Waziri wa Ulinzi Israel asema wamemuuwa Mkuu wa Ulinzi wa Iran, Ali Larijani

Waziri wa Ulinzi Israel asema wamemuuwa Mkuu wa Ulinzi wa Iran, Ali Larijani

Tatizo kwasasa Kuna wimbi kubwa la Mauaji kati ya Wakuu wa Israel na Iran kufikia Sasa wameuwana wengi sana.

Ndiomana ukichunguza ndani ya Israel zile nyuso tunazijua kwasasa uzioni popote ata kwenye mikutano Yao ya kimya kimya.

So hii Vita vikisha tutalajie kuona viongozi wapya pande zote mbili muda ni mwalimu

Nyuso zipi sheikh wangu. Weka picha zao? Au ndo maneno ya sheikh kitinku?
 
Afu uzuri wa Iran hawaogopi kufa wanafahamu wazi dunia ni mapito tu bora ufe una akili zako sawa sawa, macho yako sawa, unasikia sio ubaki duniani afu badaye unaushia kusumbuka huoni sijui husikii au mpaa ulishwe au uwoshwe.

Kuwa Muislam ni nema mwenye kuogoba kufa ni Mkanisa na Washika ukuta

Khayatollah asingekuwa analindwa na. Kuishi mashimoni kama panya.
 
Afu uzuri wa Iran hawaogopi kufa wanafahamu wazi dunia ni mapito tu bora ufe una akili zako sawa sawa, macho yako sawa, unasikia sio ubaki duniani afu badaye unaushia kusumbuka huoni sijui husikii au mpaa ulishwe au uwoshwe.

Kuwa Muislam ni nema mwenye kuogoba kufa ni Mkanisa na Washika ukuta
Kama hawaogopi kufa mbona wanajificha kwenye Mashimba Kama Nungunungu?
 
Al Jazeera: The new Iranian leader is.....never mind......we'll be back after commercials
 
Mkuu mimi kea jinsi nilivyoielewa mbinu ya Iran. Inaonekana jamaa walishakua na mpango wa hii vita kwa muda mrefu. Walishajua mbinu ya israel kuua viongozi, kwaiyo wakaja na mfumo wa mwili kufanya kazi hata ukikatwa kichwa yaani decentralized warfare


If leadership is wiped out. If command structure collapses
-operate alone
-no central command
-no waiting for orders
Just executr the plan yoj were given. In traditional military system if you destroy the command center, the army collapses. But in this model there is no single center to destroy.

Ndio mkakati wa Iran niliouona mpaka sasa. Tengeneza wafanya maamuzi wengi. Mlazimishe adui ashuhhulike na matishio mengi badala ya tishio kuu moja. The structure was designed to survive exactly this scenario
Kwani Iraq baada ya kuangushwa kwa Saddam na watoto wake, nini kilitokea?

Anachofanya kwa makusudi Israel ni kumpa Iran msoto na kifo cha taratibu ambacho kinauma zaidi ili wakija kusalimu amri, mateso aliyopitia yakumbukwe zaidi.
 
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, amesema leo Machi 17, 2026 kuwa mkuu wa usalama wa Iran, Ali Larijani, ameuawa katika shambulio la Israel.

Ali Larijani amekuwa akijulikana kwa miongo kadhaa kama kiongozi mwenye msimamo wa wastani na mtazamo wa kimkakati ndani ya uongozi wa Iran. Amewahi pia kuwa katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa, akichangia kwa kiasi kikubwa kuongoza mkakati wa nchi hiyo wakati wa vita kati ya Marekani, Israel na Iran.

Mara ya mwisho Larijani alionekana Ijumaa, alipohudhuria maandamano ya Siku ya Al-Quds ya kuunga mkono Wapalestina mjini Tehran, pamoja na Rais Masoud Pezeshkian.

Mapema leo Jeshi la Israel ilitangaza kumuuwa Kamanda wa Kikosi Cha Basij, Gholamreza Soleimani

Soma pia Jeshi la Israel yadai kumuua Kamanda wa kikosi cha Basij ya Iran (IRGC)


=============

Israel’s Defence Minister Katz has just said that Iran’s security chief Ali Larijani has been killed.

There has been no comment from Iran yet.

Known for decades as a measured, pragmatic figure within Iran’s establishment, Ali Larijani has been secretary of the Supreme National Security Council, helping steer the country’s strategy amid the US-Israeli war on Iran.


