Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin aionya Iran kuwa ikithubutu kujibu shambulizi la Israeli huo ndiyo utakuwa mwisho wake!

Ripoti zinasema Israel imeshambulia kwa kutumia anga la Iraq na Syria.
Haikuingia anga la Iran.
Embu uwe mkweli acha ushabiki.
Unadhani anga la Iran ni jepesi kiasi hicho kuruhusu ndege ipite tu katika anga lake!?
Israel imeshambulia kutoka anga la jirani.
syria ipi? Iliyo na urusi? Kama ni anga la iraq iran angemuadhibu jirani yake huyo kwa kuruhusu anga lake litumiwe na adui
 
Zipo kwenye vita .ww unafikir usa akipigana atatokea kutoka wapi kama sio kwenye hayo macsrea ....ngoja zijichangsnye zirushe missle eti ili kumlinda huyo myahudi ndo utaona cheche
 
Wadau hamjamboni nyote?

Jisomeeni

US defense chief: Iran ‘should not make the mistake of responding to Israel’s strikes’

By Reuters

“Iran should not make the mistake of responding to Israel’s strikes, which should mark the end of this exchange,” Austin says in a statement.
Huwo ndio ukweli na babu yake Putin anajuwa. Jambo ambalo wengi hawajuwi Ayatollah yupo nusu dunian nusu ahera saa yeyote mtatangaziwa na mwanae ndio anamrithi yaani iran patachimbika
 
Wadau hamjamboni nyote?

Jisomeeni

US defense chief: Iran ‘should not make the mistake of responding to Israel’s strikes’

By Reuters

“Iran should not make the mistake of responding to Israel’s strikes, which should mark the end of this exchange,” Austin says in a statement.
Ngoja tuskulizie watakavyojibu
 
Mara ngapi hizo base zinashambuliwa mpaka baadhi ya wanajeshi wa US wamerejeshwa na vilema em fuatilia mkuu acha ushabiki, Iran sasaiv sio ile enzi za sadam Iran wanajiamini na wanauwezo, jaribu kujifunza nyuma Iran kuna nani kwa sasa
Hakuna ushabikli hapo, ni suala la military science analysis, wengine ni taaluma yetu, adui anapokua na ability ya kustrike inner most kwa ndege vita na kurejea salama, hasa ndege nyingine ni moja ya vigezo vya kuku zidi, pili anapoweza kuua Majenerali ambao kimsingi askari wapiganaji wanawategemea na pia kuwapa ulinzi mkubwa ni ishara ya pili kuzidiwa, unapoona kila wanapotarget iwe kiongozi, ghala, kiwanda au miundombinu hawakosei, ogopa sana, ukiona Rais mstaafu kama Ahmednajad anakiri hadharani kuwa alipokuwa madarakani waliunda kikosi maalumu kupambana na Mossad, baadae walikuja kugundua, wakati walishakusanya taarifa na kupoteza 20 kati yao walikua double agents, ni moja ya vigezo vya kueleza kuzidiwa kwa hali ya juu kiinteligjensia, kitendo cha kumaliza viongozi wa Hizibullah ambao nyinyi mnaamini mmewapa ujuzi wa Kutosha na silaha za Kutosha ni vigezo tosha, kumbuka Egypt na nchi zingine zinakwepa kuingia zikijua matokeo
 
Hata Saddam alirusha scuds mpaka akasifiwa zaidi ya kuwa praised god!Hatimaye akanyongwa hadharani huku anatukana hovyo na kulia kama katoto.
Nasikitika alinyongwa bila kumkri Yesu ndiye Bwana na Mwokozi wa maisha yake ,Ile dakka ya mwsho muda aliotumia kutoa matus angeutumia kumkiti yesu na abatizwe then anyongwe,hakika angeenda kukutana na Yesu kristo na kua salama yake dhidi ya jehanamu
 
syria ipi? Iliyo na urusi? Kama ni anga la iraq iran angemuadhibu jirani yake huyo kwa kuruhusu anga lake litumiwe na adui
Syria Urusi kuna maeneo ndio anayadhibiti.
Urusi haidhibiti Syria nzima,usisahau kuna jeshi la US ndani ya Syria na Iraq pia.
Au hilo umelisahau!?
 
Wadau hamjamboni nyote?

Jisomeeni

US defense chief: Iran ‘should not make the mistake of responding to Israel’s strikes’

By Reuters

“Iran should not make the mistake of responding to Israel’s strikes, which should mark the end of this exchange,” Austin says in a statement.
Basi inaonekana hata October 7 ilipangwa na wenyewe, yaani USA and Israel. Walijua Iran itajileta kwenye mpango wao.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Jisomeeni

US defense chief: Iran ‘should not make the mistake of responding to Israel’s strikes’

By Reuters

“Iran should not make the mistake of responding to Israel’s strikes, which should mark the end of this exchange,” Austin says in a statement.
Nilikuwa natazama ..media moja ya Iran bwana Ayatoli kaufyta mkia amepoa anaongea kwakujikaza nikajua kweli yule bwana magonjwa haswa anajikaza tu
 
Na
Isaya 60:9-10
[9]Hakika yake visiwa vitaningojea,
Na merikebu za Tarshishi kwanza,
Ili kuleta wana wako kutoka mbali,
Na fedha yao na dhahabu yao pamoja nao,
Kwa ajili ya jina la BWANA, Mungu wako,
Kwa ajili yake Mtakatifu wa Israeli,
Kwa kuwa amekutukuza wewe.
[10]Na wageni watajenga kuta zako,
Na wafalme wao watakuhudumu;
Maana katika ghadhabu yangu nalikupiga,
Lakini katika upendeleo wangu nimekurehemu.

Hao USA wanajipendekeza kama Neno la Mungu linavyosema
NaWamesha ijua siri..yakuibariki Israeli nawe utabarikiwa hawachezi mbali na hyo fusa
 
Hakuna ushabikli hapo, ni suala la military science analysis, wengine ni taaluma yetu, adui anapokua na ability ya kustrike inner most kwa ndege vita na kurejea salama, hasa ndege nyingine ni moja ya vigezo vya kuku zidi, pili anapoweza kuua Majenerali ambao kimsingi askari wapiganaji wanawategemea na pia kuwapa ulinzi mkubwa ni ishara ya pili kuzidiwa, unapoona kila wanapotarget iwe kiongozi, ghala, kiwanda au miundombinu hawakosei, ogopa sana, ukiona Rais mstaafu kama Ahmednajad anakiri hadharani kuwa alipokuwa madarakani waliunda kikosi maalumu kupambana na Mossad, baadae walikuja kugundua, wakati walishakusanya taarifa na kupoteza 20 kati yao walikua double agents, ni moja ya vigezo vya kueleza kuzidiwa kwa hali ya juu kiinteligjensia, kitendo cha kumaliza viongozi wa Hizibullah ambao nyinyi mnaamini mmewapa ujuzi wa Kutosha na silaha za Kutosha ni vigezo tosha, kumbuka Egypt na nchi zingine zinakwepa kuingia zikijua matokeo
INGAwa hajaweka Aya
Ila umeeleweka vizuri sana Mkuu
Ingengukuwa sio ushabiki Pro Iran wangesoma hizo point wakubali yaishe
 
Back
Top Bottom