Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin aionya Iran kuwa ikithubutu kujibu shambulizi la Israeli huo ndiyo utakuwa mwisho wake!

Sasa nimeelewa kumbe hii fire exchange sio baina ya Iran na Israel, badala yake ni US na Iran
Israel ni proxy ya marekani Middle East. Kama vile ambavyo Iran alitaka kuifanya Lebanon proxy yake pamoja na Yemen etc

Iran tokea kitambo anawindwa.

Bush alimuweka kwenye “axis of evil “ ama muhimili wa uovu. Zilikuwa nchi tatu; North Korea, Iraq na Iran.

Bush alichagua kuanzia Iraq.

Hata hivyo pia siku za karibuni, Iran imemsaidia sana Putin kwenye vita vyake kule Ukraine. Na North Korea naye amefuatia.

Kumbuka sera za nje za marekani haziwagi na utofauti bila kujalisha chama kilichopo madarakani. Be it republicans or democrats.
 
Iran wametangaza kujibu mashambulizi makali zaidi wiki hii tega masikio yako ukiwa huko huko Mwera
 
Iran wametangaza kujibu mashambulizi makali zaidi wiki hii tega masikio yako ukiwa huko huko Mwera
Sahihi kabisa; same you ulisema Israel kaufyata baada ya kukaa kimya like 3 weeks bila majibu so tuichukulie hiyo nayo ni AHADI tu kama ile ya Israel. Again Israel nao wameahidi kujibu kwa uhakika kabisa, wanasema lile shambulio lao la ndege 100 lilikua la silaha dhaifu, sisi Wamwera tuendelee na ushabiki wetu
 
ndege 100 lakini madhara hayaonekani ni udhaifu mkubwa sana, Hao mayahudi huko Israel wenyewe wamechoshwa na netanyahu kila siku wanaandamana kupinga mauaji ya kinyama labda umebaki wew tu uliye huko Mwera unaenga mkono mayahudi, inasikitisha sana
 
Ma aircraft yameshaapitwa na wakati kitu cha maana anachoringia usa ni ile b2 bomba wanayoidai kuwa ni steath ...
 
Usa yupo nato hapo kwa nini asiwagawie ukrain ili azijaribu kwa rusia
Alimpa zisizo na uwezo that's why Ukraine kila uchao anaomba msaada akisema ule wa hawali hautoshi kumpiga Russia!.
 
Nilikuwa Live kwenye television za kimataifa, huwa hatufanyii kazi sana hizo link za ku-copy na ku-paste
Nambie ni TV ipi? Naweza kuzikuta hizo news kwa web zao.
Tafuta pia report ya kiongozi wa upinzani wa Iran, yaani Mbowe/Lissu wa Iran; yeye nae anazungumza tofauti na serikali/Ayatollah
Mimi binafsi ukiniuliza maombi yangu kwa Mungu, ningependa hi vita isipiganwe, why? Iran ikiingia vitani, automatic Iraq, Saudia, Yemen, Syria, Urusi kwa mbali, nazo zitakua front and hence supply chain ya mafuta including both crude Oil and all jamii ya petrol itakua very poor and bei itakua juu; maisha huku kwetu yatajua juu tena halafu tuanze kumlaumu mama Samia while it is not her fault
 
Bro, unazungumzia maandamano ya kumkataa kiongozi? Huna habari na Iran kaka; nipo Umwerani huku lakini kinacho endelea duniani najua sana; nimefanya kazi Saudia so nazijua siasa za mashariki ya kati; some of the things naandika ni mambo ninayo yajua. Peleleza, vijana waliozaliwa baada ya mapinduzi ya Iran hawataki hata kusikia habari za serikali ya kidini; sema ili uwatawale Waarabu vizuri lazima uwe na mkono wa chuma; wale hawawezi kuishi kidemokrasia. Look at Libya, Iraqi. Ukijifanya unaendekeza democrasia tu, wanaandamana kila siku; kingine ni hiki, upatukanaji wa habari Iran ni kama Korea ya kaskazini, or you may call kama nchi za Kikominist, wanaficha mambo yap mengi, habari zinachujwa sana kule
ndege 100 lakini madhara hayaonekani ni udhaifu mkubwa sana, Hao mayahudi huko Israel wenyewe wamechoshwa na netanyahu kila siku wanaandamana kupinga mauaji ya kinyama labda umebaki wew tu uliye huko Mwera unaenga mkono mayahudi, inasikitisha sana
 
Wajibu mara ngapopi? mbona siku ile ile wamenza kutuma majibu na mpoaka leo yanaendelea:


