Waziri wa Ulinzi Israel asema wamemuuwa Mkuu wa Ulinzi wa Iran, Ali Larijani

Waziri wa Ulinzi Israel asema wamemuuwa Mkuu wa Ulinzi wa Iran, Ali Larijani

Tofaut nyengine kwenye hii Vita ipo apa. Upande mmoja Viongozi wake wakifa wanasema!!!

Upande wa pili wao wamepitisha na Sheria kabisa ya kuzuiya habari zao hakuna kutoka !!!

kwamadai adui yao akiona atapata nguvu zaidi au shabaa zaidi!!!

Swali wasomaji wa Jamii forums

Ikiwa tunaona kipigo wanachopewa Israel kutoka Iranian na hezbollah!!

Mejengo yao yalivo sagwa vile na Waisrael wanatwambia Vifo ni 14 !!!!!

Uwongo wao ni wawaziwazi unaotokana na iyo Sheria yao kuficha maumivu yao!!!

manake Kombora linavunja vunja zege pamoja na nondo!!!

Lkn Kombora ilo ilo linashindwa kupenda kwa Binadamu mwenye nyama tu!!!!!

2) Swali kuu!!

ikiwa Israel inaficha japo Vifo tu ya raia wake.

JE bado wewe unategemea kuja kuambiwa ukweli wa Vifo vya viongozi wao wangazi yoyote?????

Ukweli kwenye hii Vita tutasikia tu Vifo vya upande wa Iranian tu.

Sio Israel saaauuu ilo!!!!
Israel anatangaza amemua kiongozi fulani wa Iran, serikali ya Iran inathibitisha lakini hatusikii Iran akisema amemuua kiongozi wa Israel halafu Israel wakakataa kuthibitisha.
 
Mkuu, mimi kwa maoni yangu naona Iran sio kama viongozi wake hawalindwi au kujificha kwenye mahandaki. Ila USA na Iran wanatumia ndege kama B2 kushusha makombola ambayo yanawachimbua hadi chini. Wao iran wanategemea drones ambazo haziwez kuwachimbia kwenye mahandaki viongozi wa israel
ndo kuzidiwa kwenyewe sasa huko
 
Tulizana wewe dawa iwaingie yule Larijani alikuwa bado flexible kaja badala yake huyu ni kiboko hata USA wanamfahamu alikuwa hataki ujinga kwenye mazungunzo ya Nuclear .

Trump anamjutia Ayatollah Ali Khomen bado alikuwa have disappeared vita huyu wa sasa mwanae yeye hataki mazungumzo mpaa USA aondoke hapo Gulf states na huyu badala ya Larijani ni balaa mnachochea moto kila abaye kuja ni balaa kule aliye ondoka.

Afu Ayatollah mpya kawarudisha wale wote walio kuwa wa zamani ili wawe ma adviser na hao wa zamani ndio walio jenga foundation ya IRGC


View: https://youtube.com/shorts/CQR6BmSfDt8?si=XfRW0F28I8z-8Uva

hamna lolote ayatola mpya mwenyewe amekatwa mguu alafu amekua kiziwi
 
Je una habari kuwa Waziri wa Ujasusi wa Iran, Esmaeil Khatib na kaangamizwa?
Hakuna tatizo yuko mwingine badala yake je una habari USA karibu atamkimbia Israel sa akibaki Israel peke yake ndio itakuwa balaa.

USA kisha zidiwa hana jinsi Carriers zake zote mbili zimepigwa zipo out of order base zimesambaratishwa

Lakini unaona kichapo anacho pelekewa Israel au hukioni.


View: https://youtu.be/MwRX8N6PLL4?si=r1P2GMp-VIZrdI8-


View: https://youtu.be/N7N4n6GsGVs?si=oQUFUzGhdmZI_GyO
 
Hakuna tatizo yuko mwingine badala yake je una habari USA karibu atamkimbia Israel sa akibaki Israel peke yake ndio itakuwa balaa.

