jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Israel ni proxy ya marekani Middle East. Kama vile ambavyo Iran alitaka kuifanya Lebanon proxy yake pamoja na Yemen etcSasa nimeelewa kumbe hii fire exchange sio baina ya Iran na Israel, badala yake ni US na Iran
Iran tokea kitambo anawindwa.
Bush alimuweka kwenye “axis of evil “ ama muhimili wa uovu. Zilikuwa nchi tatu; North Korea, Iraq na Iran.
Bush alichagua kuanzia Iraq.
Hata hivyo pia siku za karibuni, Iran imemsaidia sana Putin kwenye vita vyake kule Ukraine. Na North Korea naye amefuatia.
Kumbuka sera za nje za marekani haziwagi na utofauti bila kujalisha chama kilichopo madarakani. Be it republicans or democrats.