Huyu mzee mbona kama ni mara ya nne anapona kwenye targets za Israel?Breaking: Over a dozen top IRGC and Basij officers were eliminated during the Israeli strikes last night, including the commander of the Basij and his deputy.
IDF confirms that IRGC General Esmail Qaani has survived.View attachment 3558972
Huo ni utaratibu wa kawaida kwa nchi iliyo vitani na viongozi wake wakubwa kuuliwa, lazima wengine waendelee. Ila kwa nchi ambayo ina migogoro ya ndani pamoja na uzoefu wa kupokea amri kutoka kwa kiongozi mmoja, hii inaweza kuwa na changamoto.Mkuu mimi kea jinsi nilivyoielewa mbinu ya Iran. Inaonekana jamaa walishakua na mpango wa hii vita kwa muda mrefu. Walishajua mbinu ya israel kuua viongozi, kwaiyo wakaja na mfumo wa mwili kufanya kazi hata ukikatwa kichwa yaani decentralized warfare
If leadership is wiped out. If command structure collapses
-operate alone
-no central command
-no waiting for orders
Just executr the plan yoj were given. In traditional military system if you destroy the command center, the army collapses. But in this model there is no single center to destroy.
Ndio mkakati wa Iran niliouona mpaka sasa. Tengeneza wafanya maamuzi wengi. Mlazimishe adui ashuhhulike na matishio mengi badala ya tishio kuu moja. The structure was designed to survive exactly this scenario
Watu bado wanajidanganya kwamba IRGC wanashinda. 🤣Watauliwa Sana hao Wairani, Nilisoma mahali kuwa,Kwa taratibu za kishia wanasema kuwa kuuawa Kwa njia za namna hiyo ni kufa shahidi, maana Yake hawaoni tabu na hata familia zao au kwenye misiba Yao wanasema ndugu yetu amekufa shahidi. Niliona video moja Yule Ayatollah aliyeuliwa anaongea na mtoto mdogo wa miaka kama kumi hivi, Yule mtoto mwisho alisema akikua anataka kufa shahidi, watu wenye mentality ya namna Nafikiri kifo kwao sio Jambo kubwa...Ni hatari Sana kuwa na Mentality ya namna hii.
Nchi zilizo kwenye migogoro ya vita kama Iran au Israel huwa zinakuwa na level kuanzia nne na kuendelea za kukasimishana madaraka ndani ya Taasisi za kiulinzi au kiusalama...Hii vita si nzuri kabisa na Sisi dunia ya tatu hasa TZ tunaiangalia hii vita Kwa mrengo wa kidini yaani imegawanya kuwa Wakristo wako na Israel na US Huku Waislamu wako na Iran hahah wakati it has nothing to do with religion 😀😀😀...
Replacement will follow too as usual, but replacement they always not good as the their formerSo whatnif that killed? Replacement as usual!
Maneno ya kujifariji tu hayo kuuwawa kwa viongozi ni pigo kubwa kwa nchi na uongozi wake!!!![]()
The ‘Fourth Successor’: Iran’s plan for a long war with the US and Israel
Tehran built a doctrine to absorb shock, survive decapitation strikes and turn time into a weapon.www.aljazeera.com
Ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu; mfumo wa uongozi wa Iran umejipanga kwa vita.
Kila senior government post ina four immediate successors; wote wanajua namna ya kuendeleza vita.
Ni mfumo mzuri kwa resilience wakati wa vita na mmbaya kwa security maana watu wengi wana siri na mipango sensitive ya nchi inakuwa raisi kuwa infiltrated.
Kwa hivyo USA na Israel kusifia wamemuondoa nani aina impact kwa Iran leadership sio weakness yao; wana succession planning ya decision making with immediate replacement.
Acha kulialia na kujifariji!!! Aliyekudanganya Iran na Israel wana level nne za kuhamisha a madarakani ni Nani? Wapi imeandikwa?Watauliwa Sana hao Wairani, Nilisoma mahali kuwa,Kwa taratibu za kishia wanasema kuwa kuuawa Kwa njia za namna hiyo ni kufa shahidi, maana Yake hawaoni tabu na hata familia zao au kwenye misiba Yao wanasema ndugu yetu amekufa shahidi. Niliona video moja Yule Ayatollah aliyeuliwa anaongea na mtoto mdogo wa miaka kama kumi hivi, Yule mtoto mwisho alisema akikua anataka kufa shahidi, watu wenye mentality ya namna Nafikiri kifo kwao sio Jambo kubwa...Ni hatari Sana kuwa na Mentality ya namna hii.