Source: Al Jazeera
Sio Mkuu wa ulinzi ni kama Katibu Mkuu Kiongozi,walikuwa wanamuita Katibu wa baraza la ulinzi.

Pili,Iran wanatakiwa wafanye jambo haiwezekani wanaknewa kirahisi hivi na Israel na proxy wake Marekani.

Kwamba Wameshindwa kumteketeza Kiongozi wao hata mmja? Pili makombora yake ya ballistic mbona hayajaleta madhara makubwa?
 
Watauliwa Sana hao Wairani, Nilisoma mahali kuwa,Kwa taratibu za kishia wanasema kuwa kuuawa Kwa njia za namna hiyo ni kufa shahidi, maana Yake hawaoni tabu na hata familia zao au kwenye misiba Yao wanasema ndugu yetu amekufa shahidi. Niliona video moja Yule Ayatollah aliyeuliwa anaongea na mtoto mdogo wa miaka kama kumi hivi, Yule mtoto mwisho alisema akikua anataka kufa shahidi, watu wenye mentality ya namna Nafikiri kifo kwao sio Jambo kubwa...Ni hatari Sana kuwa na Mentality ya namna hii.

Nchi zilizo kwenye migogoro ya vita kama Iran au Israel huwa zinakuwa na level kuanzia nne na kuendelea za kukasimishana madaraka ndani ya Taasisi za kiulinzi au kiusalama...Hii vita si nzuri kabisa na Sisi dunia ya tatu hasa TZ tunaiangalia hii vita Kwa mrengo wa kidini yaani imegawanya kuwa Wakristo wako na Israel na US Huku Waislamu wako na Iran hahah wakati it has nothing to do with religion 😀😀😀...
Kama wanapenda kufa kwanini wanajificha? Unadhani wanauwawa wakiwa sehemu ya wazi?
 
Tatizo kwasasa Kuna wimbi kubwa la Mauaji kati ya Wakuu wa Israel na Iran kufikia Sasa wameuwana wengi sana.

Ndiomana ukichunguza ndani ya Israel zile nyuso tunazijua kwasasa uzioni popote ata kwenye mikutano Yao ya kimya kimya.

So hii Vita vikisha tutalajie kuona viongozi wapya pande zote mbili muda ni mwalimu
Chanzo: msikitini news.
 
Katika kitu kitawatesa Iran basi ni suala la kujaa Ma agents wa Mossad Kila idara kiasi kwamba asilimia kubwa ya viongozi wao na uwezo wao wa Jeshi uko wazi

View: https://www.instagram.com/p/DVbFhy7EZu8/?igsh=dWdicXpmazV0bG4x

Naamini kosa walilolifanya Iran ni kuwaamini Russia ambao nao wanaongozwa na hao hao Wayahudi.

Mara elfu moja wangeegemea China na N.Korea la sivyo wataangamia sana na huenda Utawala wao ukaanguka.
 
Fake news[emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]
Hata kwa Gaidi Ayatollah Ali Khamenei mlisema Fake News lakini alipoanza kunuka ikabidi mseme tu japo kwa unyonge!!!

Tunajua hata kwa magaidi hawa wakianza kunuka itabidi mseme tu.** La kuvunda halifichiki** harufu itawaumbua!!!
 
Katika kitu kitawatesa Iran basi ni suala la kujaa Ma agents wa Mossad Kila idara kiasi kwamba asilimia kubwa ya viongozi wao na uwezo wao wa Jeshi uko wazi

View: https://www.instagram.com/p/DVbFhy7EZu8/?igsh=dWdicXpmazV0bG4x

Naamini kosa walilolifanya Iran ni kuwaamini Russia ambao nao wanaongozwa na hao hao Wayahudi.

Mara elfu moja wangeegemea China na N.Korea la sivyo wataangamia sana na huenda Utawala wao ukaanguka.

Utawala wao uanguke tu maana hakuna namna nyingine!!
 
Tatizo kwasasa Kuna wimbi kubwa la Mauaji kati ya Wakuu wa Israel na Iran kufikia Sasa wameuwana wengi sana.

Ndiomana ukichunguza ndani ya Israel zile nyuso tunazijua kwasasa uzioni popote ata kwenye mikutano Yao ya kimya kimya.

So hii Vita vikisha tutalajie kuona viongozi wapya pande zote mbili muda ni mwalimu
Chai
 
Back
Top Bottom