USA kisha zidiwa hana jinsi Carriers zake zote mbili zimepigwa zipo out of order base zimesambaratishwa

Lakini unaona kichapo anacho pelekewa Israel au hukioni.


View: https://youtu.be/MwRX8N6PLL4?si=r1P2GMp-VIZrdI8-


View: https://youtu.be/N7N4n6GsGVs?si=oQUFUzGhdmZI_GyO

Tatizo humjui Trump, Mara zote anacheza na Akili za Wafuga Midevu na Majin
 
Hakuna kitu hapo Hezbollah ilikuwa kipindi cha Gaidi Hassan Nasrallah sasa hivi ni bure kabisa !!!

Fikiria juzi wakirusha maroketi 200 yote yalipopolewa na mengine hayakufika hiyo kijeshi inaitwa tactics failure yaani kushindwa kimbinu.
Hakuna hata Missiles za Iran au Hezbullah zinepiga Israel zote zimepopolewa kutokana na wewe lakini kutokana na Waisrael wanalia

Makamanda wake Iran walingia ndani ya Israel wakasafisha safisha walio taka wauwa hio pia Israel hasemi


View: https://youtube.com/shorts/nl6Ngc9plc4?si=h6TVgunN1wzDTagb
 
Kati ya hawa wote aliye hai ni mmoja tu wengine wote ni mizoga !!!
 

Attachments

  • IMG_5191.jpeg
    IMG_5191.jpeg
    145.1 KB · Views: 13
Karma ni kitu kimoja hatari sana.
Hivi hawa viongozi wa Iran wangejua kwamba nao baada ya siku chache watakufu wala wasingeidhinisha mauaji ya raia waandamanaji.
 
Kwani Mazishi ya Netanyahu yatakuwa lini maana mlisema amekufa!!
Kisha weka kwenye sanduku huyo

Wewe kenge msafisha choose si ulisema Iran anga liko free waulize wamarekani F35 imepata dozi leo na USA wamekiri imepigwa na Iran ikabidi wakaishushe haraka ili isiangukie Iran


View: https://youtu.be/JXEyAaMmGso?si=O2AhyMwHUBUPjHp5

 
Kisha weka kwenye sanduku huyo

Wewe kenge msafisha choose si ulisema Iran anga liko free waulize wamarekani F35 imepata dozi leo na USA wamekiri imepigwa na Iran ikabidi wakaishushe haraka ili isiangukie Iran


View: https://youtu.be/JXEyAaMmGso?si=O2AhyMwHUBUPjHp5


Tuwekee picha tuone mabaki yake!!
 
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, amesema leo Machi 17, 2026 kuwa mkuu wa usalama wa Iran, Ali Larijani, ameuawa katika shambulio la Israel.

Ali Larijani amekuwa akijulikana kwa miongo kadhaa kama kiongozi mwenye msimamo wa wastani na mtazamo wa kimkakati ndani ya uongozi wa Iran. Amewahi pia kuwa katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa, akichangia kwa kiasi kikubwa kuongoza mkakati wa nchi hiyo wakati wa vita kati ya Marekani, Israel na Iran.

Mara ya mwisho Larijani alionekana Ijumaa, alipohudhuria maandamano ya Siku ya Al-Quds ya kuunga mkono Wapalestina mjini Tehran, pamoja na Rais Masoud Pezeshkian.

Mapema leo Jeshi la Israel ilitangaza kumuuwa Kamanda wa Kikosi Cha Basij, Gholamreza Soleimani

Soma pia Jeshi la Israel yadai kumuua Kamanda wa kikosi cha Basij ya Iran (IRGC)

1773741599264.png
Hii vita imefanya nijue wabongo wajinga sana. kumbe jina sahihi ni Ali, unakutana na jitu kobazi la kimbangulile linajiita Ally. Pumbavu sana
 
Back
Top Bottom