Nchi zilizo kwenye migogoro ya vita kama Iran au Israel huwa zinakuwa na level kuanzia nne na kuendelea za kukasimishana madaraka ndani ya Taasisi za kiulinzi au kiusalama...Hii vita si nzuri kabisa na Sisi dunia ya tatu hasa TZ tunaiangalia hii vita Kwa mrengo wa kidini yaani imegawanya kuwa Wakristo wako na Israel na US Huku Waislamu wako na Iran hahah wakati it has nothing to do with religion 😀😀😀...
Najua unaongea Kwa mhemko au jazba ama tuseme hasira nyingi, sitaki kubishana na ww maana sipendi kubishana kwasababu hakuna Faida inayopatikana, Kwa akili yako najua unafikiri kama vile Hapa tunashindana, najua unachokipigania kwenye maandishi yako...Basi tufanye ulichosema kulingana na maandishi yangu ni sahihi ili basi uwe MSHINDI. Wewe umeshinda🤝Acha kulialia na kujifariji!!! Aliyekudanganya Iran na Israel wana level nne za kuhamisha a madarakani ni Nani? Wapi imeandikwa?
Umefuturu gumbo limeshiba umekuja hapa kutuletea UHARO wa kijinga!!! Narudia tena Succession Plan si rahisi hivyo kawadanganye huko kwenye misikiti yenu lakini Kipondo kwa Iran kiko palepale pamoja na kwamba mna Toa milio sana!!!
Unaweza kuniambia kwa nini vita hii haina malengo wa kidini? Kama wewe unadai haina malengo huo!!
Watawauwa Sana.Watu bado wanajidanganya kwamba IRGC wanashinda. 🤣
Hebu nikupe picha ndogo ya kile wanachokiita ushindi:
Khamenei ameuawa
Larijani ameuawa
Shamkhani ameuawa
Mousavi wa Makao Makuu ya Jeshi ameuawa
Pakpour wa IRGC ameuawa
Soleimani wa Basij ameuawa
Aziz Nasirzadeh wa Ulinzi ameuawa
Asadi wa Idara ya Ujasusi ameuawa
Hossein Salami wa IRGC ameuawa
Hajizadeh ameuawa
Shekian wa Ulinzi wa Anga ameuawa
Mohammad Bagheri wa Makao Makuu ya Jeshi ameuawa
Rashid wa Kituo cha Khatam ameuawa
Shadmaneh wa Q. Khatam ameuawa
Kazemi wa Ujasusi ameuawa
Mohaghegh wa Ujasusi ameuawa
Mohrabbi wa Ujasusi ameuawa
Rabbani wa Operesheni ameuawa
Rezaeian wa Faraja ameuawa
Bagheri wa Makombora ameuawa
Shirazi wa Bit ameuawa
Qasem Soleimani ameuawa
Mohammad Reza Zahedi ameuawa
Abbas Nilforoushan ameuawa
Hossein Hemdani ameuawa
Mazafari Nia (Nyuklia) ameuawa
Jabal Ameli (Nyuklia) ameuawa
Fakhrizadeh (Nyuklia) ameuawa
Borji (Nyuklia) ameuawa
Tehrani Moghadam ameuawa
Na Israel haina mpango wa kusimama.
Kama wasingekuwa wamejengewa imani kali ya itikadi ya Kiislamu, wangeweza kukubali kushindwa.
Lakini hilo halitatokea, hivyo Israel na Marekani wataendelea kushinda.
Hii ni orodha ya kushangaza sana kwa kweli ya kuvutia kupita kiasi.
Na bado hata hatujataja viongozi wote wa Hezbollah, Hamas na Islamic Jihad waliouawa na Israel.
