Waziri wa Ulinzi Israel asema wamemuuwa Mkuu wa Ulinzi wa Iran, Ali Larijani

Waziri wa Ulinzi Israel asema wamemuuwa Mkuu wa Ulinzi wa Iran, Ali Larijani

Tofaut nyengine kwenye hii Vita ipo apa. Upande mmoja Viongozi wake wakifa wanasema!!!

Upande wa pili wao wamepitisha na Sheria kabisa ya kuzuiya habari zao hakuna kutoka !!!

kwamadai adui yao akiona atapata nguvu zaidi au shabaa zaidi!!!

Swali wasomaji wa Jamii forums

Ikiwa tunaona kipigo wanachopewa Israel kutoka Iranian na hezbollah!!

Mejengo yao yalivo sagwa vile na Waisrael wanatwambia Vifo ni 14 !!!!!

Uwongo wao ni wawaziwazi unaotokana na iyo Sheria yao kuficha maumivu yao!!!

manake Kombora linavunja vunja zege pamoja na nondo!!!

Lkn Kombora ilo ilo linashindwa kupenda kwa Binadamu mwenye nyama tu!!!!!

2) Swali kuu!!

ikiwa Israel inaficha japo Vifo tu ya raia wake.

JE bado wewe unategemea kuja kuambiwa ukweli wa Vifo vya viongozi wao wangazi yoyote?????

Ukweli kwenye hii Vita tutasikia tu Vifo vya upande wa Iranian tu.

Sio Israel saaauuu ilo!!!!
Acha uongo wewe viongozi wa Iran wakifa wala huwa hawasemi wanaoanza kusema ni Israel au Marekan kisha Iran wanakuja kusema baadae, hata sasa Iran bado hawajasema kama Ali Larijal kauwawa. Sasa kama Iran na wao wanauwa wamezuiwa na nani kusema na kuweka jina na picha ya waliomuua.
 
Huko Gaza Katika shambulio tofauti, Israeli pia ilimlenga kiongozi wa Palestina Islamic Jihad Akram al-Ajouri na maafisa wengine wakuu, ambao waliripotiwa kufanya kazi kutoka nyumba salama huko Tehran. Mkuu wa Wafanyakazi wa IDF Luteni Jenerali Eyal Zamir baadaye alithibitisha "mafanikio makubwa ya kuondoa" usiku kucha yaliyohusisha maafisa wakuu waliohusishwa na shughuli za kigaidi kutoka Gaza na Ukingo wa Magharibi.
 

Attachments

  • IMG_5624.MP4
    3.8 MB
Tofaut nyengine kwenye hii Vita ipo apa. Upande mmoja Viongozi wake wakifa wanasema!!!

Upande wa pili wao wamepitisha na Sheria kabisa ya kuzuiya habari zao hakuna kutoka !!!

kwamadai adui yao akiona atapata nguvu zaidi au shabaa zaidi!!!

Swali wasomaji wa Jamii forums

Ikiwa tunaona kipigo wanachopewa Israel kutoka Iranian na hezbollah!!

Mejengo yao yalivo sagwa vile na Waisrael wanatwambia Vifo ni 14 !!!!!

Uwongo wao ni wawaziwazi unaotokana na iyo Sheria yao kuficha maumivu yao!!!

manake Kombora linavunja vunja zege pamoja na nondo!!!

Lkn Kombora ilo ilo linashindwa kupenda kwa Binadamu mwenye nyama tu!!!!!

2) Swali kuu!!

ikiwa Israel inaficha japo Vifo tu ya raia wake.

JE bado wewe unategemea kuja kuambiwa ukweli wa Vifo vya viongozi wao wangazi yoyote?????

Ukweli kwenye hii Vita tutasikia tu Vifo vya upande wa Iranian tu.

