_145257.png
 
Tuambieni kwanza Netanyahu mmeisha mzika au bado.

Hio habari kama kweli ameuliwa Larijani watasema tu Iran hawafichi sio hao Israel wanaficha Netanyahu kauliwa akiwa na mageneral 19 time itaongea kama kisha lambishwa mchanga
baada ya kuvimbiwa futari mnaanza kulishana matango pori eti Netanyahu kalambishwa mchana.
 
Back
Top Bottom