Hata nafasi isingetosha kuwaweka wote kwenye mchoro mmoja! 💪🇮🇱🇺🇸💥
Najua unaongea Kwa mhemko au jazba ama tuseme hasira nyingi, sitaki kubishana na ww maana sipendi kubishana kwasababu hakuna Faida inayopatikana, Kwa akili yako najua unafikiri kama vile Hapa tunashindana, najua unachokipigania kwenye maandishi yako...Basi tufanye ulichosema kulingana na maandishi yangu ni sahihi ili basi uwe MSHINDI. Wewe umeshinda🤝
Acha kuwafanya watu wajinga kama wewe Nimekuuliza imeandikwa wapi? Najua sasa unatafuta kichaka cha kujificha kuficha uongo uliouweka hapa.Najua unaongea Kwa mhemko au jazba ama tuseme hasira nyingi, sitaki kubishana na ww maana sipendi kubishana kwasababu hakuna Faida inayopatikana, Kwa akili yako najua unafikiri kama vile Hapa tunashindana, najua unachokipigania kwenye maandishi yako...Basi tufanye ulichosema kulingana na maandishi yangu ni sahihi ili basi uwe MSHINDI. Wewe umeshinda🤝
mkurugenzi wa usalama wa iranNdio nani
Acha na wewe kushabikia ujinga mwambie atuwekee hiyo four level succession Plan imeandikwa wapi? Asitufanye wote wajinga kama wewe!!Uko sahihi huyo hajui chochote kazi yake ni kushabikia
Nilishakujibu kule juu kuwa ww ni mtu wa jazba na mihemko, unataka kushindana ilihali hakuna Faida, ni ngumu kufanya mijadala na watu kama wewe maana Una unazi, watu wa Aina yako ni ngumu kuweza kuchambua mambo bila kuegemea upande. nishaijua akili na Nia yako hivyo basi nasema kuwa tufanye wewe ni MSHINDI UMESHINDA 🤝.Acha kuwafanya watu wajinga kama wewe Nimekuuliza imeandikwa wapi? Najua sasa unatafuta kichaka cha kujificha kuficha uongo uliouweka hapa.
Watu wajinga kama wewe ndiyo wanaoliharibu Jukwaa hili kwa habari mnazozileta za kwenye vijiweni vya Kahawa.
Siku nyingine ukiwa kwa kitu hapa uwe na evidence siyo kuja hapa na story za kwenye Kahawa!! Najua lengo lako ni kufifisha kipondo na mauaji ya viongozi wa Iran!!!
Hata kama utawaramba Makalio vipi huwezi kupiga kuwa viongozi wao wanauwawa na ni pigo kwa Taifa!!
Kama ukijua Mimi ni mtu wa Jazba basi wewe ungetoa Facts zako ili Mimi nionekane muongo!!!Nilishakujibu kule juu kuwa ww ni mtu wa jazba na mihemko, unataka kushindana ilihali hakuna Faida, ni ngumu kufanya mijadala na watu kama wewe maana Una unazi, watu wa Aina yako ni ngumu kuweza kuchambua mambo bila kuegemea upande. nishaijua akili na Nia yako hivyo basi nasema kuwa tufanye wewe ni MSHINDI UMESHINDA 🤝.
Nishakujibu kule juu, wewe ni mtu wa jazba na mihemko, nishaijua akili yako na Nia yako, watu wa Aina yako si watu wa kujadiliana nao Kwa kina....Nakutangaza kuwa umeshinda, wewe ni MSHINDI.Kama ukijua Mimi ni mtu wa Jazba basi wewe ungetoa Facts zako ili Mimi nionekane muongo!!!
Lakini umeshindwa kuleta Facts maana ulitaka kupotosha watu humu kwa maneno yako hayo ya uongo. Unaaminisha watu uongo kwa maneno ya kwenye Kahawa ukibanwa udhibitishe uongo wako unasingizia watu wana Jazba!!!
Eti SURVIVED!!! Wana wa Israel hawafanyi vitu kitoto wao hufanya kweli huyu lazima wamepita naye!!Breaking: Over a dozen top IRGC and Basij officers were eliminated during the Israeli strikes last night, including the commander of the Basij and his deputy.
IDF confirms that IRGC General Esmail Qaani has survived.View attachment 3558976
Huyu ndiye anayehisiwa kuwa ni MOLE?Breaking: Over a dozen top IRGC and Basij officers were eliminated during the Israeli strikes last night, including the commander of the Basij and his deputy.
IDF confirms that IRGC General Esmail Qaani has survived.View attachment 3558976
Afu uzuri wa Iran hawaogopi kufa wanafahamu wazi dunia ni mapito tu bora ufe una akili zako sawa sawa, macho yako sawa, unasikia sio ubaki duniani afu badaye unaushia kusumbuka huoni sijui husikii au mpaa ulishwe au uwoshwe.![]()
The ‘Fourth Successor’: Iran’s plan for a long war with the US and Israel
Tehran built a doctrine to absorb shock, survive decapitation strikes and turn time into a weapon.www.aljazeera.com
Ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu; mfumo wa uongozi wa Iran umejipanga kwa vita.
Kila senior government post ina four immediate successors; wote wanajua namna ya kuendeleza vita.
Ni mfumo mzuri kwa resilience wakati wa vita na mmbaya kwa security maana watu wengi wana siri na mipango sensitive ya nchi inakuwa raisi kuwa infiltrated.
Kwa hivyo USA na Israel kusifia wamemuondoa nani aina impact kwa Iran leadership sio weakness yao; wana succession planning ya decision making with immediate replacement.