Sio Israel saaauuu ilo!!!!
Kuhusu raia wa Israel kufa kwa idadi ndogo inaweza kuwa sahihi.
Nasema hivi kwa sababu Israel imejengwa kama Ukrain, yaani miji mingi amejengwa kwa tahadhari ya vita, Kila Kona Kuna safe zone na bomb detectors. Bomb likirushwa kabla halijaingia anga ya Israel bomb detector Zina activate vingora, watu wanaingia kujificha, bomb likilipuka wanatoka chini ya mahandaki.
Ndiyo maana unaona Ukrain na Israel shule, hospital na shughuli za Serikali zinaendelea kama kawaida.
 
Unaripoti ukiwa zako choo cha MBAVU unachamba
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu amesema:
“Tumemuondoa Ali Larijani, ambaye ni kiongozi wa IRGC, au kundi la kihalifu. Tunaivunja miundombinu ya utawala kwa matumaini ya kuwapa wananchi fursa ya kuuondoa wao wenyewe. Haitawezekana mara moja, wala haitakuwa rahisi. Lakini tukidumisha juhudi zetu, tutawawezesha kuchukua hatima yao mikononi mwao wenyewe.”
 

Ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu; mfumo wa uongozi wa Iran umejipanga kwa vita.

Kila senior government post ina four immediate successors; wote wanajua namna ya kuendeleza vita.

Ni mfumo mzuri kwa resilience wakati wa vita na mmbaya kwa security maana watu wengi wana siri na mipango sensitive ya nchi inakuwa raisi kuwa infiltrated.

Kwa hivyo USA na Israel kusifia wamemuondoa nani aina impact kwa Iran leadership sio weakness yao; wana succession planning ya decision making with immediate replacement.
 
Tofaut nyengine kwenye hii Vita ipo apa. Upande mmoja Viongozi wake wakifa wanasema!!!

Upande wa pili wao wamepitisha na Sheria kabisa ya kuzuiya habari zao hakuna kutoka !!!

kwamadai adui yao akiona atapata nguvu zaidi au shabaa zaidi!!!

Swali wasomaji wa Jamii forums

Ikiwa tunaona kipigo wanachopewa Israel kutoka Iranian na hezbollah!!

Mejengo yao yalivo sagwa vile na Waisrael wanatwambia Vifo ni 14 !!!!!

Uwongo wao ni wawaziwazi unaotokana na iyo Sheria yao kuficha maumivu yao!!!

manake Kombora linavunja vunja zege pamoja na nondo!!!

Lkn Kombora ilo ilo linashindwa kupenda kwa Binadamu mwenye nyama tu!!!!!

2) Swali kuu!!

ikiwa Israel inaficha japo Vifo tu ya raia wake.

JE bado wewe unategemea kuja kuambiwa ukweli wa Vifo vya viongozi wao wangazi yoyote?????

Ukweli kwenye hii Vita tutasikia tu Vifo vya upande wa Iranian tu.

Sio Israel saaauuu ilo!!!!
Habari za kifo cha Netanyahu ni fix, na waliozianzisha ni hao hao Israel ili kuwapumbaza watu kua mabomu ya Iran yanafikia hadi kuua waziri mkuu wao. Lakini nyuma ya pazia Iran na Hezbollah wanachezea mkong'oto wa hali ya juu. Na huko Lebanon jamaa wameingiza kikosi cha ardhini kufagia kila kitu. Kumbuka vita ilipoanza waliambizana na US hii ndio nafasi ya kuwamaliza Iran na matishio yao kwa Israel for good, kwahio hii nafasi wanaitumia haswa kutimiza lengo lao, msije shangaa vita inaisha Tehran inabaki kama Gaza. Habari za kupigwa sana Iran hawazitoi kwa makusudi maalum , muda tu ndio utakuja kuongea.
 
Tofaut nyengine kwenye hii Vita ipo apa. Upande mmoja Viongozi wake wakifa wanasema!!!

Upande wa pili wao wamepitisha na Sheria kabisa ya kuzuiya habari zao hakuna kutoka !!!

kwamadai adui yao akiona atapata nguvu zaidi au shabaa zaidi!!!