View: https://youtu.be/6-K731ozBrI?si=H32Wnn_I47rH9rH-
 
Wewe ulitumikishwa saudia utajuaje habari za Iran, Iran ni nchi ya kiislam wana utamaduni wao kulingana na imani ya dini ya kiislam, magharibi wako buzy kutaka kuwaondoa katika tamaduni zao za kiislam kama kuvaa hijab wasivae, wavae shorts na kwenda uchi pia kupenyeza mambo yao ya ndoa za jinsia moja ndio huo mkono wa chuma unaodai lazima utumike raia wao wasijaribu kushawishika kufuata mila za magharibi nadha hiyo demokrasia wewe unayodai haipo huko Iran sasa demokrasia si uhuru wa kila kitu kana mambo lazima yapigwe stop, ata iyo mitandao unayosema hakuna chochote ni kuwafanya watu wafuate mila za magharibi tu, haiwezekani mkuu
 
Sikwenda kama kibarua kaka, I went there as a professional na wapo wengi tu huko. Sikunyang'anywa passport. Naijua Saudia vizuri, wewe unaijua Saudia kupitia msahafu, mimi naijua physically. Sherehe zenu za Maulidi (Happy birthday ya Mohammed) kule haijulikani, wana sherehekea vitu vingine. Kingine nyie wafia dini ambacho huaga hamkielewi ni hiki, mnadhani kila kitu magharibi wana husika; kwenye Uislamu nchi hizi 3 ndio zenye historia na uislamu, Saudia, Iraq na Israel hada mji wa Jerusalem; sitafafanua hayo cause wewe ndio ulitakiwa kuyajua, niendelee mbele. Iraq ya Sadam Hussein haikua na nchi ya kidini, in fact hata Syria haiongozwi kidini; baadhi ya mawaziri wa Saddam Hussein walikua Wakristo, mfano Tareq Aziz but je, Saddam Hussein unaweza kumtuhumu kwamba alikua ana mambo ya kimagharibi? May be hukuwepo wakati mwamba anatawala Iraq; well, China inafata mambo ya kimagharibi? Acheni kukariri na kutupa lawama kwa wengine
 
Hata Israel alionywa asilipize lakini Israel akakaidi na kulipa . US sasa
anamuonya Iran kwa sababu Irani akilipa kisasi ,Israel atarusha tena makombora na mwishowe atalipua visima vya mafuta na vinu vya nyuklia
Labda ataripua lipua visima vya chumvi na vinu vya kutwangia mahindi
 
Na wewe nenda kamsikilize mbowe na lissu wa israhell uwasikie wanasemaje pia usisahau kumsikiliza na ehud olmert alokua pm wa hao wazayuni
 
Hapa sasa Hapa sasa ndio umeyabananga zaidi kwani sherehe ya maulid ni nguzo ya dini.

Nilijua utasema swala zenu hawazijui.
 
Huna unalo jua umeishi Saudia kule ndani ndani kama vyombo vya habari hata muandishi alotoa picha za maafa ya shambulizi la Iran kwa israhell alifungwa mwandishi alofichua siri za mateso ya wamarekani dhidi ya watu wa Iraq na Afghanistan alitiwa jela hv mmekatwa vichwaaa
 
Na wewe nenda kamsikilize mbowe na lissu wa israhell uwasikie wanasemaje pia usisahau kumsikiliza na ehud olmert alokua pm wa hao wazayuni
Wazo zuri. Binafsi huaga naamini, ukitaka kuujua ukweli wa kinacho endelea nchi X then wasikilize wapinzani; bahati mbaya kwa Israel ni ngumu sana kwa mpinzani kuusema ukweli kulingana na nature ya tabia za Wayahudi. Wayahudi they have one thing in common, "this is our land which we inherit from our forefathers" mengine ni kutafuta nani akae madarakani but akija hatafanya tofauti na mtangulizi wake, sawa sawa na USA, wao kuhusu sera ya mambo ya nchi za nje huaga haibadiriki regardless nani rais wa nchi. Hi ni tofauti na Iran; Wa Iran hawa general Z hawaamini katika serikali ya kidini, wanapendelea secular state kama zilivo nchi nyingine za Kiarabu. Rais wao awe na mamlaka kamili, sio kama ilivo sasa kwamba hadi Ayatollah alibariki jambo; is like Uingereza, PM wa Uingereza hawezi kupeleka jeshi sehemu bila kutoa taarifa kwa malkia/mfalme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…