Waziri wa Ulinzi Israel asema wamemuuwa Mkuu wa Ulinzi wa Iran, Ali Larijani

Waziri wa Ulinzi Israel asema wamemuuwa Mkuu wa Ulinzi wa Iran, Ali Larijani

Tuambieni kwanza Netanyahu mmeisha mzika au bado.

Hio habari kama kweli ameuliwa Larijani watasema tu Iran hawafichi sio hao Israel wanaficha Netanyahu kauliwa akiwa na mageneral 19 time itaongea kama kisha lambishwa mchanga
Anawasalimu,Larijani kashapokea simu
 

Attachments

  • 1773739820862.jpg
    1773739820862.jpg
    65 KB · Views: 20
Tuambieni kwanza Netanyahu mmeisha mzika au bado.

Hio habari kama kweli ameuliwa Larijani watasema tu Iran hawafichi sio hao Israel wanaficha Netanyahu kauliwa akiwa na mageneral 19 time itaongea kama kisha lambishwa mchanga
Teh teh eti Majenerali 19,unajua mfumo wa vyeo wa Jeshi la Israel? Huyo Mkuu wa Majeshi mwenyewe sio 4stars general halafu nchi iwe na majenerali 19 haijalishi ni brigedia au nini
 
Tuambieni kwanza Netanyahu mmeisha mzika au bado.

Hio habari kama kweli ameuliwa Larijani watasema tu Iran hawafichi sio hao Israel wanaficha Netanyahu kauliwa akiwa na mageneral 19 time itaongea kama kisha lambishwa mchanga
Sasa kama Israel imeshasema ameuliwa hao Wairan ndio wasifahamu hadi sasa na wenyewe wanaficha nini basi.

Netanyahu ana safari ya kwenda Marekani hivi karibuni labda mtasema hiyo ni ghost yake.
 
It's not about replacement, it's about influence and decision making kwenye sekta muhimu za kiusalama na kiutawala.

Mfano huyo jamaa ni engine kwenye masuala mazima ya usalama n.k do you think atakayeletwa ata perfome the same as him?
Mkuu mimi kea jinsi nilivyoielewa mbinu ya Iran. Inaonekana jamaa walishakua na mpango wa hii vita kwa muda mrefu. Walishajua mbinu ya israel kuua viongozi, kwaiyo wakaja na mfumo wa mwili kufanya kazi hata ukikatwa kichwa yaani decentralized warfare


If leadership is wiped out. If command structure collapses
-operate alone
-no central command
-no waiting for orders
Just executr the plan yoj were given. In traditional military system if you destroy the command center, the army collapses. But in this model there is no single center to destroy.

Ndio mkakati wa Iran niliouona mpaka sasa. Tengeneza wafanya maamuzi wengi. Mlazimishe adui ashuhhulike na matishio mengi badala ya tishio kuu moja. The structure was designed to survive exactly this scenario
 
Siyo huenda, huyo ameenda kukutanishwa na Khamenei huyo motoni; wewe inapofikia Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel anatoa habari hiyo kwenye BBC ujue kwishne.
Hawa Waislamu wa Buza wataendelea kuomboleza misiba mpaka waseme poo. allah amebarizi tu anamswalia mtume aliyeisha jiozea kwenye kaburi
 
Tatizo kwasasa Kuna wimbi kubwa la Mauaji kati ya Wakuu wa Israel na Iran kufikia Sasa wameuwana wengi sana.

Ndiomana ukichunguza ndani ya Israel zile nyuso tunazijua kwasasa uzioni popote ata kwenye mikutano Yao ya kimya kimya.

So hii Vita vikisha tutalajie kuona viongozi wapya pande zote mbili muda ni mwalimu
Hakuna kiongozi yeyote wa Israel aliyeuwawa yanauwawa tu Mabumunda ya Iran ambayo hayajitambui!!

Wewe jifariji tu kipigo kiko palepale mbwa nyie!!
 
Tatizo kwasasa Kuna wimbi kubwa la Mauaji kati ya Wakuu wa Israel na Iran kufikia Sasa wameuwana wengi sana.

Ndiomana ukichunguza ndani ya Israel zile nyuso tunazijua kwasasa uzioni popote ata kwenye mikutano Yao ya kimya kimya.

So hii Vita vikisha tutalajie kuona viongozi wapya pande zote mbili muda ni mwalimu
Mu Israel yupi kauwawa?
 
Back
Top Bottom