Swali wasomaji wa Jamii forums

Ikiwa tunaona kipigo wanachopewa Israel kutoka Iranian na hezbollah!!

Mejengo yao yalivo sagwa vile na Waisrael wanatwambia Vifo ni 14 !!!!!

Uwongo wao ni wawaziwazi unaotokana na iyo Sheria yao kuficha maumivu yao!!!

manake Kombora linavunja vunja zege pamoja na nondo!!!

Lkn Kombora ilo ilo linashindwa kupenda kwa Binadamu mwenye nyama tu!!!!!

2) Swali kuu!!

ikiwa Israel inaficha japo Vifo tu ya raia wake.

JE bado wewe unategemea kuja kuambiwa ukweli wa Vifo vya viongozi wao wangazi yoyote?????

Ukweli kwenye hii Vita tutasikia tu Vifo vya upande wa Iranian tu.

Sio Israel saaauuu ilo!!!!
Wanaficha kivipi ?

Wataje hao ambao Iran kawaua ,

Iran haiwezi kuua hata balozi wa nyumba kumi wa Tel Aviv

Mmechezeshwa propaganda kuwa Netanyahu kafa ,mara AI ,

Haya mshabutuliwa huko

Taja viongozi wa Israel ambao wameuliwa na Irani

Kama Israel inavyowaua na kuwataja
FB_IMG_1773747050708.jpg
 
Duh,
IDF kazi yao kumwaga moto kutokea angani, wanawezaje kuthibitisha kuwa fulani kaliwa kichwa tayari na fulani kasalimika?
Hao wakipiga wanapiga kweli

NETANYAHU ATHIBITISHA KUANGAMIZWA KWA VIONGOZI WAKUU WA IRAN

Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ametangaza kufanyika kwa shambulio maalum la usiku kucha jijini Tehran:
• Ali Larijani — AMEONDOLEWA
• Gholamreza Soleimani (Kamanda wa Basij) — AMEONDOLEWA

Amesema

“Asubuhi hii tumemuondoa Ali Larijani. Ali Larijani ni kiongozi wa Walinzi wa Mapinduzi (Revolutionary Guards), ambao ni kundi la kihalifu linaloendesha Iran kwa vitendo. Pamoja naye, tumemuondoa pia kamanda wa Basij; hawa ni wasaidizi wa kundi hilo, wanaosambaza hofu mitaani Tehran na katika miji mingine ya Iran dhidi ya raia. Tunaendelea kufanya operesheni huko pia; tukitumia mashambulizi ya anga kupitia ndege za jeshi la anga pamoja na droni.”

Israel imethibitisha kuendelea kwa operesheni zake ndani ya Iran.
20260317_164737.jpg
 
Watauliwa Sana hao Wairani, Nilisoma mahali kuwa,Kwa taratibu za kishia wanasema kuwa kuuawa Kwa njia za namna hiyo ni kufa shahidi, maana Yake hawaoni tabu na hata familia zao au kwenye misiba Yao wanasema ndugu yetu amekufa shahidi. Niliona video moja Yule Ayatollah aliyeuliwa anaongea na mtoto mdogo wa miaka kama kumi hivi, Yule mtoto mwisho alisema akikua anataka kufa shahidi, watu wenye mentality ya namna Nafikiri kifo kwao sio Jambo kubwa...Ni hatari Sana kuwa na Mentality ya namna hii.

Nchi zilizo kwenye migogoro ya vita kama Iran au Israel huwa zinakuwa na level kuanzia nne na kuendelea za kukasimishana madaraka ndani ya Taasisi za kiulinzi au kiusalama...Hii vita si nzuri kabisa na Sisi dunia ya tatu hasa TZ tunaiangalia hii vita Kwa mrengo wa kidini yaani imegawanya kuwa Wakristo wako na Israel na US Huku Waislamu wako na Iran hahah wakati it has nothing to do with religion 😀😀😀...
 
Back
Top Bottom