Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Katika kitu kitawatesa Iran basi ni suala la kujaa Ma agents wa Mossad Kila idara kiasi kwamba asilimia kubwa ya viongozi wao na uwezo wao wa Jeshi uko wazi
View: https://www.instagram.com/p/DVbFhy7EZu8/?igsh=dWdicXpmazV0bG4x
Naamini kosa walilolifanya Iran ni kuwaamini Russia ambao nao wanaongozwa na hao hao Wayahudi.
Mara elfu moja wangeegemea China na N.Korea la sivyo wataangamia sana na huenda Utawala wao ukaanguka.
Hakuna cha agents wa mossads wala wasaliti, ni technology waliyonayo US, wakikutaka watakupata tuu hakuna pa kujificha, wakati Trump anasema we know exactly where he is watu walimwona mwehu, angalia documentary ya Palantir utaelewa, Maduro alikamatwa chumbani kwake kalala akiwa kazungukwa na makomandoo 200 lakini alichukuliwa kama kuku